2015 CHADEMA kikipata wabunge 10 najiunga nacho

2015 CHADEMA kikipata wabunge 10 najiunga nacho

Yea, niko serious, namaanisha, sicheki na mtu. Chadema ikipata wabunge 10 tu 2015 nakuwa mwanachama wao mtiifu. Tena kada kindaki ndaki...
Yaani hizo ni dalili za uwoga uliopitiliza,tunaiita election fever subiri hiyo 2015 uone utakavobadilisha ID kwa aibu.
 
Back
Top Bottom