1k maana yake nini?

Hapa tumwombe mheshimiwa atoe tamko kulingana na matumizi ya lugha. Nadhani itapendeza zaidi.
 
MADHARA YA KUTEGA DARASA LA HESABU
1k kibongobongo inamanisha 1000 lakini katika kiingereza inamaanisha kilobyte
kwaheri
 
Nimegoogle BT naona mapichapicha tu mkuu...

What is the meaning of 1k?

This page is about the various possible meanings of the acronym, abbreviation, shorthand or slang term: K HERE MEANS A THOUSAND. THEREFORE, 1K = 1,000, 2K = 2000.IT COMES FROM THE INTERNATIONAL SYSTEM OF UNITS (SI) "KILO" MEANING A THOUSAND AND BEARING THE SYMBOL "K"...

What is the number 1k?

k is an abbreviation for kilo. The prefix kilo- stands for 1000. e.g. kilometre is 1,000 meters. kilogram is 1,000 grams. So, people occasionally represent the number in a non-standard notation by replacing the last three zeros of the general numeral with "k": for instance, 1k (or 1K) for 1,000.

Haya sema ahsante headmaster.
 
MADHARA YA KUTEGA DARASA LA HESABU
1k kibongobongo inamanisha 1000 lakini katika kiingereza inamaanisha kilobyte
kwaheri
Poa@ mkuu ila najua wengi wameelimika ingawa hawasemi...watu wengi hawajui BT hawajui km hawajui na hawataki kuuliza....
 
Back
Top Bottom