Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,083
Ndio mkuu nilianza upya wakati pale nilikua nimebakiza mwaka mmoja kumaliza
Ila nilikoanza nilimaliza salama
Dah nmetokaa mpk machozi kipindi hikii hali ilikuwa tete mno, tumefka tu chuo 2010, tukamkuta Ally Hapi (chuoni alijulkana kama Salum) mwanaharakati akatuaminisha kuwa yeye ni Mpinzani anampinga rais (Kipara) ambaye alitajwa kama mwana CCM kumbe mchumia tumbo Salum Sijui Hapi nilikuwa namuona ndumilakuwilii mnoo, mwisho wa siku kwa usaliti alioufanya alikimbia Chuoo manake raia walkuwa na Hasira nae Vibayaa ila tanzania wasaliti ni wengi mno, nakumbuka baada ya wanaharakati wengi kufukuzwa ndo wale viongozi wa Daruso namkumbuka mbusule ambae alikuwa Speaker walivosimama kututetea wakatemwa pia ila mule mule Daruso walikuwemo machizi, basii wanafunzi wakajiweka pembeni, akaibuka Ndunguru jamaa alkuwa na mwilii mkubwa, Hoja nzito nae akakamatwaa ndo akatokea Alshabaab...Huyu jamaa alkuwa Kichwa, Organiser mzurii Mno, aaaah nmemkumbka Alshabiib haaa Kizazi cha Kuhojii kilishiaa hapaa UDSM....
Dah Coet ndio imekua hivyo siku hizi wakati zamani FOE na baadae Coet ndio walikua waasisi wa kunji karibu zoteNi kweli mkuu.COeT kwenye mgomo mara nyingi walikuwa si washirika wazuri
Ninyi mliyafanya haya 2011 Mimi niliyafanya haya 2004 nikiwa mwaka wa tatu.
Alishabib ni Mwanamke lakini alitisha sana kuliko wanaume kibao pale Udsm. Japokua na yeye alitimuliwa..Dah nmetokaa mpk machozi kipindi hikii hali ilikuwa tete mno, tumefka tu chuo 2010, tukamkuta Ally Hapi (chuoni alijulkana kama Salum) mwanaharakati akatuaminisha kuwa yeye ni Mpinzani anampinga rais (Kipara) ambaye alitajwa kama mwana CCM kumbe mchumia tumbo Salum Sijui Hapi nilikuwa namuona ndumilakuwilii mnoo, mwisho wa siku kwa usaliti alioufanya alikimbia Chuoo manake raia walkuwa na Hasira nae Vibayaa ila tanzania wasaliti ni wengi mno, nakumbuka baada ya wanaharakati wengi kufukuzwa ndo wale viongozi wa Daruso namkumbuka mbusule ambae alikuwa Speaker walivosimama kututetea wakatemwa pia ila mule mule Daruso walikuwemo machizi, basii wanafunzi wakajiweka pembeni, akaibuka Ndunguru jamaa alkuwa na mwilii mkubwa, Hoja nzito nae akakamatwaa ndo akatokea Alshabaab...Huyu jamaa alkuwa Kichwa, Organiser mzurii Mno, aaaah nmemkumbka Alshabiib haaa Kizazi cha Kuhojii kilishiaa hapaa UDSM....
Unakumbukumbu nzuri unanikumbusha kurudi home kisa shule advance hatukuwa na chakulaKipindi hicho shule nyingi zilikuwa zinakabiliwa na baa la njaa, kama kumbukumbu ziko sawa kipindi hicho wazabuni waligoma kwa sababu serikali ilikuwa haijawalipa kwa muda mrefu, baadhi ya shule zilifikia hatua ya kufungwa kwa ukosefu wa chakula
Ndio maana watu wanalalamikia elimu yetu. Wewe umesoma mpaka chuo kikuu. Lakini unaandika paragraph nzima bila kituo. Msitari juu ya msitari.... Hata sielewi story ya Salum imeishia wapi na hiyo nyingine imeanzia wapi!
Unakumbukumbu nzuri unanikumbusha kurudi home kisa shule advance hatukuwa na chakula
Kwani amesoma bachelor of Kiswahili
Bila shaka utakuwa ngosha.Nimesoma Engineering lakini nakumbuka shule ya msingi na sekondari nilifundishwa punctuation. Labda uniambie kuwa siku hizi mnakwenda chuo kikuu bila kupita sekondari na msingi. Tatizo ni kwamba "mavyuo" yamekuwa meeeengi, hata msiostahili mnakwenda na kumaliza. Vyuo vingine hata havina sifa za kuwa vyuo.
Bila shaka utakuwa ngosha.
Mavyuo ndo nini?
Kazi kukosoa wengine wakati sie tunapiga story tu na wala hatuandiki official barua
Daah alshabaab Mungu ambariki sana popote pale alipoNilichojifunza kwenye wengi poana mengi. Wewe unaweza ukawa unafikiri kua lengo lenu ni moja ila kumbe miongoni mwenu kuna watu wana maelngo tofauti kabisa na maovu. Kusema kweli mgomo wa 2011 ulikua wa mwisho na sidhani kama itakaa kutokea mgomo mwingine tena kwenye vyuo vikuu.
Vijana walifanikiwa kwa asilimia mia moja kwenye mgomo ule japo furaha iligeuka msiba baada ya kusherehekea ushindi kwa kutaka kwenda kutoa kipigo kwa viongozi wa serikali ya wanafunzi (DARUSO) ambapo ilikuja kutafsiriwa kama jaribio la kutaka kupindua serikali ya wanafunzi.
Wakati mwingine najiuliza kama wale wanaosomea uandishi wa habari (Mass communication) matukio kama yale hawawezi hata kuyaandalia habari kwa kina na kuja na kitabu au makala zinazoelezea kwa kina kiini cha tatizo na masimulizi mpaka ilivyoisha na hasara au faida zilizopatikana.
Ila yote kumi tisa yule jamaa aliyejiita alshabab alikua mtu wa tofauti sana (Charismatic leader) kwa waliokuwepo mitaa ya chuo na kufatilia kiundani jamaa alijaliwa uwezo wa kushawishi watu.
jina lake lilikua halifahamiki kwa hiyo hata utawala walipata shida sana kumdhibiti mana hawajui ni nani wala anasoma kozi gani, alisumbua sana.
Usijibizane nae huyo inaonekana huenda Ni mtu mzima Sana! Maana Ana komplikeshen za ajabuHuwezi nipangia namna ya kuandika,fuatilia mambo yako,nitaandika kwa namna ninavyotaka,mpuuzi niyule anayehangaika na miandiko ya watu
Al shabab na kale kamwil kake kadogo...Kuna yeyote ana taarifa za Alshabaab na Ndunguru kwa sasa??...Wako wapi na wanafanya nn??...
Ulisoma Panctuation na mwalimu nani aliyekufundsha "Labda" ufuata baada ya kituo kikubwa....Kakojoe ulaleeNimesoma Engineering lakini nakumbuka shule ya msingi na sekondari nilifundishwa punctuation. Labda uniambie kuwa siku hizi mnakwenda chuo kikuu bila kupita sekondari na msingi. Tatizo ni kwamba "mavyuo" yamekuwa meeeengi, hata msiostahili mnakwenda na kumaliza. Vyuo vingine hata havina sifa za kuwa vyuo.
hahahaha yupo wapi bahati tweve!Huyo huyo Ndunguru akafika revolution square pale, akaanza kutema hoja baada ya muda watu wakajaa, jamaa yuko peku peku anaongea balaa. Kilichokua kinasisimua zaidi ni hoja zilivyokua zinatolewa. Baada ya Ndunguru na wengine kukamatwa sasa ndio chuma Alshabab kilipoamka sasa,, akaanza peke yake ku mobilize watu na kuhubiri. The guy will make a very good politician sijui yuko wapi siku hizi.
Ulisoma Panctuation na mwalimu nani aliyekufundsha "Labda" ufuata baada ya kituo kikubwa....Kakojoe ulalee