Mr. Django
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 1,830
- 2,434
Itakuwa hujawahi kufanya kazi za Remote Sensig au GIS Kwa kutumia high resolution satellite images! Walioko kwenye hiyo field hatu/washangai!Mkuu sijawahi kuziona izo ulizotaja ila hii imetisha
Kuna satellite nyingi sana za picha, zikiwemo nilizotaja na nyingine nyingi! Ziko monitored na US department of Defense kwa ukaribu mkubwa.
Makampuni kama akina Google Maps, Bing maps nk wanatumia sana siku hizi kupata street view kama hiyo uliyoweka hapo.
Kwa aina nyingine unaweza tembelea satimagingcorp.com/satellite-sensors