2015 CHADEMA kikipata wabunge 10 najiunga nacho

2015 CHADEMA kikipata wabunge 10 najiunga nacho

Chadema mpaka sasa kimepoteza mwelekeo. Papara na majungu yalipelekea kumfukuza zito na wakibahatika kuwa na wabunge ambao wanaweza kuchaguliwa bila kujali chama gani kimewasimamisha hawa ni zito kabwe, arfi na shibuda na pia slaa akigombea jimbo anapata.
Kwa ufupi chadema mwaka 2015 kitakuwa na wabunge 2 ambao ni
1.ndesamburo
2.slaa kama atagombea jimbo
Zito, shibuda na Arfi watashinda chama chochote kwasababu si wanachadema TENA
Wengine wote hawarudi wamekuwa hawaendi majimboni, usanii mwingi wananchi wamewachoka
 
Umewapendelea hata 5 hawapati.Swala la WACHAGA hawawezi kuwa WASALITI limewahalibia sana.WASALITI ni MAKABILA mengine.
 
Acha propaganda we maji marefu! Masuala ya ukabila unayazungumzia yanini? Mtu badala ya kusema ukweli eti ukbila, udini! Dah! nchi hii kwa watu kama wewe haiwezi kusonga mbele.
 
Yea, niko serious, namaanisha, sicheki na mtu. Chadema ikipata wabunge 10 tu 2015 nakuwa mwanachama wao mtiifu. Tena kada kindaki ndaki...

Nenda kajiunge Mirembe Hospital kwa ajili ya matibabu. Unasumbuliwa na Braind Decay, yaani ubongo umejee funza weupe.
 
Yea, niko serious, namaanisha, sicheki na mtu. Chadema ikipata wabunge 10 tu 2015 nakuwa mwanachama wao mtiifu. Tena kada kindaki ndaki...

Asikuambie mtu..yaaani leo umeongea bonge la ujinga... Yaani kwenye tuzo za wajinga wa siku ntakujumlisha.. Yuck..
 
Chadema mpaka sasa kimepoteza mwelekeo. Papara na majungu yalipelekea kumfukuza zito na wakibahatika kuwa na wabunge ambao wanaweza kuchaguliwa bila kujali chama gani kimewasimamisha hawa ni zito kabwe, arfi na shibuda na pia slaa akigombea jimbo anapata.
Kwa ufupi chadema mwaka 2015 kitakuwa na wabunge 2 ambao ni
1.ndesamburo
2.slaa kama atagombea jimbo
Zito, shibuda na Arfi watashinda chama chochote kwasababu si wanachadema TENA
Wengine wote hawarudi wamekuwa hawaendi majimboni, usanii mwingi wananchi wamewachoka

Huna hoja,unafiki utakumaliza! Kwanza nakufahamu wewe siyo mtanzania.
 
[TABLE="width: 400"]
[TR]
[TD]Mwaka
[/TD]
[TD]Wabunge
[/TD]
[TD]Ongezeka
[/TD]
[TD]Madiwani
[/TD]
[TD]Ongezeko
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2000
[/TD]
[TD]4
[/TD]
[TD][/TD]
[TD]74
[/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2005
[/TD]
[TD]11
[/TD]
[TD]7
[/TD]
[TD]102
[/TD]
[TD]28
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2010
[/TD]
[TD]49
[/TD]
[TD]38
[/TD]
[TD]520
[/TD]
[TD]418
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]2015
[/TD]
[TD]??
[/TD]
[TD]??
[/TD]
[TD]???
[/TD]
[TD]???
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[TD][/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Kwa trend hii nafikiri unaweza kupata picha kinachofuata. Ongezeko hili, je ni majimbo na kata mpya au kuna chama kinanyang'anywa? Utajijibu mwenyewe!! Likewise, angalia idadi ya kura (precise to use percentage) alizopata JK mwaka 2005 na 2010 kisha utapata jibu mwenyewe!! Hatutizami nyani (CCM) usoni tunapomuua!!
 
hatutaki mijizee kama wewe ujiunge na chama chetu,2015 si utakuwa ulaya??
 
Kwa kauli hiyo, unaweza kujiungu na CDM sasa kwani wameshapata zaidi ya hiyo hata kwa sasa.
 
Yea, niko serious, namaanisha, sicheki na mtu. Chadema ikipata wabunge 10 tu 2015 nakuwa mwanachama wao mtiifu. Tena kada kindaki ndaki...

Ifweero; Watu wanaojinyea kwa woga kama wewe wanahitajika CDM kwa lipi haswa!! Huko mliko ndiko nature yenu na bla blaa zote mnazopiga kutwa kucha ni kuhalalisha udhaifu, woga na njaa zenu kuwa mnakohemea Lumumba baada ya kujitoa akili ndiko 'pumziko lenu la amani'...kumbe ni IQ tu na ufahamu mlizonyimwa.
CDM ilipo sasa hata wanaokutawala kiakili wanaijua vyema, (waulize akina Wassira na Msajili wanahangaika nini juu ya CDM?) ...kwa hivyo wewe ni 'konokono' tu 'unajichorea ramani' ya ulivyo kiakili bila kujijua...huwezi kamwe kuwa kipimo cha 'endapo CDM itapata wabunge au laa, ndio uweze kuiunga mkono! UWEZO WAKO ulivyo dhaifu hauhitaji pengine zaidi ya mlipo sasa vilaza wanaoganga njaa!...endapo kwa kushiba tu unatapanya porojo hivyo, je ukiachwa njaa siku moja? au ukipelekwa pahala kuhangaikia mageuzi kwa kujitolea bila posho au masurifu kama wafanyavyo CDM ili kukuza uhai wa demokrasia, utakesha hata siku moja?
Wewe na timu yenu yote iliyojitoa akili kwa ajili ya tumbo mnayo kazi kubwa ya kurudisha akili zenu kwanza ndio mtafute kwa kuhamia...! Hii ni Salamu kwenu wote..capito, Ruttashobolwa, Mingoi, laki si pesa, et al!

Leta hoja nyingine...
 
Yea, niko serious, namaanisha, sicheki na mtu. Chadema ikipata wabunge 10 tu 2015 nakuwa mwanachama wao mtiifu. Tena kada kindaki ndaki...
...hahahaaa unasema 10 kwakuwa unauhakika watapata zaidi ya hao ...
 
Yea, niko serious, namaanisha, sicheki na mtu. Chadema ikipata wabunge 10 tu 2015 nakuwa mwanachama wao mtiifu. Tena kada kindaki ndaki...

Does anybody need you in CDM? Don't cheat yourself.
 
Back
Top Bottom