Hiyo ni prefix ambayo hutumika badala ya 1000.
Ambapo 1k = 1000
10k = 10,000
Vp kila mdau ametoa ufafanuzi wengine wanapingana so nimeamua kuchagua jibu ilo cz sijui nimwamini nani mfano unatafuta njia na we mgeni ,,wenyeji wanapingana unafanyaje unapita yoyote uliyoelekezwa na mmoja kati yao au ukemweli ni upi?
Maana ya kilo ni elfu (1000).
Utumika kuonyesha idadi ya kitu kilichotimia elfu moja.
100k = 100,000 (elfu moja Moja mia moja)
kwakweli aisee , nimecheka mimiElimu ni mhimu sana
pole chief naona mwanafunzi wako bado kabisa hahaha aisee
Nielimishe mkuu
kwakweli aisee , nimecheka mimi
Huyu ni mzito naturally mkuu.. hizo G zitamchanganya zaidiMkuu kwenye Physics na Mathematics na kote huko ambapo namba zinahusika tunavifupisho vyetu katika kuwakilisha namba
1.Ukiona k popote pale kwenye mahesabu ujue tunamaanisha 1000 mfano 7K =7000 yani wewe ongeza sifuri 3 kwa mbele
2.G ongeza sifuri 9 yani zidisha kwa 1000000000
3.M ongeza sifuri 6
4.m gawanya kwa 1000 mfano 1000m manake 1000/1000
5.
Mkuu kwakuwa umeuliza k mimi nimekuongezea nyingine hizo ili siku ukikutana nazo usishangae
Year Two Kilo(Year 2 Kilo)Mnakumbuka Y2K?
(Year 2000)
Upo nchi gani?1k mean elf 10
100k mean laki 1
1000k mean milion 1
12k mean elf 25000
Jiongeze sasa kupitia hiyo mifano
Upo inji gani? Ingekuwa huku kwetu ungeshtakiwa kwa uchochezi na mkojo ungepimwa1k mean elf 10
100k mean laki 1
1000k mean milion 1
12k mean elf 25000
Jiongeze sasa kupitia hiyo mifano
1k for 1 guyWajuvi wa mambo nisaidieni@ niliishia form four division5
Hii k kirefu chake ni nini???1k mean elf 10
100k mean laki 1
1000k mean milion 1
12k mean elf 25000
Jiongeze sasa kupitia hiyo mifano
KilobaHii k kirefu chake ni nini???
Hahahaa bro bana kilobaKiloba