Inavyoonekana ni kwamba washirika wakubwa wa Mwalimu Nyerere katika harakati za kudai uhuru wa nchi hii walikuwa watu waliovaa balaghashia. Huenda hii ndiyo sababu ya Mwalimu Nyerere kuzoea kuvaa kofia aina hiyo muda mwingi. Pia haishangazi kuona Mwalimu Nyerere kuamua Kiswahili kiwe lugha ya...