zitto

  1. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sakata la Makonda na Gambo Zitto amchana Gambo kuhudhuria vikao asifikiri kuna kupita bila kupingwa kama 2020

    Kiongozi Mstaafu wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema vikao vya Kamati ya Fedha na Mipango vya Manispaa, Baraza la Madiwani na Baraza la Ushauri Mkoa (RCC) ni vikao vya kisheria hivyo utetezi wa Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo wa kutohudhuria vikao hivyo hauna mashiko. Kupitia...
  2. Fortilo

    JamiiForums Tanzania Zitto: Mazingira yale yale yaliyotuletea Magufuli 2015 ndio hayo hayo yanayotengenezwa kutuletea Magufuli mwingine

    Kulikuwa na mjadala na bado unaendelea CH kuhusu kitabu tata cha Kabendera Kwamba mazingira yale yale yaliyotuletea Magufuli 2015 ndio yale yale yatakayotuletea Magufuli mwingine hapo mbeleni. Hii ni kauli ya Mwanachama na Kiongozi mstaafu wa ACT wazalendo akizungumzia kitabu cha Eric...
  3. GemMaster II

    JamiiForums Tanzania Binafsi nimeijua CHADEMA kupitia Zitto Kabwe, Halima Mdee na Tundu Lissu

    Nakumbuka nikiwa mdogo umri wa miaka 14 mwaka 2008 Machachari yake zitto ya kipindi kile,halima mdee (sauti ya zege) dokta slaa na Tundu lissu hao ndio walinifanya niijue CHADEMA. So CHADEMA imejengwa na watu wengi maana hata hao wote juu walionifanya nikaijua CHADEMA lissu pekee ndio kabaki...
  4. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Diaspora hawatumi pesa nyumbani, kazi yao ni kukesha Clubhouse

    Zitto Kabwe kupitia ukurasa wake wa twitter amesema watanzania wote ni masikini hata wanaoishi nje ni maskini. Anasema wakati diaspora wa nchi nyingine wakituma pesa kwenye nchi zao, diaspora wa Tanzania wanatulaza macho clubhouse kwa mjadala ambayo haieleti pesa. Naunga mkono mtazamo wa...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Kama Lissu hakujifunza kwa Zitto, ajifunze kwa Dkt. Mpango

    Sheria ziko tatu tu nazo ni, 1. Rule Number One: Don't outshine your Boss. 2. Rule Number Two: Don't outshine your Boss. 3. Rule Number Three: Don't outshine your Boss. Sheria za nyongeza, 1. You can outshine the master without trying; 😳😳😳 2. Just because you’re loved, doesn’t mean you can do...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe CHADEMA ya 2013: Tamko la Zitto baada ya kuvuliwa uanachama kwa kupanga kumng'oa Mbowe katika nafasi ya uenyekiti kwenye uchaguzi

    Chadema imepitia mapito mengi: Leo tukielekea katika uchaguzi wa Mwenyekiti, tujikumbushe yaliyojiri mwaka 2013 pale Zitto na wenzake waliposuka mpango kazi wa kumng'oa Mbowe katika uchaguzi uliokuwa unakuja mwaka 2014. https://www.youtube.com/watch?v=JYYNNnnqD18&ab_channel=MTAAKWAMTAA
  7. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo chini ya Zitto Kabwe nimeamini ni chama bora kuliko CDM ya Mbowe

    * Zitto amekaa muda mfupi na kupisha mwingine bila mabishano; * Mbowe wa CDM amekaa miaka mingi na hana utayari wa kuamini kuwa wapo wengine wawezao kuongoza CDM; CCM izidi kuwafundisha CDM ustarabu ktk chaguzi
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tusameheni Zitto, Dr. Slaa na wengine wote mliopakaziwa tuhuma za usaliti ndani ya CHADEMA. Mlikuwa mbele ya wakati

    Wahenga walisema ukweli huwa una tabia ya kuchelewa lkn siku ukifika huwa uwongo unakimbia kama giza kwenye mwanga. Waathirika wa kusingiziwa kuwa ni wasaliti ndani ya chadema hatimaye leo wameibuka kidedea na kinara wa kuchafua wenzake ameonekana. Zitto, Prof. Kitila, Dr. Slaa, Msigwa, mzee...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi; Zitto Kabwe: 2009 nilipogombea Uenyekiti taita CHADEMA, hapo ndiyo ilikuwa mwisho wa amani yangu ndani ya chama

    Mwaka 2009 nisameka, kwani kuna dhambi mtu wa Kigoma kuwa Mwenyekiti wa Chama taifa, kuna dhambi? Nikagombea, hapo ndiyo ilikuwa mwisho wa amani yangu ndani ya chama. Toka mwaka 2009 sina amani katika chama. Sababu haiwezekani kila siku kwenye chama, kundi moja wala halikosei, kundi jingine...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Zitto na wenzake walianzisha 'Mtandao wa Ushindi' ndani ya CHADEMA, Lissu anafuata utaratibu

    Tuliokuwepo miaka ya 2010 tunakumbuka Zitto, Mwigamba, na Kitila walianzisha na kuratibu mtandao wa siri ulioitwa ' 'Mtandao wa Ushindi' nje ya utaratibu wa Chadema ili kumwezesha Zitto Zuberi Kabwe kutwaa nafasi ya Mwenyekiti wa Chama Taifa; Remember MM, MM1 MM2 na MM3. Similarities ya...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe alipotangaza kutogombea Urais, je alikuwa na mawasiliano ya karibu na Lissu?

    Ninaamini alikuwa na mawasiliano ya karibu sana na Lissu, kwamba atakuja kugombea kupitia ACT Wazalendo.
  12. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Mfumo wa Uongozi wa Vyama vya Siasa vya Kenya ni mzuri sana, I wish tungeuiga.ACT waliiga ila Zitto alikosea setting.

    Kenya wana mfumo mzuri wa uongozi wa vyama vyao vya siasa na ndio maana hutakaa usikie sijui Raila apumzike, sijui Kalonzo sasa atupishe kule Wiper. Kenya chama kama ODM na vyama vingine wana kiongozi mkuu wa Chama ambaye ni Raila Odinga, huyu ni mbeba Idea ya ODM, hiki cheo gakishindaniwi...
  13. gcmmedia

    JamiiForums Tanzania ZItto aonesha udhaifu kiuongozi

    Wakati Tundu Lisu anatangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa CDM taifa, muda mchache baadae Zitto Kabwe kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, hasa ukurasa wake kwenye mtandao wa X (zamani Twitter) ameonesha kufurahishwa siyo na kitendo cha Lisu kugombea, Bali kwamba kuna...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Tunamhitaji Mbowe, Zitto, Lipumba na wapinzani wengine wote kusimama imara kwa umoja kuna mambo hayaendi sawa nchi hii

    Sisi ndio tutakaoteseka kama mambo yataendelea kama yanavyoendelea sasa hapa nchini. Kwa kweli tumerudi nyuma mno kwenye masuala ya uongozi na usimamizi wa utendaji wa watumishi wa serikali na rasilimali zetu. Huu ndio wakati muafaka sana kwa viongozi wa upinzani kuungana na kuwa sauti moja...
  15. Nyendo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Zitto: Tumepata Taarifa Nondo yuko Kituo cha polisi Gogoni, Tumefika tumekuta gari inabadilishwa Plate namba

    Tumejulishwa kuwa Mwenyekiti wa Vijana Taifa Ngome ya Vijana, Abdul Nondo amefichwa kituo cha polisi Gogoni, Kibamba Dar es Salaam. Tumefika Kituoni, ingawa Polisi wamekataa, tumekuta Landcruiser iliyotumika kumteka Nondo ikiwa inabadilishwa number plates. (kutoka zile za IST zilizotangazwa na...
  16. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Zitto: T249 CMV limemteka Nondo, mmiliki ni Deo Beda

    Kiongozi Mstaafu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema gari namba T 249 CMV inayotajwa na Jeshi la Polisi kuwa imetumika na Watekaji kumteka Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa wa ACT, Abdul Nondo, inamilikiwa na Mtu anayeitwa Deogratius Beda Minja. Pia soma: Kuelekea 2025 - Dar: Abdul Nondo...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Zitto Kabwe aonya watakao bebeshwa kura ya ziada, asema yatakayowakuta wasilaumiane "Dua imesomwa, tendeni haki"

    Zitto Kabwe ameonya vikali dhidi ya yeyote atakayethubutu kubebeshwa kura ya ziada, akisisitiza kwamba matokeo ya kitendo hicho hayapaswi kulaumiwa kwa mtu mwingine, kwani tayari dua imesomwa na wazee wa mji, na kinachotakiwa ni haki pekee. "Msikubali kudanganywa na CCM kubeba kura ya ziada...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma Yafurika, Umati wajitokeza kuhitimisha Kampeni za Zitto Kabwe na Chama Chake

    https://www.youtube.com/watch?v=yAJUwVQvbUo
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Kigoma: Afande akirekodi matukio kwenye Kampeni za ACT Wazalendo, Mkutano wa Zitto Kabwe

    Wakuu Katika tukio la kipekee Afisa wa jeshi la Polisi alijikuta akirekodi sehemu ya mkutano wa kiongozi mstaafu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe alipokuwa akiwaombea kura wagombea wa chama chake kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa, katika kijiji cha Nyankwi kata ya Busunzu, jimbo la...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Aliyekuwa Mwenyekiti CCM, Kigoma atema cheche mbele ya Zitto Kabwe: Tumekwenda Jela kwasababu ya Matumbo yenu, miaka 10 nakokota matumbo yao

    Aliyekuwa Mwenyekiti CCM asimulia mazito aliyoyapitia akiwa CCM mbele ya Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa Ilalangulu, Kigoma akiwanadi Wagombea kulekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Novemba 27. Kupata nyuzi za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: Special Thread: Orodha ya...
Back
Top Bottom