11 ipi unaikubali zaidi?

11 ipi unaikubali zaidi?

ozil akicheza ikifka dk ya 70 anaanza kurembua macho

oscar ni habari nyingine
 
BAK we man u mwenzangu? Njoo niombee kaka wangu uku nsije pigwa mawe... lol
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

Attachments

  • 1388946219068.jpg
    1388946219068.jpg
    43.2 KB · Views: 74
Siku zote chagua Ozil 🙂 mie na hao mbali mbali kabisaaaaa

Hhhahha aya nabadili team mie leo....kuanzia leo arsenal ila ikifungwa tu nahama🙄🙄🙄

Nshawahi kutaka kuumbuliwa mie kwa ugomvi wa timu...hhhahahaha nkikumbuka nachekaaa.
 
Karibu sana....arsenal raha sana farkhina
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Nasubiri dada

Aya nimerudi....nlivohadithiwa ni hivi kuwa hiyo meli haikuzama,ilikua inatokea pemba kufika nugwi pale kwenye mkondo ikapigwa na wimbi kali kwa mbele na kulikua na watu mbele kama 10 wakajitupa kwenye maji au sijui wameanguka ila 5 wameokolea....
 
Innalillah wainnailaihi raajiun
 
Innalillah wainnailaihi raajiun

Ndio hivo tena....tumshukuru mungu haikuzama maana pale palimaliza watu wengi sana wale waliozama na mv spice islander....hadi kuna baadhi nyumba pemba zilifungwa yaani familia nzima wamekufaa
 
Karibu sana maskani, ila nakuomba usiondoke tukifungwa mara moja tu, subiri tufungwe mara kumi 🙂🙂 hapo ndio utastahili kuondoka.

Hhhahha aya nabadili team mie leo....kuanzia leo arsenal ila ikifungwa tu nahama🙄🙄🙄

Nshawahi kutaka kuumbuliwa mie kwa ugomvi wa timu...hhhahahaha nkikumbuka nachekaaa.
 
Karibu sana maskani, ila nakuomba usiondoke tukifungwa mara moja tu, subiri tufungwe mara kumi 🙂🙂 hapo ndio utastahili kuondoka.

Sawa ntaftieni na t shirt kabisa......naja na mabakuli siku team yetu ikicheza napiga ngoma
 
Kuna uzi humu unasema SMZ imethibitisha kwamba waliotupwa baharini ni 27 na waliookolewa hadi sasa ni watatu tu na hao 24 hawajulikani walipo, uwezekano mkubwa watakuwa wameshafariki.

Back
Top Bottom