Dingswayo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 4,019
- 2,932
رحمة الله عليك
May God have mercy upon you
رحمة الله عليك
hahahahahaaaa....!!!. mia
لدي يسوع الذي هو الله. الله لا تستطيع أن تفعل شيئا لي. فعلا الله هو ميتMay God have mercy upon you
أستغفر الله الحديث القدسيWaislamu toka Chenchnya.simple as that
huo utani!kwa mtu mwenye siraha kuna udogo hapo?ila nimeamini kuna watu wako kikazi zaidi duniani,(FBI,CIA)hapa kwetu wanacheza tu.Na dogo lazima wamkamate akiwa hai,au amekufa.Too much force wanatumia kwa kadogo ka miaka 19! Huh!
shocking! vijana wadogo namna hiyo wameingiaje kwenye ugaidi? inasikitisha sana
Amekamatwa akiwa amejificha kwenye boat iliyokuwa imepaki ufukweni. Amejaribu kurushiana risasi na police hata hivyo mwishowe amekamatwa akiwa hoi.
Updates
Rais Obama ameipongeza team nzima iliyofanikisha zoezi hilo.
Andika chanzo cha habari!!