2 Explosions rock Boston Marathon finish line...2 dead, scores injured!

2 Explosions rock Boston Marathon finish line...2 dead, scores injured!

Haianzii na kazi ya polisi tu. Ni mchanganyiko wa mambo mengi kuanzia mitaa kupangwa vizuri, watu kutambuliwa, uwepo wa surveillance cameras mitaani, wananchi kuwa na elimu, vitendea kazi, mafunzo ya polisi. Nadhani mmeona kuwa walitumika SWAT ambao ni polisi wenye mafunzo na vifaa maalum kwa kazi maalum.

Tusiwavunje moyo polisi wetu kwa kuwatolea kauli ya kejeli. Wanafanya kazi kwenye mazingira magumu sana.

Wakati Marekani kila polisi ana gari lake la kufanyia kazi, sisi polisi wetu wanapanda dalala kwa kubishana na konda awasamehe nauli kwa sababu ya uniform.

Wakati Marekani kila polisi anapewa radio communication equipment, sisi polisi wetu wanatumia simu zao kwa credit zao kuwasiliana.

Kitu pekee ambacho polisi wetu wanapata kwa kiwango kinachotosheleza ni uniform na viatu tu.

Kwahiyo tusitegemee muujiza kwenye ufanisi kama hatuinvest kwenye usalama kwa kuwawezesha polisi wetu kupata mafunzo na vifaa vya kisasa.
ZeMarcopolo ni nani amesababisha POLISI wetu wafanye kazi katika mazingira magumu? Je, ugumu huo ndio uliowafanya wakwapue 150M za Mfanyabiashara pale Kariakoo zilizoangushwa na kaka jambazi??
 
ZeMarcopolo ni nani amesababisha POLISI wetu wafanye kazi katika mazingira magumu? Je, ugumu huo ndio uliowafanya wakwapue 150M za Mfanyabiashara pale Kariakoo zilizoangushwa na kaka jambazi??

Tabia za kukwapua pesa za mfanyabishara ni kinyume cha maadili, ni kosa la jinai na linapaswa kushughulikiwa na vyombo vya sheria.
 
FBI wamefanya kazi gani ya kijasusi saaaana hapa?

Baada ya kulipua marathon vijunki vimeenda ku stick up duka la Seven-Eleven na kuiba magari na kurushiana vibomu na polisi tena winji winji bila kujibadilisha toka siku ya marathon, sasa hapo polisi gani angeshindwa kuwadaka hawa? Walichofanya cha ajabu sana hapa FBI sikioni.
You are NOT GT, hivi katika CCTV kugundua just a unique movement ya vijana wawili katika MASS ya watu kama wale unadhani ni UMBURULA? Halafu uka draw conclusion na kutoa picha zao kwenye MEDIA unadhani ni kitu rahisi? Tanzania watu wanaibiwa kwenye ATMs za mabenki, wangapi walioiba wameshakamatwa? you are NOT serious au hujui unachoongea!
 
Haianzii na kazi ya polisi tu. Ni mchanganyiko wa mambo mengi kuanzia mitaa kupangwa vizuri, watu kutambuliwa, uwepo wa surveillance cameras mitaani, wananchi kuwa na elimu, vitendea kazi, mafunzo ya polisi. Nadhani mmeona kuwa walitumika SWAT ambao ni polisi wenye mafunzo na vifaa maalum kwa kazi maalum.

Tusiwavunje moyo polisi wetu kwa kuwatolea kauli ya kejeli. Wanafanya kazi kwenye mazingira magumu sana.

Wakati Marekani kila polisi ana gari lake la kufanyia kazi, sisi polisi wetu wanapanda dalala kwa kubishana na konda awasamehe nauli kwa sababu ya uniform.

Wakati Marekani kila polisi anapewa radio communication equipment, sisi polisi wetu wanatumia simu zao kwa credit zao kuwasiliana.

Kitu pekee ambacho polisi wetu wanapata kwa kiwango kinachotosheleza ni uniform na viatu tu.

Kwahiyo tusitegemee muujiza kwenye ufanisi kama hatuinvest kwenye usalama kwa kuwawezesha polisi wetu kupata mafunzo na vifaa vya kisasa.

Chifu, umeongea ukweli kabisa. Ila unasahau kuwa serikali ya chama unachokitetea mara kadhaa humu, ndiyo chanzo cha yote hayo.

Kwa kweli jeshi letu la polisi ni aibu. Siku moja nilifika kituo kimoja kikubwa tu cha polisi, katika maongezi, polisi mmoja akaanza kujidai kuwa wana "forensic unit". Dah! Kusikia hivyo nikaanza kuwaza CSI, CSI Miami, CSI LA n.k. Kumbe hiyo inayoitwa "forensic unit" ni uozo mtupu!

Ila kwa upande mwingine, nawalaumu mapolisi wetu; yaani pamoja na mazingira yao magumu ya kazi, lakini ukubali kutumiwa na wanasiasa!! Hivi wanajitambua kweli? Hawawezi kudai mazingira bora ya kazi? Wanaona sawa kupewa miwani ya giza, mabomu ya machozi, mawashawasha n.k. huku wakiwa hawana vitendea kazi vya kuweza kudaba wahalifu kama inavyotokea majuu?
 
Haianzii na kazi ya polisi tu. Ni mchanganyiko wa mambo mengi kuanzia mitaa kupangwa vizuri, watu kutambuliwa, uwepo wa surveillance cameras mitaani, wananchi kuwa na elimu, vitendea kazi, mafunzo ya polisi. Nadhani mmeona kuwa walitumika SWAT ambao ni polisi wenye mafunzo na vifaa maalum kwa kazi maalum.

Tusiwavunje moyo polisi wetu kwa kuwatolea kauli ya kejeli. Wanafanya kazi kwenye mazingira magumu sana.

Wakati Marekani kila polisi ana gari lake la kufanyia kazi, sisi polisi wetu wanapanda dalala kwa kubishana na konda awasamehe nauli kwa sababu ya uniform.

Wakati Marekani kila polisi anapewa radio communication equipment, sisi polisi wetu wanatumia simu zao kwa credit zao kuwasiliana.

Kitu pekee ambacho polisi wetu wanapata kwa kiwango kinachotosheleza ni uniform na viatu tu.

Kwahiyo tusitegemee muujiza kwenye ufanisi kama hatuinvest kwenye usalama kwa kuwawezesha polisi wetu kupata mafunzo na vifaa vya kisasa.

Just a simple question
Who is responsible kuhakikisha polisi wanakuwa na vitendea kazi vyote muhimu, miji inapangwa na watu wanatambuliwa
Is there any reason ya haya kushindikana?
 
ingekuwa imetokea bongo ingeundwa tume kuchunguza chanzo na baada ya hapa kimyaaa
 
Bahati nzuri akaonekana karibu na nyumbani kwa mtu amejificha kwenye boti, FBI wakapigiwa simu nakufika kwenye scene,

Nani aliwapigia simu FBI?

Manake mimi nijuavyo mtu akipiga simu 9-1-1 hiyo simu inaenda moja kwa moja kwenye local dispatch center na dispatcher ndo anawasiliana na local police (in this case Watertown PD) na emergency personnel wengine na kuwaelekeza wapi pa kwenda.

Na ni Bw. Hennenberry ndiye aliyepiga simu 9-1-1 kutoa taarifa kuwa anahisi kaona mtu kajificha ndani ya boti yake iliyoko uani kwake.

Na huyo dogo alikamatwa na police. Hakukamatwa na FBI.
 
Na huyu terrorist wa Kikristo je? GAIDI mkuu kabisa Africa ambaye hatasahaulika milele kwa kuua Waafrica kwa mamilioni na ambao bado Waafrica wanaendelea kuuawa chini ya mipango yake aliyoiacha ni NYERERE. Aliua Wazanzibar wasiopungua 20,000 kwa kumtumia Okello, mauaji ambayo yalikuwa ya kikatili haijapata kutokea kwenye historia ya Africa yaliyofanywa na Muafrica mwenzao aliyekuwa anatumiwa na Kanisa Katoliki pamoja na mabwana zake Wazungu na Wamarekani. Wazanzibari zaidi ya 200 walichomwa moto kwenye tanuri wakiwa hai kwenye mauaji hayo. Akaua Watanzania na Waganda wasiopungua 100,000 kwenye vita ya Kagera ili kumuondoa Idd Amin kwa maelekezo hayo hayo ya mabwana zake. Mauaji za DRC ya mamilioni ya watu yana mkono wake kupitia kwa Kabila. Mauaji ya kimbari ya Rwanda yana mkono wake kupitia kwa Kagame. Vita aliyopigana Museveni na kuua Waganda kwa maelfu ili aingie Ikulu ina mikono ileile iliyojaa damu ya Nyerere. Vita ya Biafra kule Nigeria ambapo Wakatoliki walitaka kujitenga na Serikali halali ya Nigeria ili wasiwe chini ya uongozi usiokuwa wa Kikatoliki ulifadhiliwa na Nyerere kwa kutumia rasilimali za Tanzania na kuua mamilioni ya Wanigeria.

Huyu Nyerere ndio GAIDI wa kujadiliwa ili tulinusuru bara letu kutoka kwenye makucha ya ugaidi yanayoendelea kuwatesa na kuua Waafrica chini ya mfumo wa ukoloni mambo leo badala ya kupoteza muda wetu kujadili vigaidi uchwara tena nje ya bara letu.

sitaki kuamini kama dini yako imezalisha magaidi wa kutosha kiasi cha kuanza kuzalisha na wasingiziaji tupe source ya haya yote uliyoandika hapa hatuitikii amin kama tuko msikitini ushahidi mbili.
mwacheni nyerere kawasaidia nyei mburula leo chuoni mnaonekana kwa juhudi za nyerere mgeishia kwenye ukonda na kuuza kahawa uganga wa kienyeji tu.
 
juzikati hapa US drone imerusha makombora ya hellfire kwenye mkusanyiko wa harusi huko A.stan na kuua watu karibu 30. Wapi post yako ya kulaani?. Au unalaani wakiuawa wazungu pekee.
ungejua mchango wa marekani huko a.stan usingeongea hayo marekani hata ikiua raia 5 hiyo siyo intetion ya marekani ni bahat mbaya na wana apologise can u imagine marekani inatumia pesa zake kwa ajili ya maslahi ya a.stan sasa watoto wa kike a.statn wanaweza kwenda shule bila wasiwasi wa magaidi ya kiislamu hizo ni juhudi za marekani leo nchi nyingi za kiarabu zina kimbilia demokrasia ambayo marekani anahubiri kila kona kama kuna nchi ya kuishukuru nyie ishukuluni marekani imewasaidia somali mali iraq, a.stan misri na pakistani kuliko hata saudia yenyewe
 
You are NOT GT, hivi katika CCTV kugundua just a unique movement ya vijana wawili katika MASS ya watu kama wale unadhani ni UMBURULA? Halafu uka draw conclusion na kutoa picha zao kwenye MEDIA unadhani ni kitu rahisi?
Kwanza sio kweli kwamba FBI waligundua "just a unique movement ya vijana wawili kwenye mass ya watu." Wangewagundua katikati ya mass ya watu wangewakamata katikati ya mass ya watu!

Second, waliopata picha zao sio FBI, ni mkimbiaji pamoja na mshangiliaji. Kwa hiyo hapo napo pia usije ukatupotosha.

Lakini kikubwa zaidi, FBI pamoja na polisi waliagiza kijiji kizima kijifungie ndani, na watu wakajifungia, Wamarekani walikuwa scared to death, vi terrerist vya kitoto vimekamatwa kwa sababu vilienda ku rob seven-eleven! Sasa hapo utanambia FBI walifanya nini cha ajabu?
 
You are NOT GT, hivi katika CCTV kugundua just a unique movement ya vijana wawili katika MASS ya watu kama wale unadhani ni UMBURULA? Halafu uka draw conclusion na kutoa picha zao kwenye MEDIA unadhani ni kitu rahisi? Tanzania watu wanaibiwa kwenye ATMs za mabenki, wangapi walioiba wameshakamatwa? you are NOT serious au hujui unachoongea!
huna habari yule mkubwa alikua yuko monitored na FBI tangu siku nyingi?walikua na data zake,picha etc .
 
Nani aliwapigia simu FBI?

Manake mimi nijuavyo mtu akipiga simu 9-1-1 hiyo simu inaenda moja kwa moja kwenye local dispatch center na dispatcher ndo anawasiliana na local police (in this case Watertown PD) na emergency personnel wengine na kuwaelekeza wapi pa kwenda.

Na ni Bw. Hennenberry ndiye aliyepiga simu 9-1-1 kutoa taarifa kuwa anahisi kaona mtu kajificha ndani ya boti yake iliyoko uani kwake.

Na huyo dogo alikamatwa na police. Hakukamatwa na FBI.
na eneo alilokamatiwa lilikua limeshakua out of searching perimetre ,kwamaana kwamba bila huyo raia mwema kutoka nje na kuona damu na hatimae kumuona suspect na kupiga simu polisi basi huyo kijana wasingempata siku hiyo.
 
Russia flagged up the suspects of the Boston bombing back in 2011, but US authorities did not take the threat seriously due to their ‘incompetence’ and ‘have something to answer for’, journalist Assed Baig told RT.

“You had two people flagged up by Russia, you spent billions of dollars on anti-terrorism. How then did two guys get under the radar after they were pointed out? … The US authorities have something to answer for. It’s not like the brothers were not known to the FBI, they were known,” Baig said.
RT: Russia reportedly got in touch with the U.S. in 2011 warning that the older Tsarnaev brother had radical Islamist links, but the FBI found nothing suspicious. How could that happen?

AB: Let me put it this way. If the Syrian government got in contact with America and said ‘look, there are Syrians in your country that we think are radical extremists’, would the FBI take it seriously? I think that it could be looked at a number of levels. It could be gross incompetence of the FBI, just not paying attention to this and not taking the threat seriously. Or it could have been they thought that these guys are not a threat to the US, they are a threat to Russia.
 
HATIMAYE MTUHUMIWA WA PILI
WA MIRIPUKO YA BOSTON
ATIWA MBARONI


MABOMU1.jpg


Mshukiwa wa mwisho katika utegaji wa mabomu yaliyowauwa watu 3 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 180 katika mbio za Marathon za Boston amekamatwa akiwa ndani ya boti. Polisi imesema kuwa amepelekwa hospitali akiwa mahututi.

Kukamatwa kwa mtu huyo Dzhokhar Tsarnaev, mwenye umri wa miaka 19 kumehitimisha operesheni kubwa ya siku nne, na kumekuja siku moja baada ya shirika la upelelezi la Marekani FBI kuchapisha picha za washukiwa hao.

Mshukiwa mwingine, Tamerlan Tsarnaev mwenye umri wa miaka 26 na ambaye ni kaka wa Dzhokhar, aliuawa jana Ijumaa katika majibizano ya risasi na polisi.

0,,16758762_403,00.jpg


Umati wa watu katika mji wa Boston ulishangilia kwa shangwe baada ya kuibuka kwa ripoti ya kukamatwa kwa mshukiwa huyo. Shughuli zote katika mji huo zilikuwa zimesimamishwa wakati operesheni ya kuwasaka vijana hao ilipokuwa ikiendelea.

Bado yapo maswali yasio na majibu Akizungumza muda mfupi baada ya kukamatwa kwa Dzhokhar Tsarnaev, rais wa Marekani Barack Obama alisema kukamatwa kwa mshukiwa huyo ilikuwa hatua muhimu katika mkasa unaohusu miripuko ya Boston.

Hata hivyo, Obama alisema kuwa bado yanabakia maswali yasio na majibu, ambayo ni pamoja na sababu iliyowafanya vijana hao kufanya mashambulizi, na ikiwa walikuwa na msaada katika uhalifu wao.

''Tutatathmini kilichotokea, na tutachunguza kama magaidi hawa walikuwa na washirika, na tutafanya chochote kinachohitajika kuhakikisha usalama wa watu'', alisema rais Obama.

Mripuko kwenye mbio za Marathon za Boston iliuwa watu 3 na kujeruhi zaidi ya 180

article-2311443-1965519A000005DC-483_964x542.jpg


Polisi wamesema walikuwa wakianza kukata tamaa katika operesheni yao, hadi pale walipopigiwa simu na raia ambaye ameiona damu kwenye boti yake, na kumkuta mshukiwa ndani ya boti hiyo akiwa ametokwa na damu nyingi.

article-2311443-19650BCC000005DC-84_470x423.jpg

Sasa hiyo risasi ya shingo alijipiga mbele ya polisi baada ya kutoka kwenye boti?, maana habari zinaonyesha kwamba alitoka kwenye boti mwenyewe baada ya polisi ku negotiate naye kwa nusu saa, walinegotiate vipi kama alikuwa haongei? picha ya juu inaonyesha wana mu intubate on the scene, ohhhhh!! this whole situation is just too ugly...
Nilidhani siku kama ya mashindano ya Boston polisi na FBI ndio wange tumia gadgets zao maarufu wanazosifika nazo ku prevent any attack..., nilidhani walau kungekuwa na CCTV cameras recording kila kona na watu walio gandisha macho kwenye screens kuzifuatilia kwa karibu etc
Sawa wamewapata watuhumiwa ugaidi...lakini mabomu ndio yamesharipuka, I wish ripoti nzima ingekuwa ni kuhusu FBI kuwakamata vijana wawili wa Chechen waliokuwa wakitaka kubomb marathon.... kama habari ya derailing plot jana kule Canada au walau hata wangesema bomu lilishindikana kulipuka kama ile habari ya underwear bomber....
 
Eight days after the terror attack that claimed the life of Martin Richard, 8, his family still has an anxious wait for news on his little sister, Jane, who has lost a leg and remains in a critical condition, it has emerged today.
Jane Richard, 7, is believed to have been standing on the marathon fence next to the big brother she idolized when Monday's blast took place.
Father Bill and mother Denise - who also suffered head injuries - are having to remain strong for their youngest child, who is fighting 'multiple injuries' from the terror attack after losing a leg.

article-2313360-19727745000005DC-219_306x423.jpg

article-2313360-19723DE6000005DC-580_306x423.jpg


Victim: Jane Richard, left, lost a leg in the terror attack and is still in a critical condition. Her brother Martin, right, was killed



article-2313360-1952F434000005DC-463_634x508.jpg
Family torn apart: Jane Richard, bottom left, is pictured in an undated photo with her family. Her brother Martin, eight, was killed in the terror attacks and her mother, Denise, has undergone brain surgery



article-2313360-1962CA89000005DC-280_634x605.jpg
Watching: Martin Richard leans against a barrier - believed to be with his younger sister and father - just yards from where terror suspect Dzhokhar Tsarnaev, 19, is thought to have left one of the two bombs


The couple buried their second oldest son in a private funeral today while their youngest remains hospitalised.

'The outpouring of love and support over the last week has been tremendous. This has been the most difficult week of our lives and we appreciate that our friends and family have given us space to grieve and heal,' they said in a statement.
'A private Funeral Mass was celebrated this morning with immediate family. We laid our son Martin to rest, and he is now at peace. We plan to have a public memorial service in the coming weeks to allow friends and loved ones from our community to join us for a celebration of Martin’s life.'
Jane is an enthusiastic Irish dancer having attended classes at the Clifden Academy of Irish Dance in Milton since the age of three.

Several Irish dance groups are now raising money to support her.

'She is just a beautiful little girl. We taught her since she was a baby, pointing her little toe,' Eileen Dillon Dinn, owner of the Clifton Academy, told the Irish Voice.

'We are just in a state of shock and disbelief. The Richard family is lovely. They went to the marathon as a happy family, and then this happened. We don’t know what to say.'

Jane loved to learn all the new moves at the academy, according to her teacher, and was on the sidelines at the recent Irish World Dance Championships in Boston dreaming that someday she would get the chance to compete.

'She’s a beauty, always smiling,' said Dillon Dinn. 'Jane really lives to dance.'
Her eldest brother Henry, 12, and father Bill managed to escape from the bomb attack uninjured.

Images from the scene appear to show Bill, 42, a community organizer, holding his youngest children up on the railings as Dzhokhar Tsarnaev plants his backpack bomb just behind them.

It isn't clear whether any of the women in the photograph is the children's mother, school librarian Denise, 43, who sustained head injuries and had to undergo brain surgery following the attack.
A spokesman for the family said he was unable to confirm the identities of those in the marathon image or provide an update for Jane's condition given she is under a privacy order.

The Children's Hospital of Boston did not identify the seven-year-old girl they said was still in a critical condition.


Read more: Boston bombing victims: Sister of Martin Richard who died in blast, lost her leg and remains critical | Mail Online
Follow us: @MailOnline on Twitter | DailyMail on Facebook
 
Back
Top Bottom