Hatukuzira wala haondoki mtu wewe.kulaleki, Trump atawafukuza wageni wote, na wale walioahidi kuhama USA akishinda watakiona.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daa huu ndio uchaguzi bn hakuna cha jecha wala lubuva
Trump 123 Clinton 97Electoral votes Hillary anaongoza kwa 97 na Trump ana 84. Ohio na North Carolina gap kubwa aliyoiweka Hillary imepungua na Florida bado Trump anaongoza.
kaka naomba unisaidie link ya kufatilia matokea
FLORIDA KIMEGEUKA
TRUMP 49PErC
CLINTON 48PEC