Elections 2015 12 July 2015 Ni Tarehe Ambayo Tanzania Imepata Uhuru Mara Ya Pili Kutoka Kwa Wala Rushwa

Its not true, sii kweli hawa wote sii wazuri, so far, Rostam, aka "the king maker" is the best!.
ameipa CCM TV yake ya Channel Ten, tena nadhani ameitoa bure kwa sababu CCM ninayoiona mimi, haina the capacity kununua kitu cha pesa ndefu kama Channel Ten, CCM ingekuwa na uwezo huo, siku nyingi ingeimarisha Uhuru na Redio Uhuru.

Soon wema wake atauendeleza kwa kuipa CCM magazeti ya Mtanzania, Rai na Dimba.

Hivyo watu wengi, japo kwa nje wanaweza kuonekana kama wabaya, lakini kwa ndani ndio wema halisi wenyewe, halafu kuna watu wanaoonekana kama wema au wazuri kwa nje, lakini kwa ndani ndio mashetani wakubwa!.
Mkijua aliyepanga kumuua Lissu, huwezi kuamini kuwa ndiye yeye!, watu waone hivi hivi, umdhaniye ndiye, siye!.
P.
Duh...poti weee.....
 
Umeshamjua mkuu?
Mkuu Britanica, kwanza nilisisitiza humu
Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!. - JamiiForums

Kisha nikataja aina mbili za wasiojulikana.
Shambulio la Lissu: Wajue Wasiojulikana Watakaojulikana na 'Wasiojulikana' Ambao Kamwe, Hawatajulikana!. - JamiiForums

Kisha nikasema sisi waandishi wa habari wenye uwezo wa kufanya IJ, tunaweza kuwabaini.
Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija - JamiiForums

Na mwisho nikasema, watu wenye uwezo wa kuwabaini wasiojulikana hawa, wapo, ila serikali yetu haijashindwa, kuwabaini, ikifikia mahali ikashindwa, itasema na itaomba msaada, watu wa kusaidia watajitokeza.

WanaJF, Je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi? - JamiiForums

Tena nikasisitiza watu humu jf wapo sana tuu wenye uwezo wa kusaidia
TZ Tulipo Sipo!. Nabii Hakubaliki Nyumbani, JF Tuna Manabii wa Kweli, Tuwatumie Walisaidie Taifa!. - JamiiForums

Nimeona kabisa
 
Back
Top Bottom