2 Explosions rock Boston Marathon finish line...2 dead, scores injured!

2 Explosions rock Boston Marathon finish line...2 dead, scores injured!

Sio sahihi kabisa kwanza kwa kuwa kwa kufanya hivyo amepoteza sifa za kuwa mkristo. Pili, ndani ya ukristo watu aina hii hutengwa mara moja na kanisa. Ni tofauti na kwenye uislamu.

Utashangaa wauwaji kama hawa hushangiliwa na kuonekana mashujaa. Hakuna viongozi wa kiislamu wanaojitokeza kulaani unyama huu na ikitokea hivyo basi wao kwa wao huhitilafiana baadhi wakipinga vitendo hivyo na wengine wakiunga mkono mara nyingine kwa maandamano.

Tumeshuhudia hapa hapa Tz mara kadhaa. Kama umesoma vizuri taarifa za hawa jamaa (hao magaidi wa Marekani) ni walikuwa waumini wazuri sana wakiswali swala tano kwa siku bila kukosa. Na si ajabu wakafanyiwa mazishi ya "kishujaa" na viongozi wao wa dini. Natumaini umeelewa Mkuu.

well said
 
... Tuwaite tena, waje kuwatafuta waliomua Padri kule znz...

Waje kumkamata nani huku mmeliachia lile jamaa walililolichora,hawa jamaa ni highest skilled people.Hii nchi inaboa sana ujue.
 
Walibugi tu step hawakusikiliza vizuri maelekezo ya shekhe aliyekuwa anawafundisha.

Ila Nyerere yeye hakubugi step. Alisikiliza vizuri maelekezo ya Papa aliyekuwa anamfundisha. Akaua Wazanzibar wasiopungua 20,000 kwa kumtumia Okello, Akaua Watanzania na Waganda wasiopungua 100,000 kwenye vita ya Kagera ili kumuondoa Idd Amin. Na aliendelea kuua Watanzania ama kwa dhahiri au kwa siri na wengine kuwatimua nje ya nchi ili matakwa ya kusimika Ukatoliki hapa Tanganzania yakamilike. Mauaji za DRC ya mamilioni ya watu yana mkono wake kupitia kwa Kabila. Mauaji ya kimbari ya Rwanda yana mkono wake kupitia kwa Kagame. Vita aliyopigana Museveni na kuua Waganda kwa maelfu ili aingie Ikulu ina mikono ileile iliyojaa damu ya Nyerere. Vita ya Biafra kule Nigeria ambapo Wakatoliki walitaka kujitenga na Serikali halali ya Nigeria ili wasiwe chini ya uongozi usiokuwa wa Kikatoliki ulifadhiliwa na Nyerere kwa kutumia rasilimali za Tanzania na kuua mamilioni ya Wanigeria. Kuna GAIDI mkubwa aliyewahi kuwepo kwenye ardhi ya Africa kupitia mikono ya Katoliki kama Nyerere? Kama kweli Wakristo huwa wanawatenga Magaidi mbona Nyerere hakutengwa na badala yake anasifiwa na anatayarishwa kupewa Utakatifu?
 
Wakwanza aliuwa na polisi majuzi na sasa wa pili katiwa mbaroni baada ya mapambano makali ya kurushiana risasi na polisi,wananchi wanapongeza jeshi la polis.Sisi watuhumiwa wa Kibanda bado ni kizungumkuti.Source:BBC

KUTEKWA KIBANDA: Sasa unataka polisi wajikamate? You are not serious if you don't know that police are part of the SAGA!
 
Israel's mossad website say those brothers were working under the direction of FBI trying to inflitrate wahab network which they did but they turn arround and bite them.it is on debka.com.
 
[h=1]Boston jihad bomber Tamerlan Tsarnaev: "I'm very religious"[/h]
"Tamerlan says he doesn't drink or smoke anymore: 'God said no alcohol.' A muslim, he says: 'There are no values anymore,' and worries that 'people can't control themselves.'"
"Everything We Know About Tamerlan Tsarnaev, Dead Bombing Suspect," by Timothy Burke at Deadspin, April 19:
ku-medium.jpg

Authorities are now confirming the two suspects sought in Monday's Boston Marathon bombing are two Russian-born Chechen brothers, Tamerlan and Dzhokhar A. Tsarnaev. Tamerlan, the older brother, is dead. Here's what we know about him.
It's not much, and most of it's derived from a photo gallery. We know Tamerlan Tsarnaev was 26 and a competitive boxer for a club named Team Lowell, who won the Rocky Marciano Trophy for being New England Golden Gloves heavyweight champion in 2010. He did this while taking time off from school at Bunker Hill Community College, where he studied in hopes of being an engineer.
We know he had a YouTube profile, where he created a playlist dedicated to terrorism. The photo gallery features his girlfriend at the time, and the caption reads:
Tamerlan says his girlfriend is half Portuguese, half Italian girlfriend and converted to Islam: "She's beautiful, man!"
​
ku-medium.jpg

Other photo captions in the gallery:
Tamerlan demonstrates a way of walking to strengthen the ankle muscles at the Wai Kru Mixed Martial Arts center. A native of Chechnya, Tamerlan says: "In Russia, we used to train like this. Here nobody does it, I don't know why!"
Tamerlan says he doesn't drink or smoke anymore: "God said no alcohol." A muslim, he says: "There are no values anymore," and worries that "people can't control themselves."
Tamerlan says he doesn't usually take his shirt off so girls don't get bad ideas: "I'm very religious."
​
Read it all.
​
 
ISLAMABAD: According to American news channel CNN, former president Gen (Retd) Pervez Musharraf has acknowledged that his government secretly struck an agreement with US allowing American forces to carry out drone strikes in the tribal areas of Pakistan.
Musharraf admits to a secret drone deal with US: report - thenews.com.pk

Huu ukatili unaweza kuchangia sana ku de humanise people sawa na ule ukatili wa 9, 11 au huu wa Boston. victims wa haya matukio (iwe Marekani au Middle East) hawaelewi motives behind the attacks, wanaachoona ni watoto na watu wasio na hatia wamekufa, miguu imekatwa etc....
hizo drones zimeua watoto na watu wengi wasio na hatia...sawa watasema walikuwa wanatarget insurgents, lakini walijua kabisa kwamba pamoja na hao insurgents kuna watoto na innocent civillians lakini wakatarget tu anyway...hivi let say kwenye hizo harusi ambako inadaiwa terrorists wanajificha, kungekuwa na wamarekani kama watano hivi wamealikwa, wangepiga tu mabomu?

Ugaidi ni kitu kibaya sana, dunia isipozinduka , watoto walioshududia haya mabomu ya juzi kule US au Middle East wanaweza wakawa ndio terrorists wa kesho.
 
Wanasema walikwisha anza kukata tamaa mpaka walipopigiwa simu na mama mmoja, nasi tujifunze kuvipa ushirikiano vyombo vyetu badala ya kuwa ndo walalmikaji daily!
 
Haianzii na kazi ya polisi tu. Ni mchanganyiko wa mambo mengi kuanzia mitaa kupangwa vizuri, watu kutambuliwa, uwepo wa surveillance cameras mitaani, wananchi kuwa na elimu, vitendea kazi, mafunzo ya polisi. Nadhani mmeona kuwa walitumika SWAT ambao ni polisi wenye mafunzo na vifaa maalum kwa kazi maalum.

Tusiwavunje moyo polisi wetu kwa kuwatolea kauli ya kejeli. Wanafanya kazi kwenye mazingira magumu sana.

Wakati Marekani kila polisi ana gari lake la kufanyia kazi, sisi polisi wetu wanapanda dalala kwa kubishana na konda awasamehe nauli kwa sababu ya uniform.

Wakati Marekani kila polisi anapewa radio communication equipment, sisi polisi wetu wanatumia simu zao kwa credit zao kuwasiliana.

Kitu pekee ambacho polisi wetu wanapata kwa kiwango kinachotosheleza ni uniform na viatu tu.

Kwahiyo tusitegemee muujiza kwenye ufanisi kama hatuinvest kwenye usalama kwa kuwawezesha polisi wetu kupata mafunzo na vifaa vya kisasa.
 
Mkuu.@RGforever FBI wabovu kumkamata mtu wamekwenda kwake huyo kijana mwenye umri wa miaka 19 na wanajeshi Elfu 9 kumkamata mtoto wa miaka 19 huo ndio uozo mkubwa na udhaibu wa ulinzi wa Marekani nchini mwao hawafanyi kazi vizuri kabisa. Walivyokwenda kumkamata huyo kijan utafikiri wanakwenda kupigana vita ahhh? huo ndio udhaifu mkubwa wa ulinzi wa amerika haswa nchini mwao pumbavu kabisa.
 
Wamekwenda kwake wapi? Huu uzushi mwingine sijui huwa mnautoa wapi! Yule kijana alikimbilia eneo la makazi ya watu, ulitegemea Askari wamtafute vp? Na ilikuwa kumtafuta kwake ni nyumba hadi nyumba na eneo ni kubwa kulikuwa na uwezekano wa kukimbia, ndio maana wakatumia Askari wengi Bahati nzuri akaonekana karibu na nyumbani kwa mtu amejificha kwenye boti, FBI wakapigiwa simu nakufika kwenye scene, hawakuweza kumkaribia kwani walikuwa wanafikiri amevaa explosive Kama kawaida Yao, walichofanya ni kutumia helicopter ambayo inaweza detect image hata Kama umejificha kwenye Giza! Na kuthibitisha kwamba kuna mtu kweli amejificha kwenye hiyo boti, ikatokea majibizano ya risasi na huyo kijana gaidi lakini baadae akasalimu amri baada ya kutumia negotiator tactics , kulikuwa na intelligence failure ya FBI kwasababu Russia intelligence walishawaonya FBI ktk hao vijana wawili Yule mkubwa inasemekana alishakuwa radical na kuwa trained huko Chechnya wamarekani wakamhoji mwaka Jana na kutochukulia taarifa za Russia seriously kwasababu warusi na wachechnya hawaivi, wamarekani wakaona hizo ni fitna za warusi kumbe taarifa zilikuwa na ukweli.
 
Haianzii na kazi ya polisi tu. Ni mchanganyiko wa mambo mengi kuanzia mitaa kupangwa vizuri, watu kutambuliwa, uwepo wa surveillance cameras mitaani, wananchi kuwa na elimu, vitendea kazi, mafunzo ya polisi. Nadhani mmeona kuwa walitumika SWAT ambao ni polisi wenye mafunzo na vifaa maalum kwa kazi maalum.

Tusiwavunje moyo polisi wetu kwa kuwatolea kauli ya kejeli. Wanafanya kazi kwenye mazingira magumu sana.

Wakati Marekani kila polisi ana gari lake la kufanyia kazi, sisi polisi wetu wanapanda dalala kwa kubishana na konda awasamehe nauli kwa sababu ya uniform.

Wakati Marekani kila polisi anapewa radio communication equipment, sisi polisi wetu wanatumia simu zao kwa credit zao kuwasiliana.

Kitu pekee ambacho polisi wetu wanapata kwa kiwango kinachotosheleza ni uniform na viatu tu.

Kwahiyo tusitegemee muujiza kwenye ufanisi kama hatuinvest kwenye usalama kwa kuwawezesha polisi wetu kupata mafunzo na vifaa vya kisasa.
Ni nani anayetakiwa kuyatekeleza hayo je mwananchi wa kawaida au serikali? Pesa zinazotafunwa na mafisadi si zingweza kufanya hayo yote?
 
Terrorist wa Kiislamu tayari yuko ndani.

Mimi ni mkristo ila Kitendo cha kuita Muslim terrorist sio kizuri.Mimi hayo nimeyasikia USA na kila dini Ina Extremist .We need to respect people's faith
 
He's Muslim terrorist period that doesn't mean all Muslims are terrorist, they're practice what Muhammad taught them kill non believer, slain them and you will be awarded heaven,if you hate American why the hell u going there anyway? Go to Sudan,Pakistan, Somalia, Saudi Arabia, Syria e.t.c. Bunch of losers, suck it up.
 
Mimi ni mkristo ila Kitendo cha kuita Muslim terrorist sio kizuri.Mimi hayo nimeyasikia USA na kila dini Ina Extremist .We need to respect people's faith
wewe utajua ubaya wao pale watakapo kuulia mwanao!!!!
 
Wamekwenda kwake wapi? Huu uzushi mwingine sijui huwa mnautoa wapi! Yule kijana alikimbilia eneo la makazi ya watu, ulitegemea Askari wamtafute vp? Na ilikuwa kumtafuta kwake ni nyumba hadi nyumba na eneo ni kubwa kulikuwa na uwezekano wa kukimbia, ndio maana wakatumia Askari wengi Bahati nzuri akaonekana karibu na nyumbani kwa mtu amejificha kwenye boti, FBI wakapigiwa simu nakufika kwenye scene, hawakuweza kumkaribia kwani walikuwa wanafikiri amevaa explosive Kama kawaida Yao, walichofanya ni kutumia helicopter ambayo inaweza detect image hata Kama umejificha kwenye Giza! Na kuthibitisha kwamba kuna mtu kweli amejificha kwenye hiyo boti, ikatokea majibizano ya risasi na huyo kijana gaidi lakini baadae akasalimu amri baada ya kutumia negotiator tactics , kulikuwa na intelligence failure ya FBI kwasababu Russia intelligence walishawaonya FBI ktk hao vijana wawili Yule mkubwa inasemekana alishakuwa radical na kuwa trained huko Chechnya wamarekani wakamhoji mwaka Jana na kutochukulia taarifa za Russia seriously kwasababu warusi na wachechnya hawaivi, wamarekani wakaona hizo ni fitna za warusi kumbe taarifa zilikuwa na ukweli.
Watu wanajua sana kutunga uongo, mtu kazama kwenye boti ndani ya makazi ya mtu; hapa jamaa anasema walikwenda kwake!.
 
Ni nani anayetakiwa kuyatekeleza hayo je mwananchi wa kawaida au serikali? Pesa zinazotafunwa na mafisadi si zingweza kufanya hayo yote?

Usichanganye mambo. Swala la anayeakiwa kutekeleza ni nani halihalalishi wewe kuwakejeli polisi ambao hawajapata tools and trainging za kutosha.

Ni sawa uende kijijini unakuana na AMO anatumia jitihada zake mbalimbali kuokoa maisha ya watu bila kuwa na vifaa vinavyohitajika halafu unamkejeli kwa kumfananisha na paramedic wa Marekani. Huyu unayemkejeli unamvunja moyo.

By the way, je wewe uko Bongo? Unafanya shughuli gani? je, hiyo shughuli yako unaifanya katika kiwango sawa na mtu anayefanya shughuli hiyo Marekani?
 
Back
Top Bottom