zao

Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hawa mabinti wawili wametrend sana kwa muda mrefu. Picha zao ziko kila kona ya internet

    Sidhani kama kuna mwana JF alishawahi kupita mitandaoni na kukosa kuona picha za hawa mabinti. Hata kama nia yako sio ku-search mabinti mitandaoni utashangaa unaona picha zao na mara nyingi zikitumika na profile tofauti tofauti na wapigaji wa mitandaoni. sijui nini reason behind ya hawa mabinti...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Wabantu tumehamia Tanzania. Ikitokea watu fulani wakija wakasema tuwapishe Tanzania ni ardhi ya babu zao tutakubali?

    Habari wadau. Wengi tumejifunza kwenye historia kuwa wabantu walihamia Tanzania kwa makundi tofauti tofauti. Najaribu kuwaza miaka hii wakitokea watu wapya kutoka mbali wakaja na kudai tuwapishe maana Tanzania ni ardhi ya babu zao walioishi miaka 1000 iliyopita. Hivyo walihama tu kwa sababu...
  3. JamiiForums Tanzania Mwanzo: Katika kubariki nitakubariki, na uzao wako utamiliki mlango wa adui zao; na kwako watatoka watawala!

    Biblia siyo maneno ya hadithi pekee. Ni Neno la kweli na lenye pumzi ya Mungu! Tangu kuwapo kwa ahadi hizo kwa Ibrahimu mpaka leo na hadi kiama, bado Neno la Mungu limeendelea kuthibitisha hayo. Ahadi hizo, ni kwa wazao wa baba wa Imani Ibrahimu na wafuasi wa kweli wa huyu Mungu JEHOVAH. Kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Yajue mataifa yaliyokataza matumizi ya VPN duniani na sababu zao

    VPN(Virtual Private Network) huwa inaficha utambulisho wa vifaa vya mtandaO(IP address) na kuimarisha hata usalama wa mtumiaji kuingiliwa mawasiliano yako na mtu mwenye nia ovu. Serikali nyingi duniani hazijakataza matumizi ya VPN ikiwemo Ulaya na Marekani lakini zipo Serikali chache zimeweka...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaosema kwamba Israel ilipora ardhi ya Palestina Wapitie hapa, watu walirudi kwao kuishi kwenye ardhi ya babu zao iliyoporwa kimabavu

    asili ya mgogoro huu siyo dini bali ni ardhi. Wanagombania ardhi ya kuiita nyumbani, hawagombanii dini. Israel ni nchi moja inayokaliwa na watu ambao hawajakubaliana kuishi pamoja, wayahudi na waarabu ambao ndiyo wapalestina, eneo lao ni hilo lenye vidoti doti vya kijani, na sehemu iliyobaki...
  6. JamiiForums Tanzania Kama Wanamgambo wa Hamas 2000 walijipenyeza Israel na kuishambulia hivi, vipi kwingineko ambako Kambi zao za Jeshi zina fremu za biashara?

    Kama Israel (Taifa Baba na Kiongozi kwa Ujasusi) wa ndani na nje halikujua kuwa Maadui zao akina Hamas 2000 waliingia / walijipenyeza kisha Kujipanga na Kuwashambulia vipi kwa Mataifa mengine duniani ambayo kutwa yanajisifia kuwa Idara Hatari za Ulinzi na Usalama wakati mpaka sasa katika Fremu...
  7. JamiiForums Tanzania Ramadhan brothers ni viumbe wa kutisha! Show zao ni jasho na damu ! Sioni kama tumewachukulia serious!

    Kama una moyo mwepesi huwezi kuangalia show yao mpaka mwisho, kama kuna talent za kutisha basi hii talent ya hawa vijana ni ni ya kutisha mno. Wanaenda kuweka historia Duniani, kama Dunia haitaendekeza ubaguzi Basi Hawa jamaa hawana mpinzani kote duniani, Serikali iangalie upya namna ya...
  8. JamiiForums Tanzania Wanasimba wengi wanajaribu kumtisha Yanga dhidi ya Al Ahyl wakihofia akishinda nyuso zao wataziweka wapi

    Huyu Al Ahyl Hana maajabu yeyote ya maana Na siku zote Ili uwe bora na lazima upambane na aliye bora Ili kupitia yeye na wewe upande chati. Simba hazingumziwi sana kwenye haya mashindano kwakuwa ni kawaida yake kuishia robo,hana kipya Yanga ndiye anayetrend kwakuwa ni first time kuingia...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi viongozi wa Tanzania wana sheria zao wenyewe zilizo tofauti na sie wengine?

    Pengine labda ni ujinga wangu. Labda ni mimi tu ambaye sijui. Kama ni hivyo, basi natumaini mtakuwepo mnaojua na hamtosita kunijuza. Hivi viongozi wa Tanzania wanaruhusiwa kukiuka sheria za barabarani? Niko mjini naenda nyumbani. Nyuma kwa umbali wa mita kadhaa nasikia sauti ya king’ora na...
  10. JamiiForums Tanzania Kwa kipigo cha juzi na kwa hii ratiba ya mechi zao tano zijazo kuna mtu anaweza kurejea kwao Maradona Country kwa kufukuzwa

    Tarehe 7 Oktoba anacheza na Geita Mwanza. Tarehe 25 Oktoba anacheza na Azam Dar es Salaam. Tarehe 28 Oktoba anacheza na Singida Fountain Gate FC Dar es Salaam. Tarehe 5 Novemba anacheza na GENTAMYCINE SC ( Simba SC ) Dar es Salaam. Tarehe 11 Novemba anacheza na Coastal Union FC Tanga. Kila...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wataanza kulogana rasmi mwakani; familia zao ziniandae kisaikolojia

    Mwakani tutakuwa na chaguzi za mitaa na 2025 uchaguzi mkuu. Asilimia zaidi ya 80%ya viongozi wa kisiasa waliopo sasa madarakani walipita bila kupigiwa kura na wananchi. Lakini pia regime iliyowaweka haipo tena. Natabiri hawa asilimia 80%kwenda kwa waganga kuandaa mikakati ya kubaki wakiwa...
  12. JamiiForums Tanzania Rombo wanaume walalamika madume ya nyani kushika shika wake zao

    Wanaume wilaya ya Rombo walalamika madume ya nyani kushika shika wake zao bila ridhaa yao. Wakuu sikilizeni wenyewe. ===== Wanaume wanaoishi pembezoni mwa Mto Mlembea, Wilaya ya Rombo, Mkoani Kilimanjaro wamelalamika wake zao kuvamiwa na nyani wa kiume na wakati mwingine kuhatarisha usalama...
  13. JamiiForums Tanzania Namna gani unaiba mademu wakali wakiwa na wanaume zao mabishoo sehemu za viwanja./Bata

    Haya maisha ni burudani kuna wanaume masharobaro akili finyu anakuja sehemu za bata huku ana pesa mbuzi kama elfu50 tu then anavimba, anamleta demu huku haja exhaust fully likes za demu kwenye mitoko wao wanadhani Heineken na savanna ndio kila kitu. Sasa mimi silaha yangu kuu huwa ni kula...
  14. JamiiForums Tanzania 75% ya Madereva wanaopaki Gari zao kusubiria kubeba Wanafunzi Shule ya FEZA Kawe, huyageuza 'Gesti Bubu' Tanganyika Packers Grounds

    Niwaombe tu Wamiliki wa hizo Gari kisirisiri Kuzifunga Camera ili wawe Wanajionea Video X za bure pale wakitaka kutoka kwa Madereva Wao waliowakabidhi hizo Gari ili wabebe Watoto wenu. Madereva ambao GENTAMYCINE nawazungumzia hapa ni wale ambao Asubuhi hubeba Wanafunzi kutoka Majumbani kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mbaazi sasa siyo mboga ni zao la biashara

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya wanaJF, Mbaazi siyo mboga ni zao la biashara ila kuna muda Mama anajiona kila kitu kashamaliza. Anaona maskini hawezi kufanya chochote ndiyo maana kila kitu akijisikia kuongea anaongea tu. Anyway, ni Rais wetu na sisi ni wapiga kura, ajaribu kuwa na staha hata...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Ukiona mpenzi wako anapaka "make up" na anavaa mawigi ya 800k ujue umepigwa (ni sura mbaya). Wenye sura zao wananawa tu na wanasuka "twende kilioni"

    Ewe mwanaume, ukiona mpenzi wako anahangaika sana na make ups pamoja na mawigi ujue una mpenzi mwenye sura ya kiume lkn ana jinsia ya kike. Kachukua kila kitu toka kwa babake isipokuwa jinsia. Kiufupii umepigwa mwana kwetu. Pole sana. Wenye sura zao huwa wanapakaa povu la sabuni mwilini mwao na...
  17. V

    JamiiForums Tanzania Wakulima wa mbaazi wilayani Kiteto wanalalamikia Viongozi wa Wilaya kuwa Madalali na kuwasababishia hasara

    Wakulima wa mbaazi wa hapa mjini Kibaya wanalalamikia kuwa viongozi wa Wilaya wameshindwa kulinda maslahi ya wakulima wa mbaazi Wilayani Kiteto na wao kugeuka ndio madalali wa zao hilo. Wakulima wamepima mbaazi zao toka wiki Moja iliyopita na bado hela hawajalipwa. Kibaya zaidi wao mbaazi yao...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wanafunzi Chuo cha Mwalimu Nyerere na UDSM hatujarudishiwa fedha zetu za ‘refund’ kutoka Bodi ya Mikopo

    Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere kilichopo Dar es Salaam, ipo hivi, Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ilitoa nyongeza ya mkopo kwenye ada za Wanafunzi ambapo tayari wengine walikuwa wamelipa ada, hivyo ikabidi chuo kirudishe fedha za Wanafunzi ambao...
  19. JamiiForums Tanzania Utafiti: Vijana wengi wanaotumia muda mwingi sana na simu kupost picha zao na memez status hawajatulia kwenye mahusiano

    Jarida Moja nchini Korea ya kusini imefanya utafiti vijana wengi sana ambao Wapo active kwenye mitandao ya kijamii wanajiuhusisha na mapenzi zaidi ya wapenzi wawili. Jarida hilo limeenda mbali hadi kukagua Maisha binafsi ya wanasiasa vijana, wanaharakati, na watu mbali mbali. Wakagundua...
  20. V

    JamiiForums Tanzania Kiteto: Wakulima mji wa Kibaya wagomea bei ndogo ya mnada zao la mbaazi

    Mnada huo ambao ulitarajiwa kufanyika toka Jumanne, uliahirishwa mara mbili na hatimaye kufanyika Alhamisi 14/09. Wakulima zao la Mbaazi, walishangazwa na bei ya mnada kuwa chini kuliko matarajio. Kwa masikitiko makubwa walitangaziwa Bei ya Tshs 2190/ Ukiniunganisha na Bei ya Mbaazi Kwa soko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…