NO...STILL. 215 VS 264.
Mrussi na Mchina wangedharau Mmarekani kama wangemchagua mwanamke......Nyuma ya pazia wamerekani hawakuwa tayar na mwanamke
Ni wakati wa kujipongezaTUMEMALIZA TEAM TRUMP
It's raining misery in Brooklyn....
Republicans will retain control of the senate.
And they have the House and very likely the White House.
Wowzers.
Wala msiwe na wasiwasi, USA rais anaongozwa na misingi na taasisi imara sana hawezi kuwa na maamuzi ya kujiamulia tu toka chumbani kama huku kwetu. Eti Hussein na Mohammed wasiingie Marekani, hiyo ni mizuka tu ambayo huishiaga kwenye campaigns.