Ryan The King
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 2,789
- 2,706
Kuna Mtu atanipa nyumba, viwanja na Mashamba hapa.
Anadhani Trump ni Mutu ya muchezo
Anadhani Trump ni Mutu ya muchezo
Nashukuru kwa ufafanuziHizo Mkuu ni states za Georgia na Pennsylvania.
Trump 129 Clinton 97
Uchaguzi huu unajifanya nijutie kuzaliwa Tz maana huku watu wanakuja n matokeo yao ya mfukoniHahahahaha lol! umeona eeh! Kwetu kuna ving'ang'anizi vya madaraka vidikteta uchwara hata katiba mpya vinagomea utadhani wana hati miliki ya Tanzania.
Trump anaonyesha muelekeo mzuri, ila ngojea tuendelee kusubiriMkuu unafikiri hapo nani ataibuka kidedea?.
Maybe it won't be a landslide as I thought it would be....
The night is still young though....
Ni red state au blueTexas kachukua Trump 128 EV na Hillary 97 EV
Uchaguzi huu unajifanya nijutie kuzaliwa Tz maana huku watu wanakuja n matokeo yao ya mfukoni
Na iwe hivyo, ni laana dunia kuongozwa na mwanamke...Trump is winning this thing!