Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,937
Hiyo ni prefix ambayo hutumika badala ya 1000.
Ambapo 1k = 1000
10k = 10,000



Hiyo ni prefix ambayo hutumika badala ya 1000.
Ambapo 1k = 1000
10k = 10,000



K ni kama lugha ya mtaani ikimaanisha 1000, inatokana na metric system kumaanisha Kilo...(1000m =1KILOmita au 1000g = 1KILOgram) hivyo si sahihi sana kimatumizi
Na Tsh. 100k?Acha ulongo wewe, hii ni JF kumbuka!!!
Eti lugha ya mtaani!! Mtaa gani??
K ni Kilo.. hapo ndio utapata na vizio vingine kama
kilowatts
kilometers
kilograms
kilotons n.k
Vp kila mdau ametoa ufafanuzi wengine wanapingana so nimeamua kuchagua jibu ilo cz sijui nimwamini naniNa Tsh. 100k?
mfano unatafuta njia na we mgeni ,,wenyeji wanapingana unafanyaje unapita yoyote uliyoelekezwa na mmoja kati yao au ukemweli ni upi?
♂️
♂️
♂️
Na Tsh. 100k?
Nimechagua jibu ilo cz majibu ni mengiVp kila mdau ametoa ufafanuzi wengine wanapingana so nimeamua kuchagua jibu ilo cz sijui nimwamini nanimfano unatafuta njia na we mgeni ,,wenyeji wanapingana unafanyaje unapita yoyote uliyoelekezwa na mmoja kati yao au ukemweli ni upi?
♂️
♂️
♂️


pole chief naona mwanafunzi wako bado kabisa hahaha aisee