johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,996
- 142,010
Nimeangalia orodha ya watu wanaomponda Mbowe kuanzia Wabunge, UVCCM hadi akina Hamad Rashid nikaona 95% ni chuki binafsi tu na wala siyo lile angalizo au tahadhari aliyotoa Freeman.
Mtu kama Kibajaj Tangu ahame CHADEMA na kujiunga CCM amekuwa na bifu na Mbowe. Hamad Rashid akiwa bungeni mara kwa mara alikuwa akimrefer Mbowe kama DJ katika namna ya kutaka kumdharau tu. UVCCM hawamjui Freeman kwa sababu bado ni watoto.
Mbowe ana uzoefu na Siasa za Tanzania na ni mtu mwenye Ushawishi, ndio sababu aliiweza kuwashawishi Mawaziri Wakuu Wastaafu wawili wajiunge CHADEMA, hilo siyo jambo dogo.
Kimsingi kitendo cha Mbowe kumchukua Lowassa ndio kilibadili kabisa mfumo wa Siasa za CCM, ambapo sasa kuna Mawaziri ambao ni zao la Mbowe; mfano Silinde na Katambi ambao Shujaa Magufuli aliwatamani.
Kana kwamba hiyo haitoshi shujaa ilibidi achukue nguvu kazi ya BAWACHA kwa lazima ndio hao akina Covid-19. Sisi tunaomjua Freeman kitambo 1970s tunaomjua ni mtu mwenye maarifa Mengi.
Nimewapeni haya machache Ili mpambane naye kwa hoja kwa sababu zaidi ya hoja mtajisumbua bure, ilimlazimu shujaa kuishushia kitu kizito Club Billicanas lakini mwamba bado anadunda tena kiuimara zaidi.
Halafu Amos ni mtu wa Jazz band enzi zile waliitwa Wakuja wakiishia Amana, DDC au Vijana Air Pambamoto kwa Hemed Maneti.
Mlale unono!