11 ipi unaikubali zaidi?

11 ipi unaikubali zaidi?

Kwanza naomba ku-declare interest, mi ni fan wa Barca, kwa hiyo automatically naikubali 11 ya Neymar Jr maana huyu ndo mrithi wa Messi na Ronaldo kwa soka la baadae
 
Kuna uzi humu unasema SMZ imethibitisha kwamba waliotupwa baharini ni 27 na waliookolewa hadi sasa ni watatu tu na hao 24 hawajulikani walipo, uwezekano mkubwa watakuwa wameshafariki.

Hawajulikani walipo? Ah ndio washakufa maji mungu awahifadhi salama...

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mrithi wa messi wa simba au.....hamna kitu neymar....

oscar
Teh teh teh teh teeeh, kwani simba kuna mtu anaitwa Messi..!!? au unamzungumzia Singano, ha ha ah ah ah ah ha haaaah, Neymar Jr na Oscar wote ni wabrazil na wanachezea timu ya taifa na cv zao zinajulikana Neymar Jr ni mkali kuliko Oscar
 
Back
Top Bottom