2 Explosions rock Boston Marathon finish line...2 dead, scores injured!

2 Explosions rock Boston Marathon finish line...2 dead, scores injured!

Dah! Just imagine "binadamu" anayeweza kufanya vitendo kama hivi naye anajiita "muumini" tena aliyezama kwenye imani ya dini yake. Inachukiza na kuudhi kweli kweli. Vipi Mkuu Ritz na washirika wengine mnasemaje hapo?

Hivi Ramadhani Ighondu naye huwa anaswali msikitini? au ni jina tu kwani maishani mwangu sijawahi kukutana na mgogo muislam
 
Dah! Asante kwa kutukumbusha. Waliomwaga damu kule Zanzibar ni sawa kabisa na madai yako. Lile kundi la UAMSHO linalohamasisha vurugu na mauwaji kila uchao ni hivyo hivyo. Asante sana kwa utafiti wako.
mbona unawasahau wale wachuna ngozi wa mbeya.au waua albino wa huku bara.
 
mbona unawasahau wale wachuna ngozi wa mbeya.au waua albino wa huku bara.

Usiwe mvivu wa kufikiri au kutafuta "vijisababu". Hoja iliyoko mezani ni UGAIDI; tena "ugaidi ulioenda shule". Wewe unatuletea viroja vya washirikina wa Mbeya? Tukifikia somo la ushirikina lete hoja yako hii tuidadavue na wallahi nakuapia kwa aliyeumba kike na kiume "wale jamaa" pia hawachomoki kwenye hili.
 
Al-madrasatul hadith.

i know you dont have enough education to understand what am talking about.why dont you switchon the little knowledge you have and google FBI entrapment or fbi sting operation so that you know what am talking about.
I know it is pretty difficult for you to analyse things but try hard.
 
hivi wewe unajua wamerekani wameua watoto na wamama wasio na hatia milioni ngapi hadi saa hii?unajifanya una uchungu sana na wamarekani watatu waliolipuliwa wakati wamarekani wanaua daily maelefu ya watu?au wewe dudu ni mmarekani nini?au umeleta thread kwa lengo la kuibua mtifuano?maana mimi nilidhani unareport kumbe una issue nyumba ya thread.coomon bring it on,am going to crush your muthaf...ng points.

Huyu Dudu kichwa chake kimejaa kamasi
 
i know you dont have enough education to understand what am talking about.why dont you switchon the little knowledge you have and google FBI entrapment or fbi sting operation so that you know what am talking about.
I know it is pretty difficult for you to analyse things but try hard.

Pathetic! How educated one should be to "understand" what you're talking about? If education is what you're trying to entail here then I better not to be so.
 
Mshaanza mabishano ya kijinga ya kidini, sijui mkoje nyie makanjanja wa JF mnaboa sana si muangalie mlipojikwaa na wala sio mlipoangukia
 
Usiwe mvivu wa kufikiri au kutafuta "vijisababu". Hoja iliyoko mezani ni UGAIDI; tena "ugaidi ulioenda shule". Wewe unatuletea viroja vya washirikina wa Mbeya? Tukifikia somo la ushirikina lete hoja yako hii tuidadavue na wallahi nakuapia kwa aliyeumba kike na kiume "wale jamaa" pia hawachomoki kwenye hili.
hivi huo waweza kuiita ni ugaidi ulioenda shule.in any sense hao vijana sio profesheno ni .

-target ..hivi profesheno gani anachagua target kama ile halafu na mda wa kuplant hilo bomu inakua ni mda huohuo wakati kuna mamia ya watu arround.isitoshe hilo eneo lilikua centre of attention kwa mda huo ,meaning licha ya usalama kuwepo hapo bado lazima pro angejua kuwa kuna kamera kila kona kwahiyo kuwa eneo lisilofaa kwa target.
-haya wamefanya tukio na kufanikiwa yet badala ya kuondoka mji huo na hata jimbo hilo bado wakawepo arround.profesheno yeyote anakua ameshaweka plan ya getaway kabla hata hajafanya shambulio.
_karibu siku nne baada ya tukio picha zao zinawekwa hadharani kama suspect,hapo ndo wanapanick na kwenda kwenye duka kutaka kuiba pesa wanashitukiwa ,wanateka gari na kuanza kukimbizana na askari.pro gani anafanya uhalifu wa kuattract attention wakati yuko on the run?.
Uhalifu ni uhalifu tu uchune ngozi,uuwe albino,ulipue watu kwa ndege,drone,mizinga au bomu la kwenye pressurecooker,murder is murder.
 
Pathetic! How educated one should be to "understand" what you're talking about? If education is what you're trying to entail here then I better not to be so.
hahaha.,first thing first if you have brain,WHAT DO YOU KNOW ABOUT FBI ENTRAPMENTS OPERATIONS.?
 
hivi huo waweza kuiita ni ugaidi ulioenda shule.in any sense hao vijana sio profesheno ni .

-target ..hivi profesheno gani anachagua target kama ile halafu na mda wa kuplant hilo bomu inakua ni mda huohuo wakati kuna mamia ya watu arround.isitoshe hilo eneo lilikua centre of attention kwa mda huo ,meaning licha ya usalama kuwepo hapo bado lazima pro angejua kuwa kuna kamera kila kona kwahiyo kuwa eneo lisilofaa kwa target.
-haya wamefanya tukio na kufanikiwa yet badala ya kuondoka mji huo na hata jimbo hilo bado wakawepo arround.profesheno yeyote anakua ameshaweka plan ya getaway kabla hata hajafanya shambulio.
_karibu siku nne baada ya tukio picha zao zinawekwa hadharani kama suspect,hapo ndo wanapanick na kwenda kwenye duka kutaka kuiba pesa wanashitukiwa ,wanateka gari na kuanza kukimbizana na askari.pro gani anafanya uhalifu wa kuattract attention wakati yuko on the run?.
Uhalifu ni uhalifu tu uchune ngozi,uuwe albino,ulipue watu kwa ndege,drone,mizinga au bomu la kwenye pressurecooker,murder is murder.

Walibugi tu step hawakusikiliza vizuri maelekezo ya shekhe aliyekuwa anawafundisha.
 
Basi watu wengine kwa kujifanya eti wanauchungu na maisha ya wamarekani kuliko hata wamarekani wenyewe.
Wamerekani wenyewe baadhi yao wanahisi serikali yao ina mkono katika tukio hilo .hivi unajua kuwa mtu wa kwanza kunaswa katika tukio hilo ni msaudia ,ikaja fahamika kuwa anatoka kwenye family ya kigogo kule saudi na hiyo family ina connection na algaida.
Lakini obama alikutana na ofisa wa saudia,yule junk akawa freed ila wakamrudisha kwao.
Wanasema tukio la boston laweza kuwa ni falseflag.
 
Tukio la Marekani linapaswa kulaaniwa na kila mpenda haki na amani. Vinginevyo tukidhani halituhusu eti ni la huko huko Marekani tunajidanganya. Vijana wetu wanajifunza nini hapo? Kwamba unaweza kuvamia mikusanyiko kama viwanja vya michezo, maeneo ya ibada, n.k. na ukauwa watu unavyotaka?

Ni tukio la kulaani kwa nguvu zote hata kama halijatokea kwenye ardhi yetu. Ni wapuuzi wachache watashabikia unyama huu kama wanavyoshabikia mengine kama yale ya kuvamia nyumba za ibada, kushambulia viongozi wa dini, n.k.
 
HATIMAYE MTUHUMIWA WA PILI
WA MIRIPUKO YA BOSTON
ATIWA MBARONI


MABOMU1.jpg


Mshukiwa wa mwisho katika utegaji wa mabomu yaliyowauwa watu 3 na kuwajeruhi wengine zaidi ya 180 katika mbio za Marathon za Boston amekamatwa akiwa ndani ya boti. Polisi imesema kuwa amepelekwa hospitali akiwa mahututi.

Kukamatwa kwa mtu huyo Dzhokhar Tsarnaev, mwenye umri wa miaka 19 kumehitimisha operesheni kubwa ya siku nne, na kumekuja siku moja baada ya shirika la upelelezi la Marekani FBI kuchapisha picha za washukiwa hao.

Mshukiwa mwingine, Tamerlan Tsarnaev mwenye umri wa miaka 26 na ambaye ni kaka wa Dzhokhar, aliuawa jana Ijumaa katika majibizano ya risasi na polisi.

0,,16758762_403,00.jpg


Umati wa watu katika mji wa Boston ulishangilia kwa shangwe baada ya kuibuka kwa ripoti ya kukamatwa kwa mshukiwa huyo. Shughuli zote katika mji huo zilikuwa zimesimamishwa wakati operesheni ya kuwasaka vijana hao ilipokuwa ikiendelea.

Bado yapo maswali yasio na majibu Akizungumza muda mfupi baada ya kukamatwa kwa Dzhokhar Tsarnaev, rais wa Marekani Barack Obama alisema kukamatwa kwa mshukiwa huyo ilikuwa hatua muhimu katika mkasa unaohusu miripuko ya Boston.

Hata hivyo, Obama alisema kuwa bado yanabakia maswali yasio na majibu, ambayo ni pamoja na sababu iliyowafanya vijana hao kufanya mashambulizi, na ikiwa walikuwa na msaada katika uhalifu wao.

''Tutatathmini kilichotokea, na tutachunguza kama magaidi hawa walikuwa na washirika, na tutafanya chochote kinachohitajika kuhakikisha usalama wa watu'', alisema rais Obama.

Mripuko kwenye mbio za Marathon za Boston iliuwa watu 3 na kujeruhi zaidi ya 180

article-2311443-1965519A000005DC-483_964x542.jpg


Polisi wamesema walikuwa wakianza kukata tamaa katika operesheni yao, hadi pale walipopigiwa simu na raia ambaye ameiona damu kwenye boti yake, na kumkuta mshukiwa ndani ya boti hiyo akiwa ametokwa na damu nyingi.

article-2311443-19650BCC000005DC-84_470x423.jpg
 
I don't know and I don't need to know! So what?
you dont need to know because ,you dont want to look at things from different persepective.

You just beliave your persepective is all that matter,you think all of us a wrong and you alone is right and knows everything.
Man you have got a problem or you are just dumb.
 
Wenzetu wako makini sana na wanajua kazi yao.Acha hao wetu wanafanya kazi kisiasa,badala ya kutulinda wao kazi kutuua tu.
 
Swaaaaaaffffiiiiiii hawa ndio polisi sasa. Hawa wa kwetu wako kama mgambo wachumia tumbo
 
Back
Top Bottom