Isaac1
Member
- Nov 12, 2018
- 79
- 70
Kama tulishindwa 2015 basi tena maana uwezo na khari ili ilikuwepo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama amsha amsha ya kisiasa ya mwaka 2015 itakuja kujirudia katika nchi hii!
Huyu faza toka alipofanya hiki kitendo nimebaki simuelewi kabisa...![]()
Hivi kulingana na kumbukumbu zinavyosema,nini kilisibu hadi kufikia hatua hii?
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Hahah!







Ilikuwa ni patashikaView attachment 1007977View attachment 1007978View attachment 1007980View attachment 1007983View attachment 1007984View attachment 1007985View attachment 1007986View attachment 1007987View attachment 1007990View attachment 1007993View attachment 1007996View attachment 1008000View attachment 1008002View attachment 1008003View attachment 1008004View attachment 1008005View attachment 1008006View attachment 1008007
Sent using Jamii Forums mobile app
Msisimko upo tena Lissu akitua ni balaa sema Shetani atapiga watu risasi mchana kweupeDuu sijui 2020 kama itakua na msisimko kama 2015
Mimi nakumbuka kale kababu kalikokua kanataja matokeo asee sauti yake bado ipo masikioni!Kale kazee hakaendi mbinguni!!!
Mimi nakumbuka kale kababu kalikokua kanataja matokeo asee sauti yake bado ipo masikioni!Kale kazee hakaendi mbinguni!!!