1st date: things not to do!

...naweee, haya ni mazungumzo baada ya habari, hata marriage counsellors sumtimes wanakwambia 'try it'...

Mlipuko wa HIV na STD nyingine wenye macho hatuambiwi ona, na hasa nikikumbukia your thread sumtime ago na nikakwambia 1st date yaweza jiandaa na 'meno' kama hii ...yote katika kumfunza mwanaume adabu! na ukware wake!

Ahahahah Mbu, wewe na wenzako ndio wa kushikishwa adabu... nakununulia hiyo dinner, gari langu na nakupeleka kwangu... kama utadhubutu kuyarudia tena!!!:cool:
 
Ahahahah Mbu, wewe na wenzako ndio wa kushikishwa adabu... nakununulia hiyo dinner, gari langu na nakupeleka kwangu... kama utadhubutu kuyarudia tena!!!:cool:

...mnh :( nimejitetea kwako mpaka nikauvuka msitari hapa jamvini, phheeewww! painkiller yu makini kweli kweli. Ngoja nikatie udhu mie na kumlaani sheytani...
 
...enhe wajuvi wa mambo ya wikiendi,
kwanza nimeambiwa marufuku kuulizia umri,
then?

Avoid asking direct questions to maintain her comfort.Bring interesting stories and don show u a sexual oriented even if it happen to be so
 
Ha ha haa...

Inaonekana wengi wame-base kwenye 'moral rights' kwenye kudiscuss hii topic. Je in real life, first date nyingi huwa zinakwendaje/zinaishaje?

I bet kama kila mmoja wetu hapa angeinamisha kichwa chini kwa dakika moja na kuhesabu ni date ngapi alizokwenda ambapo 'mambo' yalivuka mpaka siku ya kwanza tu, basi asilimia kubwa wangebaki kutoa tabasamu la aibu.

Tunasoma kwenye makaratasi (vitabu, magazeti) na mitandaoni sheria zote ambazo zinapaswa kufuatwa kwenye makutano ya kwanza. Lakini ikija kwenye kupractice, tunasahau sheria zote na kufuata mtiririko wa date. Si wanaume, wala si wanawake, sote huwa tunatekwa na "at first sight" thing kiasi kwamba tunajikuta tunadhani tumejuana kwa miaka mingi.

I mean, hivi ni mara ngapi imeshawahi kutokea kuwa date inaanza kwa kustahiana na kuchorana, halafu kadri muda unavyokwenda mkajikuta miguu yenu ime-cross each other na mnapeana vi-hug kila baada ya dakika? Haya mambo huwa yanahitaji chemistry kuwa formed haraka tu. Once chemistry ikiwa formed, kureach comfort zone is as easy as 1,2,3. The rest ni mtiririko tu....
 
Watu eeh,hapa suala la msingi ni kula,sasa kama umepewa mazingira ya kula first date then why not?But kinga muhimu,inategemea umemweka katika mazingira yapi kwani hata wao hua wanatutega sisi.Ukizubaa basi nae anakubania,ukikomaa nae huyooo
siwajua hawa wadudu ni SITAKI NATAKA?
 
Kila kitu huzaliwa,kikakua na mwisho hufa. Date huzaliwa. lakini date sio Universal. inatawaliwa na Tamaduni za watu husika. tatizo ni pale watu wa tamadni tofauti wanaponza kudate na hawazifahamu kanuni na tamaduni za mwenza.
Mfano kwa walio ughaibuni tamaduni zao kuvua chupi ni dakika za mwisho kwelikweli. mtaanza kahawa au chai, mtaenda meals and dinners, mtaingia kwenye denda na baadaye ndiyo uone chandani. na katika hatua hizo at any time mambo yaweza kuishia hapo na hakuna noma. Ukizidi sana fuatafuata police wako mlangoni sexual harrassment.
Lakini kwa dada zangu zangu wa kiafrika aaa ile kukonyeza tu mtu kalowa tayari. ukimwambia mtu sasa tukutane wapi na wakati gani binti mwenyewe anasuggest pick me twende kwako maana kwetu wazazi wakali kama nini!! hasemi open spaces.public aaa. mzee akishatinga ndani kazu kwako na atakuona mshamba kweli ukimwacha aende mkavu!!
unless date kwa lengo la kutafuta mke hapo be carefu. Vilevile shule nayo in matter. kama binti kenda darasa hana pupa unless an mshawasha mwenyewe.

Wenzetu wazungu siku akitaka makamalee anakuambia kabisa na anakuja amejiandaa na vizibio hakuna talalila hapo ni ngoma juu kwa juu!! Lakini wenzangu na mimi unaomba makamalee anasema mbona mapema huku amalegea na kuanza kusarua!! very tricky. ILA ALWAYS TUMIA DOUBLE VIZIBIO UKIMWIIIIIIIII!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
 
Why uroda, denda, hugs ktk first date? nina uhakika kama una nia ya dhati na ya kudumu na hicho ki date wala hautokuwa na haraka bali kuweka mipango yako ya baadae, most of date ambazo zinaishia kulana uroda, kulana denda na mengineyo yenye mlengo wa ngono at fist place huwa hazidumu, kwani baada ya muda mwanamume ukikaa, na kuanza kufikiria unajiuliza ....... hivi huyu siku ya kwanza tu kanipa, je huwa anawapa wangapi? na je anafaa kweli kuwa naye baadaye? si wengine watamfanyia hivyo hivyo? ....... na wanawake jamani tunaomba mjiheshimu na kulinda uanamke wenu sio kukubali kujiachia kwa mtu ambaye ndio kwanza unamuona.

..... haya ndio yale yale unafanya ngono na mtu hadi asubuhi hujui hata jina la babake zaidi ya jina lake mfn. PETER, au ROSE, basi.... Tukumbuke kuna ukimwi so be careful guys...
 
....... na wanaume jamani tunaomba mjiheshimu na kulinda uanaume wenu sio kumwomba kila unayemuona.
Tukumbuke kuna UKIMWI. So let us all be careful....
Utamaduni, Asante kwa wito!
 
kwa kweli ni vigumu kujua how to treat this baby, lakini personality yake ndio ufunguo wa kujua vipi uanze na vipi utamaliza.
 
kwa kweli ni vigumu kujua how to treat this baby, lakini personality yake ndio ufunguo wa kujua vipi uanze na vipi utamaliza.

...Canady, that's a case of judging a book by its cover, 'charm is deceitful and beauty is vain!' ...kutia mkono kwenye tombola na kumuibua sungura au mkono kuliwa na fisi yote ni majaaliwa....
 
...naaaaaam QM,

sasa...katika huo mnyumbulisho wa mazungumzo ya hizo 3/4 za 1st dates utayakwepaje makombora ya hapa na pale, wengine wanahoji mfano;

"huwa unatumia condom?" au;

"ushalala na wangapi?"

hapo sasa ndipo mtakapoanza kudanganyana mapemaaaa...hakuna mwanaume/mwanamke atakae kuambia ukweli juu ya hilo swali la kulala na wangapi, esp wanaume utaambiwa historia kibao, sipendi aniulize/kumuuliza hilo swali kabisa,labda tu kwa baadae muulizane kwanini uhusiano wake mwingine ulienda kombo?hapo napo usipokuwa makini utapewa historia, aiii ni 50-50 anyway.
 
wakati huo nilikuwa sipendi kabisa mwanaume aanze kuniambia stori za sex kwenye 1 date, tuongee mengine kabisa, kama marafiki wa kawaida! kuna wale wanaume wanatongoza kama hawatongozi vile hawana haraka kwa lolote, wao kwao stori zinatosha mpaka kinaeleweka kiutu uzima, kiss tu ya shavuni inatosha kwenye 1 date.
 
madhumuni hasa ya 1st date ni kuandaa mazingira ya 1st uroda, kwa hiyo njemba inabidi utumie akili say 3 times ya demu. Usiwe na ratiba rasmi, lakini uwe focused. Know what you want and derive towards it. Kama unata tu mjuane (yaaani NATO - No Action Talking Only) basi onyesha wazi katika majibu yako, pia kama unataka nanihii basi kuwa mbele yake kimawazo. Wasichana wengi huwa wanatoa siku ya kwanza kama anaona her privacy rights have been met.
 
Mazingira ya hiyo first date yataashiria nini kina fuata. Ila kama mwanamke nilikuwa napendelea twende mahali tukale chakula cha jioni na stori zaidi. Zaidi ya kupiga busu la shavuni hamna lingine baada ya hapo. Mkiachana mtaendelea kuandikiana ujumbe mfupi na kupigiana simu huku mkisifiana na kuelezeana matarajio yenu katika penzi jipya.

Nikiulizwa umri napenda kujibu nimezaliwa miaka labda ya 1970 au 1980 kama ni mwanzoni au mwishoni.

Ila kama utafanya mapenzi first date mpira wa kinga ni muhimu. Wanaume wanapenda kusema wamesahau kununua/kuchukua. Inafurahisha sana!

siyo kila date ina maana au mwelekeo!
 
kuna wale wanaume wanatongoza kama hawatongozi vile hawana haraka kwa lolote, wao kwao stori zinatosha mpaka kinaeleweka kiutu uzima, kiss tu ya shavuni inatosha kwenye 1 date.

...inawezekana alishaanza kukutongoza siku nyiiiingi, 'wewe hukujua', siku ya 1st outing mwenzio dhamira yake ni kufahamiana zaidi!...

...Ila kama utafanya mapenzi first date mpira wa kinga ni muhimu. Wanaume wanapenda kusema wamesahau kununua/kuchukua. Inafurahisha sana!

...hakuna ubaya wewe mwanamke ukawa nazo za spare, au unaonaje?
 
Ndio maana wengi wanaachana na ujentoman...sheria zimezidi.
Na hao walioacha ujentoman wanafanikiwa kwa sana tu...
You should just let it take its own course...usiigize.

Tatizo siyo kuigiza.You just be who you are.Thats all.
Inategemea pia malezi yako ndugu yangu.
Ur upbringing will so much determine your personality
 
Kila kitu huzaliwa,kikakua na mwisho hufa. Date huzaliwa. lakini date sio Universal. inatawaliwa na Tamaduni za watu husika. tatizo ni pale watu wa tamadni tofauti wanaponza kudate na hawazifahamu kanuni na tamaduni za mwenza.
Mfano kwa walio ughaibuni tamaduni zao kuvua chupi ni dakika za mwisho kwelikweli. mtaanza kahawa au chai, mtaenda meals and dinners, mtaingia kwenye denda na baadaye ndiyo uone chandani. na katika hatua hizo at any time mambo yaweza kuishia hapo na hakuna noma. Ukizidi sana fuatafuata police wako mlangoni sexual harrassment.
Lakini kwa dada zangu zangu wa kiafrika aaa ile kukonyeza tu mtu kalowa tayari. ukimwambia mtu sasa tukutane wapi na wakati gani binti mwenyewe anasuggest pick me twende kwako maana kwetu wazazi wakali kama nini!! hasemi open spaces.public aaa. mzee akishatinga ndani kazu kwako na atakuona mshamba kweli ukimwacha aende mkavu!!
unless date kwa lengo la kutafuta mke hapo be carefu. Vilevile shule nayo in matter. kama binti kenda darasa hana pupa unless an mshawasha mwenyewe.

Wenzetu wazungu siku akitaka makamalee anakuambia kabisa na anakuja amejiandaa na vizibio hakuna talalila hapo ni ngoma juu kwa juu!! Lakini wenzangu na mimi unaomba makamalee anasema mbona mapema huku amalegea na kuanza kusarua!! very tricky. ILA ALWAYS TUMIA DOUBLE VIZIBIO UKIMWIIIIIIIII!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!1
JAMBO LA MSINGI SANA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom