Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,465
Daaahhh, Asante Ashadii kwa sredi nzuri............imenifanya nitafakari kidogo ili niweze kufunguka kidogo. Kwa ujumla ninamshukuru sana sana Mungu kwa wema na fadhili zake ambazo ni mpya kila siku katika maisha yangu.
Kuna mambo mazuri sikuyapanga kabisa mwaka huu lakini yametokea na ninazidi kumshukuru Mungu na kumrudishia yeye sifa na utukufu. Kuna mambo niliyapanga na nilitamani sana sana yatokee lakini mpaka sasa hayajatokea........lakini bado sijakata tamaa maadam uhai na afya Mungu amenipa najua vitatokea tu.
Mwakani kama Mungu akinijaalia salama pia kuna mambo nayatamani na ninamuomba Mungu anisaidie, anipe uzima na afya ili malengo yangu yafanikiwe. Mojawapo ni kujiajiri.........nimechoka kutumwa/kuajiliwa kama sijui nini.
Naomba niwatakie Xmass njema na mwaka mpya wenye mafanikio mema bila kuchakachua.
I'll miss Kim Jong Il - The "dear leader"! ::: We have lost "Gaddaffi-of-Asia" - What A SAD year!!!
Sijui na haya mafuriko ya leo yatakuwa yamewaumiza watu wangapi?
Lord have Mercy - tuweze kumaliza hizi siku 11 zilizobaki!
Baba_E siku zilizobaki zaonekana ni chache saaana.... But kimsingi... saizi kuona 2012... Its Like forever! Tumuombe Mungu.... Siku hizi za mwisho (hasa mwezi wa 12) nimepokea vihabari vibaya vibaya vingi vingi.... Amini usiamini saizi nimejipa Break! Sitaki news yoyote mbaya... Mungu tu anisimamie... For I know am being selfish and I can help it at the time being....
Kujipa break ni ngumu my dear - jana nimepigiwa simu na kuambiwa kuwa my father has been hospitalized! (well he is over 90) - but it just another bad news all together! Huu mwaka dah - was the second worst year in my life - as far as I can remember!
Kbd jamaa adimu wewe....lol... But nina bahati nawe hua we meet once in a while kama hivi... Asante for the acknowledgement dear... Naomba nikushukuru pia kwa ku-share nasi hapa.
It seems mwaka wako was a good one... You look forward to the next... Na like most twamuomba Mwenyezi Mungu Atuwezeshe na Kutubariki pia. Mungu ni mkubwa... Pamoja na kusema waweza kuta ulopanga hayajafanikiwa... Anakupa zaidi ya hilo hata ulopanga.... Au msingi wa kuwezesha ulopanga, ili kuweza fanikisha in the long run.... Naamini hata hayo yenyewe yatafanikiwa tu! Na like you yourself have said... Ni kumuomba tu Mwenyezi Mungu uzima. Kbd.... Pamoja saaana.
Nipo dearest wangu buheri wa afya. Wajua tena tunafunga mwaka na kumalizia vimeo vilivyobakia basi daah....hata muda wa kuperuzi unakuwa hadim kidogo. Ila nimefurahi kukuona upo na unaendelea vyema ukiwa na afya njema. Nakutakia mwisho wa mwaka mwema na mwaka mpya wenye furaha na mafanikio tele.
AJ... Naona hapa wampaisha Sweetie.... Thanks, Walau ajue nina kwetu na nyumbani wanijali.....lol... Ila hapo kwenye officiate... It was officiated ages ago.... hahahaha!
\It was officiated ages ago .. Lol! Naught naughty .. Lol!! .. Yes every body n the family knows this.. BUT Grand Pa doesn't have this news .. and you know how hard He can be .. of course with really really tough Love ... But since I will be the one delivering this message will assure him that her Granddaughter has a good choice .. ! AND above all you r practicing Tough Love in a scented Gloves Lol .. and you know how he will be Pleased that he has inherited the talents!!
Alafu Kipipi hebu bana open up acha short cuts hapa.....lol
watu bar wakiagiza kinywaji. wa kwanza akaagiza MARTINS single, mwingine JACK DANIELS double, wa tatu GORDON single, basi dada yetu mtanzania hakuelewa akajua wav wanajitambulisha nae akasema MANKA MUSHI married
\
Once you say the above there is no turning back AJ....
Are you sure you have agreed I have chosen well? lol
We would want you to have a sit with puppy with an open and sure mind you kno....lol
Nipo dearest wangu buheri wa afya. Wajua tena tunafunga mwaka na kumalizia vimeo vilivyobakia basi daah....hata muda wa kuperuzi unakuwa hadim kidogo. Ila nimefurahi kukuona upo na unaendelea vyema ukiwa na afya njema. Nakutakia mwisho wa mwaka mwema na mwaka mpya wenye furaha na mafanikio tele.
hahahahaaaaaaaaa............Smile zihurumie mbavu zangu!!! loll
Kbd.... THANK YOU for the well wishes... na BEST of Luck katika kumaliza vimeo....lol..... Pamoja Saana.
Sitaki kumaliza huu mwaka bila kukusalimu na kukutakia heri kwenye kumalizia mwaka na mwaka mpya wenye mafanikio mapya.:A S-heart-2:
Hakika wema na fadhili zitatufuata siku zote za maisha yetu.....
Japokuwa ulinikimbia ila mi bado nakupenda tuu......Stay blessed dearest!!!!
watu bar wakiagiza kinywaji. wa kwanza akaagiza MARTINS single, mwingine JACK DANIELS double, wa tatu GORDON single, basi dada yetu mtanzania hakuelewa akajua wav wanajitambulisha nae akasema MANKA MUSHI married
OMG! .. am shaking my head .lLolz ... only that I told you how to be firm, kind and tough (the tough love) ..and now u r doing it on me .. Cmn you!! really impressive I love this challenges .. you have special intelligence you know ..(the emotional intelligence)
You ask me such straightforward question .. hard and straight .. Lol! sure you resemble grad pa! As you said no turning back ... so let me take my time to meditate on this!! Lol!