1999 Toyota Vitz FOR SALE....Tshs 5.5 milion

1999 Toyota Vitz FOR SALE....Tshs 5.5 milion

TZ biashara

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
523
Reaction score
107
Gari aina ya Toyota Vitz inauzwa ipo Dar na bei ni Tshs 5.5 milion.Mtanisamehe kwakuwa gari hii sio yangu ila namsaidia ndugu yangu kumtangazia kwa hiyo maelezo hajanipa mengi ila mtampata katika namba hizi kwa yule mwenye mahitaji nayo.0713182182 au 0684000760 atawapeni maelezo mengi zaidi na ni mwenye gari sio dalali na kama maelewano mtaelewana nae.

1010009_10151588734819109_73481882_n.jpg 582016_10151588748119109_1147801530_n.jpg 1003532_10151588737569109_1406021295_n.jpg 1009840_10151588735474109_1267207350_n.jpg 576572_10151588755469109_2129080330_n.jpg 1185075_10151588738894109_292218986_n.jpg
1209054_10151588749859109_1788430613_n.jpg 1236713_10151588747614109_585042244_n.jpg 1240334_10151588749044109_1047387815_n.jpg 1237514_10151588740739109_1249618017_n.jpg 1234570_10151588755774109_473616592_n.jpg
1175446_10151588739854109_1606850404_n.jpg
 
Huyu jamaa hajajibu kama ameafiki hizi ofa za hawa wadau hapa. Tujuze basi kama biashara inafanyika au haifanyiki
 
Huyu jamaa hajajibu kama ameafiki hizi ofa za hawa wadau hapa. Tujuze basi kama biashara inafanyika au haifanyiki

Huyo aliyetangaza hapo amesema bayana kuwa yeye si mwenye gari, hivyo hawezi kusema kama amekubali hizo offer zenu au la. Na kizuri zaidi ametoa namba za simu za mmiliki ili kwa muhitaji awasiliane naye. Sasa sijui tatizo nini hapo! Ndo maana mi huwa nasema kila siku humu JF wateja ni wachache sana, wengi ni watoa maoni tu.
 
Kweli kabisa kama unataka gari si uwasiliane na mwenye mali kwa namba za simu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Siku hizi JF hakuna biashara,bali magumashi ,hapo zamani kweli JF ilikuwa ndio ''Game Supermarket''yetu siku hizi hapa ni kama bwawa liloingiliwa na luba,kuna matapeli,vitu feki ni kama Kariakoo,sithubutu kununua kitu hapa siku hizi
 
tatizo shule ndio maana umeandika bila ya kuelewa unachosema anyways sitaki kubishana na mtu asiye na elimu

Asante sana, soma between words utanielewa tu! Ndio mana huku first world hakunaga namba za gari la zamani au jipya, tz bado tuna safari ndefu
 
jamani kwanza nawaomba samahani kwa kutoweka na hii imesababishwa na kukosa internet yani iligoma.sasa hata hivo nadhani niliwawekea namba zake hapo juu ili mjadiliane kuhusu bei kama mlisoma vizuri.ningewaomba mumpigie simu na nahisi anaweza kuchukua 5 milion na kama mtafanya fasta itakuwa vizuri kwasababu anasafari muda sio mrefu.
 
Wabongo kwa ushamba sijui utaisha lini duh.

Namba ndio gari?


Mkuu, au ume-apply ile mambo ya age ain't nothing but a number,
hahaaaa haaaa hapa N/A hiyo kitu, namba ina-determine how old the car is hasa tangu kuingia nchini kwa maana ya muda iliyotumika hapanchini ambapo in real sense you can evaluate the depression ya gari husika!
 
Kweli kabisa kama unataka gari si uwasiliane na mwenye mali kwa namba za simu

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

JAMANI NAOMBA MUNISAMEHE KWASABABU HUU MTANDAO UNANISUMBUA SIWEZI KUTUMA MAJIBU YOYOTE NA HII NAITUMA i HOPE ITAFIKA NA SIELEWI KWANINI.HAPO KTK HILO TANGAZO NIMEWAEKEENI NAMBA ZA SIMU ILI MUMPIGIE KWAKUWA YEYE NDIE MWENYE GARI.NA NIMEWASILIANA NAE LEO KUMWAMBIA HIZI OFFER ZENU NA KANIAMBIA MWISHO ATACHUKUA MILIONI 5 NA YEYE WAKATI WOWOTE ANAWEZA KUSAFIRI SASA KAMA MTU YUPO TAYARI AMPIGIE SIMU ILI AFANYE NAE DILI MWENYEWE MAANA HUJUI ATAKAEACHIWA PENGINE AKAONGEZA CHAKE.NADHANI HAPO TUTAKUWA TUMEELEWANA.
 
Back
Top Bottom