Ibilisi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 3,465
- 5,586
Sidhani kama kuna sehemu mshikaji anachukiwa kama Chato. Trust me, Chato ni balaa.Labda kolomije na chato
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama kuna sehemu mshikaji anachukiwa kama Chato. Trust me, Chato ni balaa.Labda kolomije na chato
Hahahahahahah!!!Mimi nakumbuka kale kababu kalikokua kanataja matokeo asee sauti yake bado ipo masikioni!Kale kazee hakaendi mbinguni!!!
Kwa kweli ulibambaSitausahau wimbo wa taifa wa msagasumu aiseeeee kila kona ule wimbo ulibamba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa wasanii si wamesaliti ukawa sahivi? Wamekaa kisanii sanii tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nakumbuka kale kababu kalikokua kanataja matokeo asee sauti yake bado ipo masikioni!Kale kazee hakaendi mbinguni!!!
Hapana ulitembea tembea sana hapa JF 2013