elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,764
wenzetu wakivalia jambo juga huponi, kweli wanajua investigation hadi unaweza dhania naangalia Nikita
Wakwanza aliuwa na polisi majuzi na sasa wa pili katiwa mbaroni baada ya mapambano makali ya kurushiana risasi na polisi,wananchi wanapongeza jeshi la polis.Sisi watuhumiwa wa Kibanda bado ni kizungumkuti.Source:BBC
Washenzi kweli hao. Wamewa-categorize kama nani? Ni magaidi ya kiislamu au ni wapuuzi wengine mkuu?
Washenzi kweli hao. Wamewa-categorize kama nani? Ni magaidi ya kiislamu au ni wapuuzi wengine mkuu?
Washenzi kweli hao. Wamewa-categorize kama nani? Ni magaidi ya kiislamu au ni wapuuzi wengine mkuu?
baada ya picha zao kuwekwa hadharani walipaniki na wakataka kugetaway,walienda kwenye chuo kimoja hapo wakajaribu kuondoka na gari mlinzi alipowashitukia kukatokea kutupiana risasi ,askari mmoja alikufa hapo,wakawa wanafukuzwa na askari huku wakirushiana risasi.walisimamisha gari na yule mkubwa akatoka kwenye gari mda huo askari wameshafika akawafuata askari mbiombio alikua na mkanda wa milipuko,lengo lilikua ajilipue nao ili dogo apate nafasi ya kutoroka.Wakwanza aliuwa na polisi majuzi na sasa wa pili katiwa mbaroni baada ya mapambano makali ya kurushiana risasi na polisi,wananchi wanapongeza jeshi la polis.Sisi watuhumiwa wa Kibanda bado ni kizungumkuti.Source:BBC
hawa wanawalink na alkaida ni magaidi ni raia wa chechinya jimbo moja huko rusia.
Magaidi ya Kiislam
Ni ndugu wawili, wote wakiwa na asili ya Russia, na ni waislamu. Mkubwa alizidisha imani ya uislamu baada ya kuoa, ambapo alionekana akifanya swala tano tofauti na kabla hajaoa... Huyo mkubwa (aliyeuawa juzi) aliwahi kunukuliwa akiilaumu serikali ya marekani kuwa walikuwa wanatumia biblia kama kisingizio cha kuvamia nchi nyingine, na aliita biblia "a cheap copy of koran"...
Mtanganyika mwenzangu eti wanamwita gaidi(terrorist).Unaweza kulinganisha na hawa real terrorists
Washenzi kweli hao. Wamewa-categorize kama nani? Ni magaidi ya kiislamu au ni wapuuzi wengine mkuu?
baada ya picha zao kuwekwa hadharani walipaniki na wakataka kugetaway,walienda kwenye chuo kimoja hapo wakajaribu kuondoka na gari mlinzi alipowashitukia kukatokea kutupiana risasi ,askari mmoja alikufa hapo,wakawa wanafukuzwa na askari huku wakirushiana risasi.walisimamisha gari na yule mkubwa akatoka kwenye gari mda huo askari wameshafika akawafuata askari mbiombio alikua na mkanda wa milipuko,lengo lilikua ajilipue nao ili dogo apate nafasi ya kutoroka.
Walimwahi kabla hajawafikia wakamlamba risasi,akaenda chini huku bomu lake nalo likimripukia.yule dogo kuona hivyo alitumia nafasi hiyo ya moshi wa bomu kutoka baruti na gari.ndo akawa kawaponyoka jana yote mchana wameitumia kupekua nyumba moja baada ya nyingine .walikua takribani askari 20,000 kwenye zoezi hilo.
Wamemkuta kwenye boat akiwa kajeruhiwa yuko hoi,kwamaana kwamba amejeruhiwa tangu usiku wa kuamkia jana.
Kwa hiyo magaidi ni waislamu tu. Kweli kichwa chako kimejaa kamasi!!!!
Duh! Thanks wakuu kwa kutuhabarisha. Watu wengine sijui wanataka nini Yarabi? Wanaharibu sana image nzuri ya hii dini; kila neno ugaidi likitajwa suspects wa kwanza ni waislamu na at the end inakuwa proved kweli! Chonde chonde waislamu wa Tz; hebu tuidhihirishie dunia vinginevyo badala ya kuingia kwenye mitego ya hawa mahayawani yasiyojali utu yanayofata sera za gaidi na shetwani nambari wani duniani marehemu Osama bin Laden (rest in hell).