...enhe wajuvi wa mambo ya wikiendi,
kwanza nimeambiwa marufuku kuulizia umri,
then?
.... give/offer her a drink, don't ask if she wants one! Should not be beer/lager to begin with!!!
Hiyo wamekuuza- usipoulizia umri utauliza nini sasa? Hizo dates zenu ziko complicated, kama unam-date malaika! Kama ni mtu wa kawaida mi nachukua history kamili including age, education, ethnicity + work history!
Kinywaji unamuulizia, kama anataka beer unampa kitu anataka- la sivyo ukampa soda wakati ni mtu wa wine, atakuona kenge!
...enhe wajuvi wa mambo ya wikiendi,
kwanza nimeambiwa marufuku kuulizia umri,
then?
.... give/offer her a drink, don't ask if she wants one! Should not be beer/lager to begin with!!!
...OK SteveD, wot about kulala? kwangu au kwake?
...OK SteveD, wot about kulala? kwangu au kwake?
...Saikosisi, vipi kuhusu ku share bili, au kama ana chenji kuongezea ongezea?
Mbu, jamani hata date haijakolea, hujui hata jina lake la katikati ushaanza fikiria ya kulala..... duh! hatari kweye lango eh!!! Hivi ni kwa nini waume woote yaani nianze kuhesabu ukienda date na mtu, kakuinvite dinner, date inakwenda vizuri sana... mbele ya chopsticks na kadhalika, dume linaanza.. oh oh sijui twende kwangu. mmmmmmmmmmm.. sasa hayo ya kwako date ya kwanza! ni ya nini???
...
Nimezoea 'kidate' changu cha kwanza nakutana na demu akiwa katoka gengeni, natia neno huku yeye anang'atang'ata vidole na kuchuma majani yaliyoko kando ya njia huku akiniitikia kwa kutikisa kichwa chake juu na chini! Perfect!!
Sidhani kama kuna systematic way ya jinsi ya kuhandle first date. I would say, go with the flow. Kama wimbi la mazungumzo linaelekea kwenye mambo ya umri, hey why not. Kama upepo unavuma kuelekea kwenye kusogeleana karibu, there is nothing wrong with that.
My point is, the 'flow' is what is going to determine "what to do" and "what not to do."
Afterall, zaidi ya 75% ya first dates zinaendelea mpaka kesho yake asubuhi anyway. Kwa hiyo huwa kuna usiku mzima wa 'kujuana' kwa undani zaidi...
...😀 ha ha haa ....
KKN siku hizi utakuta mwanaume ndio anatafuna kucha, huku akichuma majani na guu pande maana 'demu' kakutumbulia macho utafikiri anapiga xray ubongo wako umekaaje!
Tusijisahau jamani, sisi ni waafrika! Haya mambo ya sijui 'date' ni utamaduni wa kizungu. Mimi enzi zangu demu nikimtokea- 'date' ya kwanza nilikua namuelekeza gheto tu, akija najua anataka mambo,asipotokea najua amechomoa- simple as that!
Siyo wengi wenye uwezo wa kumtoa demu mara tatu au zaidi huku ukimpiga msosi wa nguvu na mvinyo- kipato kinagomba kwa wengi. Fun enough, baada ya mitoko yote hii unaweza kuambulia kibuti, pheew!- what a waste of time and money, why dont we just get straight to the point (african way!)badala ya kuendekeza mambo ya tamthilia?
Nimezoea 'kidate' changu cha kwanza nakutana na demu akiwa katoka gengeni, natia neno huku yeye anang'atang'ata vidole na kuchuma majani yaliyoko kando ya njia huku akiniitikia kwa kutikisa kichwa chake juu na chini! Perfect!!
...naaaaaam QM,
sasa...katika huo mnyumbulisho wa mazungumzo ya hizo 3/4 za 1st dates utayakwepaje makombora ya hapa na pale, wengine wanahoji mfano;
"huwa unatumia condom?" au;
"ushalala na wangapi?"
Babu formula ya kale! mademu wa gendeni...in this time and age ungepiga puchu sana tuu kama ujamtoa mtoto hata lunch lol
wakuu biashara za kidate miezi 6 nalipa bills za mtoko daily na mademu hawa uwoyas type kila mtoko msimbazi ka 5 lazima ziishe,kweli siwezi
unanipenda? njoo gheto tumalizane