nipekidogo
JF-Expert Member
- Apr 17, 2019
- 1,587
- 3,054
Heshima yako Mkuu, kama ulikuwa kidato cha sita, nakumbuka mm nilikuwa dalasa la saba, sikumbuki kama tulikuwa tumefanya mitahani ya kuhitimu au ilikuwa bado ila ilikuwa kwenye purukushani za kumaliza dalasa la saba, nakumbuka tukawa tunajazwa hofu ya kutokea vita kati ya TZ na Nchi Jirani! Dah long time sana Shule ya Msingi Mwenge Kasulu!Nilikuwa Tabora Shule Moja Maarufu Kidato Cha Sita Nakumbuka Nilirudi Home Dar Kwa Muda Maana Shule Hakuna Kilichokuwa Kikiendelea Baada Ya Kutangazwa Siku Kadhaa Za Maombolezo."