Elections 2010 1 CHADEMA MP =30 CCM MPs

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
:israel::israel::israel::israel:MBUNGE MMOJA WA CHADEMA NI SAWA NA WABUNGE 30 WA CCM. KWA MAANA HIYO WABUNGE WATANO WA CHADEMA WALIKUWA SAWA NA WABUNGE 150 WA CCM. :A S-baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::juggle::juggle::juggle::director::director::director:
 
Kweli JF ina wasanii. Kama ni hivyo basi Chadema imeshinda kwa kishindo na ni vema Dr. Slaa akaapishwa kesho hata kabla ya kumaliza kuhesabu kura katika majimbo mengine maana sisiem haiwezi kufikia idadi hiyo ya 480 ambayo tayari kwa hesabu za Kashaijabutege imefika. Hongera sana. Bravo
 
naamini hao wachache watafichua uovu wooote na safari hii bunge litakua kambi ya chadema nawaonea huruma wabunge wa thithiem maana nawasiwasi sidhani kama wataweza kukabiliana na wabunge makini
 
ha ha ha ha ha ha ha ha

Nisaidieni basi, ni vikwete vingapi sasa ndipo iwe ni sawa na dr. wa kweli???
ni zaidi ya 50i - hilo najua .. lakini ningapi?? ndo mnisaidie..!
 
Kweli JF ina wasanii. Kama ni hivyo basi Chadema imeshinda kwa kishindo na ni vema Dr. Slaa akaapishwa kesho hata kabla ya kumaliza kuhesabu kura katika majimbo mengine maana sisiem haiwezi kufikia idadi hiyo ya 480 ambayo tayari kwa hesabu za Kashaijabutege imefika. Hongera sana. Bravo originally posted by Jackob

Duh!imekuchoma!!pole sana kada wa CCM!!!
 
mmesahau kuwa mh.tundu lisu pekee ni sawa na bunge zima?? kama tundu lisu pekee akipita basi anawakisha watanzania wote, na yeye ndo bunge zima la jamhuri, namuonea huruma huyo spika atakaepita na kanuni zake za bunge la tundu lisu.
 
Yakobo

Unashangaa nini? Mimi sio msanii, bali ni kidume mchambuzi. Tell me, having a sack of potatoes an a gram of gold, what would you prefer? Waliondelea main dish ni protein (chicken, fish, pork, beef) maskini main dish ni starch (ugali, pilau, ndizi, wali mweupe). Wewe ni yupi?
 
WE DON'T NEED A BUNCH OF GREEDY MPs. We need few MPs who are effective.
 
Unajielewa kweli??!:A S-coffee:!!
 
WE DON'T NEED A BUNCH OF GREEDY MPs. We need few MPs who are effective.

HAPO UMEONGEA LA MAANA :israel::israel:
 
:israel::israel::israel::israel:MBUNGE MMOJA WA CHADEMA NI SAWA NA WABUNGE 30 WA CCM. KWA MAANA HIYO WABUNGE WATANO WA CHADEMA WALIKUWA SAWA NA WABUNGE 150 WA CCM. :A S-baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby::A S-baby::violin::violin::violin::violin::violin::violin::violin::juggle::juggle::juggle::director::director::director:
1 Slaa = 20 Vikwete's
 
avatar3179_2.gif
weee DOMOKAYA unahitaji kufanyiwa oparesheni ya huo mdomo wako kwanza ndio utamke vizuri mke wa kuazima. Wewe mpaka umri huo umeshatafuna wake za watu wangapi?. Bora Dr. kajionyesha hadharani na hata mwenye mke kashindwa kujitetea. kama mke huwezi kumtunza si waachie wenzio. Angekuwa mkewe kweli huyo jamaa anayedai ni wake basi pangechimbika. Alitumika na mamluki kutaka kujizolea sifa sasa anaaibika. Mwache First lady wetu usianze kuleta za kuleta hapa.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom