Kwa comb ya HGL Chuo naweza kusomea nini?

Brightson7

Member
Feb 17, 2023
38
30
Oya washkaji nisaidieni niko form 6 namaliza mwakani niko tahasusi ya hgl lkn sijui chuo niende na cozi gani ukiachana na law, naombeni msaada wenu apo wa cozi zenye fursa nyingi
 
Yaan hata matokeo ya Mock hayajatoka, wee unawaza chuo ukasomee course gani, hebu piga tuit huko.

Course utakutana na kitabu cha muongozo wa TCU wakat wa kuomba vyuo.
 
Ss c tunawaza ya mbeleni jmn sio tunasoma tuu hatujui tuendako
 
Oya washkaji nisaidieni niko form 6 namaliza mwakani niko tahasusi ya hgl lkn sijui chuo niende na cozi gani ukiachana na law, naombeni msaada wenu apo wa cozi zenye fursa nyingi
Zipo nyingi Education,Sociology,community development,insuarence,human resource,public relations n.k
 
kuwa na adabu acha salamu za kihuni sio kijiweni hapa pia kuna wengine ni wazee wako wanaweza kukusaidia pia kimawazo ila lugha nzuri ni muhimu ukitaka kuwapata
 
Oya washkaji nisaidieni niko form 6 namaliza mwakani niko tahasusi ya hgl lkn sijui chuo niende na cozi gani ukiachana na law, naombeni msaada wenu apo wa cozi zenye fursa nyingi
Faulu Kwanza mdogo wangu utajua Tu ila angalia unapenda nini then angalia na future yako insha'Allah utaenda kufanya unachopenda sio unachotamani

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
Oya washkaji nisaidieni niko form 6 namaliza mwakani niko tahasusi ya hgl lkn sijui chuo niende na cozi gani ukiachana na law, naombeni msaada wenu apo wa cozi zenye fursa nyingi
Kwa ufaulu wako, nadhani Dental Surgery itakufaa zaidi mkuu.
 
Back
Top Bottom