Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,706
Wakuuu kimyaaa
Utaikimbia JF wewe kwa muda ngoja hako Kamama Itakapothibitika kameangukia pua maana mpk sasa huamini
Wakuuu kimyaaa
Na iwe hivyo, ni laana dunia kuongozwa na mwanamke...
Haondoki mtu hapa.Rednecks came out in numbers this time. Trump anashinda hii. Jiandaeni kuikimbia Marekani Nyani Ngabu
Ni red state au blue
AtemematechiniiiKeep that to yourself, please!
Ngoja tuone....Clinton is losing Florida!
Nyie mmelipwa na Dems sio bure kama walivyolipwa BBC ili kumshadidia Bibi HilallyHilary ashindwi huoosio uchaguzi wa meya
Jamaa limo tu...ngoja tuone...Saa tatu hii nilidhani bibi atakuwa keshamgaragaza Trump [emoji23] .....lakini wapi.
Kuna jimbo lolote ambalo limechukuliwa otherwise mpk sasa, let say ni la blue lkn trump kalchukuaRed, it was expected.
Kuna jimbo lolote ambalo limechukuliwa otherwise mpk sasa, let say ni la blue lkn trump kalchukua
Naangaliaaa namwachiaa MunguuOhio Trump anaongoza