1k maana yake nini?

Hiyo ni prefix ambayo hutumika badala ya 1000.
Ambapo 1k = 1000
10k = 10,000

Vp kila mdau ametoa ufafanuzi wengine wanapingana so nimeamua kuchagua jibu ilo cz sijui nimwamini nani mfano unatafuta njia na we mgeni ,,wenyeji wanapingana unafanyaje unapita yoyote uliyoelekezwa na mmoja kati yao au ukemweli ni upi?

Maana ya kilo ni elfu (1000).
Utumika kuonyesha idadi ya kitu kilichotimia elfu moja.
100k = 100,000 (elfu moja Moja mia moja)

Majibu hayo hapo, ukishindwa na hapo, nitaomba historia ya elimu yako
 
Mkuu kwenye Physics na Mathematics na kote huko ambapo namba zinahusika tunavifupisho vyetu katika kuwakilisha namba

1.Ukiona k popote pale kwenye mahesabu ujue tunamaanisha 1000 mfano 7K =7000 yani wewe ongeza sifuri 3 kwa mbele
2.G ongeza sifuri 9 yani zidisha kwa 1000000000
3.M ongeza sifuri 6
4.m gawanya kwa 1000 mfano 1000m manake 1000/1000
5.

Mkuu kwakuwa umeuliza k mimi nimekuongezea nyingine hizo ili siku ukikutana nazo usishangae
 
Huyu ni mzito naturally mkuu.. hizo G zitamchanganya zaidi
 
1k mean elf 10

100k mean laki 1

1000k mean milion 1

12k mean elf 25000

Jiongeze sasa kupitia hiyo mifano
Upo inji gani? Ingekuwa huku kwetu ungeshtakiwa kwa uchochezi na mkojo ungepimwa
 
Back
Top Bottom