2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

Hillary anaongoza kwenye Electoral votes kwa 68 na Trump ana 66, 270 zinahitajika kutangazwa mshindi.
Trump ndipo atakuja kushindiwa hapo kwenye electoral votes sijui kama atafikisha hata 250
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Let's hope for the best maana Hillary akichukua Florida, Ohio na North Carolina sioni uwezekano wa Trump kufikisha 270 electoral votes.
Sure kakaaaa name namwombeaa sanahapa nimewashaa udi mpakawataje mshindi
 
Akishindwa kuchukua Florida, Ohio na North Carolina basi hakuna namna ya yeye kuingia WH.

Trump ndipo atakuja kushindiwa hapo kwenye electoral votes sijui kama atafikisha hata 250
 
Akishindwa kuchukua Florida, Ohio na North Carolina basi hakuna namna ya yeye kuingia WH.
Ilani kiukweli huyu babu mi simpendi sijui kwa nini?...

Anaboa sana bora ashindwe kabisa maana akishinda majigambo kibao
 
Huwezi jua kama yuko healthy anaweza kabisa kuamua kuingia tena ulingoni, atakuwa 74. Kawashangaza wengi sana kwa stamina yake kubwa kwenye kampeni.

Asubiri 2020?

Unadhani at ago mbea tena kama akishindwa?
 
lol! hahahahaha sasa udi ndiyo unafanya nini mpwa? hahahahaha

Sure kakaaaa name namwombeaa sanahapa nimewashaa udi mpakawataje mshindi
 
Back
Top Bottom