1st date: things not to do! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

1st date: things not to do!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mbu, Jan 11, 2009.

 1. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...enhe wajuvi wa mambo ya wikiendi,
  kwanza nimeambiwa marufuku kuulizia umri,
  then?
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  .... give/offer her a drink, don't ask if she wants one! Should not be beer/lager to begin with!!!
   
 3. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2009
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hiyo wamekuuza- usipoulizia umri utauliza nini sasa? Hizo dates zenu ziko complicated, kama unam-date malaika! Kama ni mtu wa kawaida mi nachukua history kamili including age, education, ethnicity + work history!
  Kinywaji unamuulizia, kama anataka beer unampa kitu anataka- la sivyo ukampa soda wakati ni mtu wa wine, atakuona kenge!
   
 4. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...OK SteveD, wot about kulala? kwangu au kwake?

  ...Saikosisi, vipi kuhusu ku share bili, au kama ana chenji kuongezea ongezea?
   
 5. Saikosisi

  Saikosisi JF-Expert Member

  #5
  Jan 11, 2009
  Joined: May 4, 2007
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Bili nitalipa, lakini akijifanya kutaka kulipa sitakuwa mgumu kihivyo-. Kulala unamtega, akilegea analala kwako, ili mradi usi-insist.
   
 6. M

  Malila JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2009
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Unampelekaje mtu usiyemjua home kwako? au utaendaje kulala kwake kirahisi hivyo. Akija kwako akiwa mwizi utalia,na ukienda kwake kama ana jamaa yake mwingie,ukipata ngeu utasemaje? take care !!!!
   
 7. Quemu

  Quemu JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2009
  Joined: Jun 27, 2007
  Messages: 986
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Sidhani kama kuna systematic way ya jinsi ya kuhandle first date. I would say, go with the flow. Kama wimbi la mazungumzo linaelekea kwenye mambo ya umri, hey why not. Kama upepo unavuma kuelekea kwenye kusogeleana karibu, there is nothing wrong with that.

  My point is, the 'flow' is what is going to determine "what to do" and "what not to do."

  Afterall, zaidi ya 75% ya first dates zinaendelea mpaka kesho yake asubuhi anyway. Kwa hiyo huwa kuna usiku mzima wa 'kujuana' kwa undani zaidi...

  Duh hii inaweza kuwa tricky. Maana unaweza kumpatia soda, halafu baadaye (date ikienda kombo) ukajapigwa madongo. I mean, I would still ask her what would she like to drink.

  Inategemea wapi karibu..kwake au kwangu...lol.

  Hata hivyo, wadada wengi huwa waoga kwenda kulala kwa mwanaume kwenye first date (is that right?) for obvious reasons. Pengine hotelini kunaweza kuwa muafaka zaidi.
   
 8. Kichuguu

  Kichuguu Platinum Member

  #8
  Jan 11, 2009
  Joined: Oct 11, 2006
  Messages: 7,202
  Likes Received: 863
  Trophy Points: 280
  Usiombe uroda
   
 9. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  Mbu, jamani hata date haijakolea, hujui hata jina lake la katikati ushaanza fikiria ya kulala..... duh! hatari kweye lango eh!!! Hivi ni kwa nini waume woote yaani nianze kuhesabu ukienda date na mtu, kakuinvite dinner, date inakwenda vizuri sana... mbele ya chopsticks na kadhalika, dume linaanza.. oh oh sijui twende kwangu. mmmmmmmmmmm.. sasa hayo ya kwako date ya kwanza! ni ya nini???
   
 10. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 135
  Tusijisahau jamani, sisi ni waafrika! Haya mambo ya sijui 'date' ni utamaduni wa kizungu. Mimi enzi zangu demu nikimtokea- 'date' ya kwanza nilikua namuelekeza gheto tu, akija najua anataka mambo,asipotokea najua amechomoa- simple as that!
  Siyo wengi wenye uwezo wa kumtoa demu mara tatu au zaidi huku ukimpiga msosi wa nguvu na mvinyo- kipato kinagomba kwa wengi. Fun enough, baada ya mitoko yote hii unaweza kuambulia kibuti, pheew!- what a waste of time and money, why dont we just get straight to the point (african way!)badala ya kuendekeza mambo ya tamthilia?
  Nimezoea 'kidate' changu cha kwanza nakutana na demu akiwa katoka gengeni, natia neno huku yeye anang'atang'ata vidole na kuchuma majani yaliyoko kando ya njia huku akiniitikia kwa kutikisa kichwa chake juu na chini! Perfect!!
   
 11. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...shishi naweeeeee!

  haya basi, baada ya kurudishwa home, busu lipi linafaa? la mdomoni, shavuni au mkononi?
   
  Last edited: Jan 11, 2009
 12. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...:D ha ha haa ....

  KKN siku hizi utakuta mwanaume ndio anatafuna kucha, huku akichuma majani na guu pande maana 'demu' kakutumbulia macho utafikiri anapiga xray ubongo wako umekaaje!
   
  Last edited: Jan 11, 2009
 13. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...naaaaaam QM,

  sasa...katika huo mnyumbulisho wa mazungumzo ya hizo 3/4 za 1st dates utayakwepaje makombora ya hapa na pale, wengine wanahoji mfano;

  "huwa unatumia condom?" au;

  "ushalala na wangapi?"
   
 14. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 135
  Duu!!? hiyo nayo kali, hiyo ndio midemu 'kidate' cha kwanza tu anakula kuku mzima na bia 10!
   
 15. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Babu formula ya kale! mademu wa gendeni...in this time and age ungepiga puchu sana tuu kama ujamtoa mtoto hata lunch lol
   
 16. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  haya yalinikuta
  condom yes
  ushalala na wangapi ndo utata namba double digits zinageuka kuwa 3 or 4. ahahahahaha
   
 17. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #17
  Jan 11, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 135
  It still work kaka, kazi mnayo nyie mnaofukuzia kina 'Beyonce', mi bado nasarandia kuku wa kienyeji bwana, mtoto ukimhonga buku 10 tu anakuambia "aii wee, miela yote hii si ungepeleka nyumbani kwetu ukaifanya mahari?" LOL!
   
 18. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #18
  Jan 11, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  wakuu biashara za kidate miezi 6 nalipa bills za mtoko daily na mademu hawa uwoyas type kila mtoko msimbazi ka 5 lazima ziishe,kweli siwezi
  unanipenda? njoo gheto tumalizane
   
 19. Kana-Ka-Nsungu

  Kana-Ka-Nsungu JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2009
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 2,260
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 135
  Thats my boy! woo, woo,woo! Unafukuzia demu utadhani unaomba ajira???!
   
 20. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #20
  Jan 11, 2009
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,419
  Likes Received: 81,466
  Trophy Points: 280
  LOL!....enzi zako zimeshapitwa na wakati. Siku hizi ukitaka kumuelekeza Ghetto siku ya kwanza ili ukananihii ;) basi anakukimbia na hutamuona tena
   
Loading...