1.8 atapata law?

Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,978
5,025
Nimerudi tena! Niliwahi omba ushauri wa mdogo anayetaka kusoma sua nikapewa. Nashukuru Mungu dogo naye kafanya mambo mazuri hivyo ushauri wenu utafanya kazi. Sasa hivi nina mwingine wa kike kapata moja ya point nane na siku zote anasema anapenda kusoma sheria. Atapata? Sijacheki matokeo shule zingine za art kulinganisha kama competition itakuwaje. Aanze na chuo gani kujaza ili apate? (naamini vyuo vyote siku hizi vimeingiliwa na siasa na ubora wa udsm wa enzi hizo wameshauua ndo maana siulizi chuo kipi bora). Nashukuru kwa ushauri wako.
 
Jamani hivi wa division 1 naye ni wa kuuliza kama atapata chuo? Uliza labda mambo ya ufadhili!
 
atapata haya ni matokeo mazuri USHAURI wangu tafuta kitabu cha TCU GUIDE BOOK 2012/2013 kina ORODHA YA VYUO VINAVYOTOA DEGREE YA LAW INCLUDE MLIMANI (UDSM) MZUMBE ,TUMAINI,SAUT , UDOM NA VINGINE
KWENYE HICHI KITABU WAMEELEZA MINIMUM REQUIREMENT NA CUT-OFF POINT NA IDADI YA WANAFUNZI WANAOHITAJIKA KWA KILA KOZI KILA CHUO KWA HIYO UTAANGALIA TU KWA MATOKEO YAKE HUYU MDOGO WAKO ANAWEZA KUFIT CHUO GANI BAADAE NIKIPATA WASAA NTAKUWEKEA TABLE YENYE HIVI VIGEZO
 
KWA UDSM VIGEZO NI HIVI
53 Bachelor of Laws
COURSE CODE UD053
Admission requirements Form VI
Any two principal passes. Those without a principal passes in English and History must have subsidiary passes or credits at O-level in English and History
Admission Requirements:Diploma (Teacher Education or NTA Level 6)
None

Admission Points: FormVI
5 points from
3 subjects
Admission Capacity
160

Programme Duration (Yrs)
3

TuitionFee
TZS 1,500,000
Loan Priority
-
NonPriority
 
Jamani hivi wa division 1 naye ni wa kuuliza kama atapata chuo? Uliza labda mambo ya ufadhili!

sina wasi na kupata chuo ila kozi tunayoitaka! Nakumbuka enzi za nyuma ilikuwa ishu kupata law,sijui kama imechakachuliwa na matokeo.
 
nashukuru mganga mkweli. Kuna kitu kimenishitua,hivi udsm wamepunguza umri wa llb? Tangu lini?
 
inategemea na kiwango cha ufaulu pamoja na walioapply mwaka huo katika course hiyo..mimi nilikuwa na 1.6 nikakosa law UDSM, walichukua mpaka 1.5 mwaka huo, ikanibidi kwenda Tumaini University, now i am an advocate..aende Tumaini au mzumbe atapata, ila UDSM ushindani ni mkubwa sana..
 
thanks mkuu.. Hivi huwa inachukua miaka mingapi mpaka uje kuwa wakili?
 
MZEE its only a three year course, after that , unakwenda law school ( Practical legal training) for 9 ( 3 months of classes, 6 months, of rotations at the AG chambers offices, or any other chamber ( 3 months) , and courts of law (3 months) which makes it 6 months) months ukifaulu , unaapishwa kuwa wakili kamili..sikuhizi hamna tabu sana kama unaya mudu masomo vizuri..
 
nashukuru mganga mkweli. Kuna kitu kimenishitua,hivi udsm wamepunguza umri wa llb? Tangu lini?
OFCOZ HATA kipindi mimi naingia mlimani ilikuwa miaka minne sijui kama wamerestucuture nakuwa miaka mitatu hiyo nimeCOPY NA KUPASTE KAMA ILIVYO KWENYE KILE KITABU PAGE 151 unaweza kutazama kuhakiki nafikiri kwa uhakika inabidi utape ufanunuzi chuo kabisa
 
Back
Top Bottom