00:59:00 - T : The Countdown... Light.. Action...

Status
Not open for further replies.
Simba mwenda kimya iko gonjwa...................................
 
Kuna wakati wa kulalamika na kunung'unika na kuna wakati wa kuamua kufanya kitu. Wapo ambao wameamua na wanaamua kufanya kitu.. Wakati wa kufanya kitu wakati mwingine inategemea sana muda na muda ukifika inabidi ufanye hicho kitu.. so ndani ya masaa 24 tunaanza kuhesabu tic tac tic tac

Hofu Yangu ni wangapi wamevaa saa na kama kweli zinawasaidia kutanzua hekima hii uliyomwaga hapa. Mie nimeivua kwanza nahofia masaa 24 yasije kupita nikaishia kulalama

ADIOS
 
sifahamu inakuwaje mods wanaacha huu upupu uendelee. Mtu anakuja anasema tic tac 24hrs countdown, na hasemi chochote...au ndo kwa sababu ana posts nyingi humu ndani, au jamaa anataka thread iwe na post nyingi?

je member mwingine akija na thread ya countdown ya 48hrs bila kusema chochote, thread mtaiacha au kuifuta? silalamiki, bali nashindwa kuelewa huu utaratibu.
 
kama kuna watu wamechaguliwa kufanya kazi na hawafanyi wakati mwingine inabidi wasukumwe kidogo... I mean tutaendelea kuwaomba mpaka lini?

Guess who is inside.......

PICHA+NA+2.jpg
 
sifahamu inakuwaje mods wanaacha huu upupu uendelee. Mtu anakuja anasema tic tac 24hrs countdown, na hasemi chochote...au ndo kwa sababu ana posts nyingi humu ndani, au jamaa anataka thread iwe na post nyingi?

je member mwingine akija na thread ya countdown ya 48hrs bila kusema chochote, thread mtaiacha au kuifuta? silalamiki, bali nashindwa kuelewa huu utaratibu.

Unanikumbusha aliyoongea Mh. Spika, Anna Makinda Bungeni, pale ambapo wabunge kutoka SMZ walimtolea matusi na maneno mengine kedekede ya kejeli mbunge mwenzao Tundu Lissu. Lakini jamaa alipoomba mwongozo, Spika akasema "tuvumiliane" ... indirectly akiashiria tabia na uelewa wa mambo wa waliokuwa wakimdhihaki Mh. Lissu!

However with your principled objection on this thread the opposite could also be true! i.e. JF mods have left the thread to thrive thru due to track record of the poster. Sort of saying, tuvumiliane, in anticipation of good stuffs renowned of the person!! Where am I, am on a horse! :)
 
Hata kwenu kuna wakubwa wakikoa wewe ulie kuwa jikoni unakimbilia sebuleni kujipendekeza kama wamekuita,watakachokwambia ujaitwa waachie wajuzi wanaojua kikohozi cha mkubwa huyo kinamaana gani,ni utamaduni wa kiafrika,kama wewe hiko baniani au jungu kaa pembeni mdau.waachie waafrika na lugha zao pia kumbuka Ukubwa dawa na ngoma ya watoto haikeshi na daima watoto ukaa jikoni umri wako haujatosha kufika kuhoji kauri ya wazoefu jambvini,ukija jamvini uje kuleta maji ya kunawa kwa wakubwa kisha sepa zako jikoni, ukizingatia ndio kwanza umri wako jamvini ujapevuka kuhoji kauri ya huyo mkuu.
 
Unanikumbusha aliyoongea Mh. Spika, Anna Makinda Bungeni, pale ambapo wabunge kutoka SMZ walimtolea matusi na maneno mengine kedekede ya kejeli mbunge mwenzao Tundu Lissu. Lakini jamaa alipoomba mwongozo, Spika akasema "tuvumiliane" ... indirectly akiashiria tabia na uelewa wa mambo wa waliokuwa wakimdhihaki Mh. Lissu!

However with your principled objection on this thread the opposite could also be true! i.e. JF mods have left the thread to thrive thru due to track record of the poster. Sort of saying, tuvumiliane, in anticipation of good stuffs renowned of the person!! Where am I, am on a horse! :)

Hata hapa atakuwa bado ajakuelewa,umetumia lugha sawa na MM,na yeye uwezo wake ni kuzomea tumia uzoefu wa kumuelimisha kijana wa chekechea, manake jiulize mpaka kauri yake ile anakiwango gani cha kuelewa.
 
Tatizo wananchi hawaamini kuwa wana uwezo wa kuwasukuma viongoz. Hawajui nafas yao kwa viongoz wao.
 
sifahamu inakuwaje mods wanaacha huu upupu uendelee. Mtu anakuja anasema tic tac 24hrs countdown, na hasemi chochote...au ndo kwa sababu ana posts nyingi humu ndani, au jamaa anataka thread iwe na post nyingi?

je member mwingine akija na thread ya countdown ya 48hrs bila kusema chochote, thread mtaiacha au kuifuta? silalamiki, bali nashindwa kuelewa huu utaratibu.

Superstar wa JF!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom