2011 UDSM nilinusurika kukamatwa

Nilimaliza kwa amani.

Na baada ya masomo nimefanya mabadiliko.

Nimejituma kufanya kazi na siasa pia ninafanya kwa kufuata sheria za nchi.

Mabadiliko siyo kuandamana bila sababu ya msingi.
Kumbe hawakua na sababu ya msingi walikuwa wapuuzi tu
 
Nakumbuka sana hili tukio mgomo uliamuliwa baada ya waziri wa elimu ndugu Shukuru kawambwa kufika UDSM na kutangaza kupandisha boom mpaka shilingi elfu 7 kwa siku
 

Huyu mshikaji mwili wake ulikua hauendani na matendo yake[emoji2] mwili mdogo vurugu nyingi.....Ila kuna mbavu moja ya Duce tulikua tunapoa nayo mabibo ilikua inaamsha sana aisee[emoji1544]
 
Hahaha halafu kama sijakosea huo mgomo watu wa COET kama vile walijitenga navyokumbuka ni kama vile walifunga geti lao ngwini wasiingie mule hahaha

Hamkuleta barua rasmi ya maombi kuwajoin kwenye mgomo [emoji2][emoji2][emoji2]

Sema mlizingua kuna siku tumepanga tukutane revo square chuo kizima saa4 , coet tukatimba nyie hamkutokea, mkaja saa7 Coet hatupo, mkajikusanya na mademu zenu mkaja kufanya vurugu Coet[emoji2][emoji2] tuliwachapa tukafunga geti mazima tukaanza mgomo wetu mwingine wa kutaka mwana wenu aliekua discontinued arudishwe [emoji23][emoji23] tulikiwasha mpaka college nzima tukatimuliwa
 
ila kuna mgomo wao mwanafunzi alifukuzwa walilazimisha watu wagome wakagoma wenyewe na yule mwanafunzi hakurudishwa ukaishia juu juu tu

Haukuishia juu juu tulitimuliwa college nzima tulirudi baada kama ya miezi 2
 
Hapana ile picha aliyoandamana peke yake alikuwa amevaa suruali nyeusi, shati jeupe na tai nyekundu kama sikosei
 
Nilimaliza kwa amani.

Na baada ya masomo nimefanya mabadiliko.

Nimejituma kufanya kazi na siasa pia ninafanya kwa kufuata sheria za nchi.

Mabadiliko siyo kuandamana bila sababu ya msingi.
Unamaanisha yale maandamano yalikuwa hayana msingi?
 
Nakumbuka sana hili tukio mgomo uliamuliwa baada ya waziri wa elimu ndugu Shukuru kawambwa kufika UDSM na kutangaza kupandisha boom mpaka shilingi elfu 7 kwa siku
7,500
 
Haha chakula cha wapemba watu walikuwa wanadai kina walakini, walikuwa wanapima kingi sana watu walikuwa wanajaa hatari
 
Ila na nyinyi mtu wenu aliekamatwa na chabo darasani tukawatoseni tukasema kumbe jamaa ni vilaza wacha wapambane na hali zao hahahaah...
 
Wengine tumesoma vyuo vya kanisa...kwetu utii ilikua ni ticket yako ya kumaliza chuo. Inaonekana nimemisi mavurugu mengi sana vyuoni, hivyo kuna chembe chembe fln za maisha ntakua nimekosa!!!
 

Hope huko walipo mambo yanawaendea sawa..
 
Wewe na mwenzio mnawakilisha wengi mno ninaowaona kwenye interviews. Hayo "mavyuo" ya hovyo yanatoa wanafunzi wengi tu kila mwaka, siyo wewe tu.
we mzee mbona una complicate maisha sana,,maisha simple sana haya unayafanya magumu..wazee kama nyie skuiz tunachapa bakora tu,na laana atupati.
 
Na pia mgomo mmoja ulianzisha mwingine...

Emeka, Francis,mimi na wengine tulikua tunatetea waliofukuzwa kwenye mmogomo wa awali warudishwe tukajikuta tunaungana nao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…