UShaingiza siku kwa huu ushuzi kweli ccm majangaHaya baada ya hizi porojo zako turudi kwenye hoja, 2015 chadema haitafikisha wabunge 10
Lema and Sugu out!Hawawezi kufikisha hata wabunge 10! Mi nakuunga mkono!
Mnyika out
Mdee out
Wenje out
Chadema sasa hivi ni sifuri kabisa.
Lema and Sugu out!
Dawa yenu watu wa aina ya ifweero na MSALANI,ni kuwafungia ID zilizofunguliwa na chama tu. Hamtetei chama badala yake mnaweka mbele matusi,kejeli,fitina na maneno ya maudhi. Operesheni iko njiani. Mtaingia na vi-ID vyenu muda si mrefu. Jifunzeni kujadili hoja na si mleta hoja.Ndivyo mnavyoambiwa chamani. Hamsikii.Dawa yenu iko jikoni
Mzee Tupatupa
Yea, niko serious, namaanisha, sicheki na mtu. Chadema ikipata wabunge 10 tu 2015 nakuwa mwanachama wao mtiifu. Tena kada kindaki ndaki...
Heri mbwa anaishi nyumbani na sisi binadam kuliko wewe msukule,mchumia tumbo. Kibaraka wa mwanaume mwenzako. Sidhani km bado una urijali kwa jinsi walivyokupumulia kisogoni
mkuu kumbe na wewe umesha liona hilo? hawa jamaa siku zote wanajivunia wizi wa kura kupindisha taratibu na kila aina ya uharamia.Chama kitakachokua cha kwanza kuiingiza nchi hii machafukoni na hawa majambazi maarufu kama CCM.Mikakati ya wizi wa kura kwa kushirikiana na vyombo vya dola na Tume ya MACCM ya uchaguzi imeanza rasmi ili kuhakikisha CHADEMA haipati Wabunge zaidi ya 10. Ndio hapo mtakapoumbuka kwa ulinzi mkali utakaofanywa na wanachama wa CHADEMA na kushindwa kutimiza wizi wenu.
kwa mujibu wa VUTA NKUVUTEYea, niko serious, namaanisha, sicheki na mtu. Chadema ikipata wabunge 10 tu 2015 nakuwa mwanachama wao mtiifu. Tena kada kindaki ndaki...