Waendelee kula viepe vya kaseja tu sijui nae kama bado yupo palenilipita hapo juzi kati kumeota kichaka kikubwa..hahahah unafikiri historia yenu itafutika pale??
ni kama historia ya kina ODWANG ambayo kila anaeingia pale anaikuta
tena kipindi hichi cha Magu hamna atakaedhubutu
Umemsahau Machibya na Odong...Odong walimweka Central halafu interpol wakamsepesha fasta mpaka ugandaHuu mwaka sitausahau pale mlimani.
Washikaji zetu ,Christopher mbusule, Lusako ,Ndunguru na wengine wengi tu walipoteza chuo.
Mlimani city ilikuwa jumba la maficho . Tulikimbia tukajificha kwenye maduka. Wale jamaa walikuja na hasira kama za simba wakitutafuta.
Poleni sana washikaji wote mliopoteza chuo kipindi Hicho. Harakati zenu zilifanyika neema kwa wengine.
Mungu bado anatupigania . Siku zimepita na maisha yanaendelea.
Tulipata hiyo habariUmemsahau Machibya na Odong...Odong walimweka Central halafu interpol wakamsepesha fasta mpaka uganda
Nilikwenda kumwona Odong Central tukampelekea na chakula, siku inayofuata tulipoenda kumpelekea chakula wakayuambia interpol wamemchukuaTulipata hiyo habari
DuuuuuuuuuNilikwenda kumwona Odong Central tukampelekea na chakula, siku inayofuata tulipoenda kumpelekea chakula wakayuambia interpol wamemchukua
Alikua shemela wangu, haha alikua anatoka na best friend wangu enzi hizo mapenzi motomoto bahati mbaya interpol wakawatenganishaDuuuuuuuuu
😂😂😂😂😂😂😂au ulikuwa unamtunuku tundaaaaaaaaaaa!.Maana si unajua tena kichuo chuo.😂😂😂😂Alikua shemela wangu, haha alikua anatoka na best friend wangu enzi hizo mapenzi motomoto bahati mbaya interpol wakawatenganisha
Sua alifanikiwa kupata urais....alikuwa anasoma AEAAlihitimu SUA, udsm alifukuzwa....SUA pia aligombea urais wa chuo Japo hakufanikwa kupata
Mwita na bango lakeAliyeandamana peke yake ni Ndunguru au Mwita?
Umenikumbusha James Mbatia alivyotimuliwa kwa mambo kama hayo enzi za Mwinyi!Huu mwaka sitausahau pale mlimani.
Washikaji zetu ,Christopher mbusule, Lusako ,Ndunguru na wengine wengi tu walipoteza chuo.
Mlimani city ilikuwa jumba la maficho . Tulikimbia tukajificha kwenye maduka. Wale jamaa walikuja na hasira kama za simba wakitutafuta.
Poleni sana washikaji wote mliopoteza chuo kipindi Hicho. Harakati zenu zilifanyika neema kwa wengine.
Mungu bado anatupigania . Siku zimepita na maisha yanaendelea.
Utakua unanifananisha au hilo jina linakuchanganya...Anyway.. wacha tuamini tu. Mi najua 2011 ulikua olevel kama sio advance
Danford alimaliza 2015...aliyempokea urais ndo huyo ndunguluKaribuuu......
Alisomea coz inaitwa AEA.....alikosa urais wa chuo, alishinda jamaa Anaitwa Danford a.k.a unshakable conquer......ambaye alikuwa malimu!!!
Tulidai 10,000 tukaongezewa ila 7,500 ila sasa hivi naskia ni 8,500 yani hadi leo haijafika 10,000 kwa siku daah ila enzi zile maisha yalikua marahisi sana yani RB 600 Wali Kitenesi(Njegere) ilikua 800 daah na juice ilikua 300 yani 3000 unaishi vizuri kabisa daahsina kumbukumbu vizuri lakini mgomo wa 10000 ulikuwa mzito ndo pesa ikapanda mpaka leo 7500 imegota hapo sijui kama imeongezeka
Uko sahihi college ilifungwa kwa week 3 kama sio mbili daaah nmemiss udsmmigomo kama mitatu ilitokea
1.wa 1st 2011 kama sikosei hawakupata mkopo wengi
2.mgomo wa 10000
3.mgomo wa COET
Mkuu mm nilkimbilia pale kwenye kaa zahanati kachuo huku mabomu yakirindima njeDah...huo mgomo ulifanya watu kua wanariadha kwa lazima. Nakumbuka tukiwa gate maji tukaamriwa kurudi nyuma tukajidai tumekaza, zikapigwa tear gas watu walitafutana sana kukimbilia COET na wengine sehemu tofauti tofauti.. Hao wanaharakati walikua na uwezo wa juu mno ku-convice na kuteka akili za watu. Watu walikua wako radhi mvua iwanyeshee pale Rev square kusikiliza nondo za hao jamaa....missing you muuuuuch UDSM.
Ooh, kumbe nduguru yule haaaaaaaaa mshenzii alipita vzr ila akawa kimya sana.....Danford alimaliza 2015...aliyempokea urais ndo huyo ndungulu
Eeeh alafu alivyokuja sua akawa kada wa ccmOoh, kumbe nduguru yule haaaaaaaaa mshenzii alipita vzr ila akawa kimya sana.....
Siku hizi hapa block G wapendanao ndio hukaa kuliwazana kunako majira ya jioniKulikua na jamaa ana jicho flani kama bovu tukimwita Baraka kijicho, ila yote kwa yote ni Alshababu alikuja pale Bibo tukakusanyika block G ilikua na amsha amsha mno. Sijui akili zilikuaje tu.
acha upoyoyo wewe yaani kwa akili yako unaamini kashindwa?msomi wa chuo kikuu hata neno "lecture" tu linakushinda kuliandika kwa ufasaha badala yake unaandika "lekicha". sasa si bora tu ungeandika "mhadhara wa kitaaluma"
kumbe bora hata mimi niliyeishia darasa la nne B.