Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,958
- 134,040
Wazee waliwekwa kwenye 18 na Madelu,wakajaa!!sijui walikula pesa ngapi hawa
Wazee waliwekwa kwenye 18 na Madelu,wakajaa!!sijui walikula pesa ngapi hawa
Ilikuwa ni fumbo flani hivi kwamba kama mr Lowasa yu timamu kiafya ajaribu hiyoHuyu faza toka alipofanya hiki kitendo nimebaki simuelewi kabisa...![]()
Hivi kulingana na kumbukumbu zinavyosema,nini kilisibu hadi kufikia hatua hii?
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Lisu atapingwa na wenye chama mkuu hivyo hawezi simamishwa. Huenda huelewa malengo makuu ya cdmMsisimko upo tena Lissu akitua ni balaa sema Shetani atapiga watu risasi mchana kweupe
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu faza toka alipofanya hiki kitendo nimebaki simuelewi kabisa...![]()
Hivi kulingana na kumbukumbu zinavyosema,nini kilisibu hadi kufikia hatua hii?
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk

Haitatokea aiseeSidhani kama amsha amsha ya kisiasa ya mwaka 2015 itakuja kujirudia katika nchi hii!
et wanadeki lami mamvi apite walikuwa wamerogwaHawa walipatwa na nini?
Kuna video ilitrend sana ulipigwa harusini aisee watu walirukaSitausahau wimbo wa taifa wa msagasumu aiseeeee kila kona ule wimbo ulibamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu faza toka alipofanya hiki kitendo nimebaki simuelewi kabisa...![]()
Hivi kulingana na kumbukumbu zinavyosema,nini kilisibu hadi kufikia hatua hii?
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk

Kama ninyi mlivyorogwa na pushapuet wanadeki lami mamvi apite walikuwa wamerogwa
tuko sawa tu mpenzi lakini sisi tulipata tulichokitarajia mwenzetu hazikutosha au hazikuenea wanasemagaKama ninyi mlivyorogwa na pushapu
Inawezekana alikuwa hafahamu chochote kinachoendelea.
Sijawahi kuiona
Huo wali ni Muleba kagera 2012Ilikuwa ni patashikaView attachment 1007977View attachment 1007978View attachment 1007980View attachment 1007983View attachment 1007984View attachment 1007985View attachment 1007986View attachment 1007987View attachment 1007990View attachment 1007993View attachment 1007996View attachment 1008000View attachment 1008002View attachment 1008003View attachment 1008004View attachment 1008005View attachment 1008006View attachment 1008007
Sent using Jamii Forums mobile app