hopetumaini
JF-Expert Member
- Jul 17, 2013
- 529
- 317
Chadema sasa hivi ni sifuri kabisa.
Naona mmezurumiana buku 7 saba!
Chadema sasa hivi ni sifuri kabisa.
Yea, niko serious, namaanisha, sicheki na mtu. Chadema ikipata wabunge 10 tu 2015 nakuwa mwanachama wao mtiifu. Tena kada kindaki ndaki...
Wabunge kumi wengi sana, watano hawatafika
Yea, niko serious, namaanisha, sicheki na mtu. Chadema ikipata wabunge 10 tu 2015 nakuwa mwanachama wao mtiifu. Tena kada kindaki ndaki...
Yea, niko serious, namaanisha, sicheki na mtu. Chadema ikipata wabunge 10 tu 2015 nakuwa mwanachama wao mtiifu. Tena kada kindaki ndaki...
Umeuza jimbo la Kibaha; Nani atakupokea CHADEMA?
Hawawezi kufikisha hata wabunge 10! Mi nakuunga mkono!
Mnyika out
Mdee out
Wenje out