2015 CHADEMA kikipata wabunge 10 najiunga nacho

Yea, niko serious, namaanisha, sicheki na mtu. Chadema ikipata wabunge 10 tu 2015 nakuwa mwanachama wao mtiifu. Tena kada kindaki ndaki...

Nani anakutaka wewe mbwa? Tulikufukuza wenyewe chadema kwa upumbavu wako..... chagua option nyingine maana chadema inakwenda kukamata ikulu
 
Unapokuwa unatumika basi pia hisia zinatawala akili.Ni bora uwe masikini wa mali kuliko kuwa masikini wa akili.Ungekuwa karibu yangu ningekupima oil kama ipo kwa kidole cha kati
 
Yea, niko serious, namaanisha, sicheki na mtu. Chadema ikipata wabunge 10 tu 2015 nakuwa mwanachama wao mtiifu. Tena kada kindaki ndaki...
Walewale wakina shekhe yaya walio watabili vifo wakafa wenyewe
 
Yea, niko serious, namaanisha, sicheki na mtu. Chadema ikipata wabunge 10 tu 2015 nakuwa mwanachama wao mtiifu. Tena kada kindaki ndaki...

Tablet na ID yako ya chama vipo mashakani kunyang'anywa kama alivyosema boss wako hapa:
Ungekuwa mvulana ningefitini hadi uporwe hiyo tablet. Lakini,jinsia yako inanifanya nisifanye fitina hizo. Kuwa makini lakini.

Mzee Tupatupa

Dawa yenu watu wa aina ya ifweero na MSALANI,ni kuwafungia ID zilizofunguliwa na chama tu. Hamtetei chama badala yake mnaweka mbele matusi,kejeli,fitina na maneno ya maudhi. Operesheni iko njiani. Mtaingia na vi-ID vyenu muda si mrefu. Jifunzeni kujadili hoja na si mleta hoja.Ndivyo mnavyoambiwa chamani. Hamsikii.Dawa yenu iko jikoni

Mzee Tupatupa
 
Last edited by a moderator:
Nani anakutaka wewe mbwa? Tulikufukuza wenyewe chadema kwa upumbavu wako..... chagua option nyingine maana chadema inakwenda kukamata ikulu
Heri mbwa anaishi nyumbani na sisi binadam kuliko wewe msukule,mchumia tumbo. Kibaraka wa mwanaume mwenzako. Sidhani km bado una urijali kwa jinsi walivyokupumulia kisogoni
 
Yea, niko serious, namaanisha, sicheki na mtu. Chadema ikipata wabunge 10 tu 2015 nakuwa mwanachama wao mtiifu. Tena kada kindaki ndaki...
Hivi kweli CDM inahitaji tena mazuzu ya kuleta USaliti!! NOOOOOOOO!! way tulia huko Lumumba na utembelee mke wenu ACT tu!!
 
Yea, niko serious, namaanisha, sicheki na mtu. Chadema ikipata wabunge 10 tu 2015 nakuwa mwanachama wao mtiifu. Tena kada kindaki ndaki...

We quote this!
Usianzishe ID mpya lakini.
 
Yea, niko serious, namaanisha, sicheki na mtu. Chadema ikipata wabunge 10 tu 2015 nakuwa mwanachama wao mtiifu. Tena kada kindaki ndaki...
hizi ni dalili za kutamani kisiri huku unaichukia kiuwazi
 
Tutakukumbusha bandiko lako at the right time ila usijesema ulinukuliwa vibaya au mtu katumia id yako. be man of words ila hao kumi fanya mara kumi bado hutoepuka kuikana kauli yako. Kumbuka makaburi yasha andaliwa kwa sasa tuna andaa mashehk na wachungaji kwa ajili ya misa ya mazishi

mmechanganyikiwa hamjui mtendalo

View attachment 184165View attachment 184166View attachment 184167

Ha ha ha ha haha aaaaaa chdm + ukawa wananipa raha sana, ushindi kila kukicha ni ushindi, ccm watafungwa magoli hadi wajikojolee
 
Yea, niko serious, namaanisha, sicheki na mtu. Chadema ikipata wabunge 10 tu 2015 nakuwa mwanachama wao mtiifu. Tena kada kindaki ndaki...

Hivi kuna mtu anaweza kuurushia mchongoma mawe kwa nia ya kuangaua tunda ? Hata kwa akili ndogo tu, mtu anabaki anajiuliza kwa nini chama hiki tu, kwa kuna vyama vingapi Tanzania ?
 
Yea, niko serious, namaanisha, sicheki na mtu. Chadema ikipata wabunge 10 tu 2015 nakuwa mwanachama wao mtiifu. Tena kada kindaki ndaki...

Wenzako watapata urais wewe bado uko kwenye ndoto za ubunge.
 
"Asiyejua kufa na atazame makaburi"CCM TULIKUPENDA NA SASA TUNAKUAGA BURIANI!
 
Yea, niko serious, namaanisha, sicheki na mtu. Chadema ikipata wabunge 10 tu 2015 nakuwa mwanachama wao mtiifu. Tena kada kindaki ndaki...

nani sasa anakutaka nyau wewe nenda act
 
Yea, niko serious, namaanisha, sicheki na mtu. Chadema ikipata wabunge 10 tu 2015 nakuwa mwanachama wao mtiifu. Tena kada kindaki ndaki...

naomba nikumbushe wako.wangapi kwa sasa??? hahahaahahaahaa
 
Yea, niko serious, namaanisha, sicheki na mtu. Chadema ikipata wabunge 10 tu 2015 nakuwa mwanachama wao mtiifu. Tena kada kindaki ndaki...

Uchaguzi Mdogo wa Arumeru Mashariki uliandika kuwa iwapo Nassary atashinda UNAHAMA NCHI vipi leo hii uko wapi? naona umejijaza akili za kutumia eneo la kutolea haja kubwa kuwaza kuliko kutumia ubongo uliopewa na Mungu kwa kazi ya kufikiri.
 
Back
Top Bottom