Inaonekana kuna uwezekano wa Donald Trump kuwa Rais Mtarajiwa wa USA.
Sababu wa-Marekani wamechoshwa na ''mfumo'' na ''wateule'' kama koo za Bush na Clinton kuendelea kukalia Jumba Jeupe la White House.
Wamarekani wanataka ''mabadiliko'' kwa gharama zozote zile hata kama ''hawafahamu'' uzoefu wa mgombea kiuongozi iwe ngazi ya Jimbo, ugavana au useneta ili mradi tu ''mabadiliko'' a.k.a ''Change'' zinatokea ili ''wateule wenye nchi'' wafahamu ''wananchi'' wanataka mabadiliko.