Hayo matokeo yatageuzwa soon hyo ni katika kumfanya trump aone kuna haki then mwishon wanakata kichwa, yaan ataona tu zile ambazo hazijahesabiwa anapewa tu clinton. Huu uchaguzi clinton ndo raisTrump trump trump trump
Nj noma sana..headquarter ya democrats hawana furaha kabisa...majimbo hayo mama anatakiwa kushinda..North Carolina pia anaongoza.
Clinton 104North Carolina pia anaongoza.
Mpwa noma sana...Kimyaaaa kimewakaa ama
Hayo matokeo yatageuzwa soon hyo ni katika kumfanya trump aone kuna haki then mwishon wanakata kichwa, yaan ataona tu zile ambazo hazijahesabiwa anapewa tu clinton. Huu uchaguzi clinton ndo rais
Kwani ulimuona Jecha kapanda ndege kuja US? eeeh?Hayo matokeo yatageuzwa soon hyo ni katika kumfanya trump aone kuna haki then mwishon wanakata kichwa, yaan ataona tu zile ambazo hazijahesabiwa anapewa tu clinton. Huu uchaguzi clinton ndo rais
Hayo matokeo yatageuzwa soon hyo ni katika kumfanya trump aone kuna haki then mwishon wanakata kichwa, yaan ataona tu zile ambazo hazijahesabiwa anapewa tu clinton. Huu uchaguzi clinton ndo rais
Mkuu ndo nakueleza ata bush alichakachuaga, so wanatoa uwezekano wa jamaa kuleta fujoJidanganye hapo, unadhani USA ni bongo
Hupendi kwaniClinton 104
Trump 129.
duhhhh 97% ya kura tayara Florida Trump yuko mbele. mmmhhhh
DONALD TRUMP....SINA HISTORIA YA KUSHINDWA
Huyo mama sina hamu nae....damu ya Gadaffi inamlilia popote alipoKibibi kitajiua kikishindwa. Lidubu litachonga likishinda, patakuwa na patashinda Marekani na dunia kwa ujumla kwa miaka 4 ijayo. Uchumi wa Marekani/dunia utaanguka kama ilivyokuwa Bush.