kidadari
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 8,647
- 9,574
Hiyo camera ni balaamleta mada angetueleza kdogo camera aina gan imetumika hapo maana ni shidah
Hiyo camera ni balaamleta mada angetueleza kdogo camera aina gan imetumika hapo maana ni shidah
Angalia internet yako juu imemaliza ku-load ndio ulete hapaMbona hapa hola ?View attachment 971758
yap hapa ni 4g kuna gari nyingine plate number zinaonekana ila hiyo hola!Angalia internet yako juu imemaliza ku-load ndio ulete hapa
Possible, nimezoom kwa kutukia tablet almost sehemu nyingi unaona, plate namba karibu zote na maandihi mengine yaliyopo kwenye gariIngawa hii mliyoleta kwa public use ni something extra ordinary lakini technology waliyonayo wenye ma spy satellite inaweza ikaona mpaka sindano juu ya ardhi. So they say.
Ni kamera nyingi ila zinapiga picha Mojamleta mada angetueleza kdogo camera aina gan imetumika hapo maana ni shidah
Haifichi kituPixel kama zote.
View attachment 972641
Noma kweli ndio mambo ya HiTeq.Haifichi kitu
Mbona ni kama zile picture za kudesign kwenye computer?Ni halisi mkuu
😂😂 usiombe camera ipite dirishani kwako, nahis hadi cha ndani ya shuka kitaonekanaNi hatari, kwa inavyochukua details nyingi kwenye shot Moja nilidhani shutter speed yake itakua ndogo ila wapi Ngoma ipo vyema Kila idara
mleta mada angetueleza kdogo camera aina gan imetumika hapo maana ni shidah
Mkuu hapo Bado sijafahamu ila lazma ziwe spesho sana.