11 ipi unaikubali zaidi?

11 ipi unaikubali zaidi?

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,675
Naanza mimi, Ozil
 

Attachments

  • 1388916695576.jpg
    1388916695576.jpg
    13.1 KB · Views: 708
Sasa mkuu wangu "utafiti" umeuliza swali: "11 ipi unaikubali zaidi?" nakunukuu. Sasa kuna ubaya gani miongoni mwa wachangiaji wakisema wanapenda OSCAR?

Huyo dogo usiyempenda "oscar" ni mchezaji wa kutegemewa sana wa timu ya Taifa ya Brazil kule anavaa pia nambari hiyo 11, Neymar pia yuko Brazil lakini # 11 anavaa Oscar Emboaba. Huyo dogo ni fundi ndo maana humpendi. Pole sana mkuu.
Hamna kitu hapo
 
Kuhusu ufundi wa Oscar waulize SPAIN.

Brazil 3 - 0 Spain.
 
Hadi sasa mechi inaendelea:

Derby County vs Chelsea FA Cup.
Matokeo: Derby 0 - 2 Chelsea [ Obi Mikel dakika 65, na Oscar #11 amefunga dakika ya 71. Mwenye swali?
 
Back
Top Bottom