Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.
Watoto wa nje ya ndoa au wa michepuko, hawana tija katika maendeleo yako hasa pale utakapowahitaji; wao wakishakuwa wakubwa na kufanikiwa hujikita kwa mama zao.
Wakiwa wadogo wao na mama zao watakuhitaji katika kugharamia malezi n.k ila wakishakuwa wakubwa na kufanikiwa, sahau kuambiwa asante...
CCM wilaya ya mtwara yawajibu waliotishia kurejesha kadi zao,katibu wa siasa uenezi na mafunzo wa chama cha mapinduzi CCM Hamisi Wanyama anena utovu wa nidhamu
Brother, Umeoa mwanamke muwe team ya kuweza kuunganisha nguvu pamoja kutatua changamoto ikiwemo za kiuchumi, hivyo inabidi na yeye aweze kutengeneza thamani (Vaue creation)
Kuna baadhi ya wanaume bado wanaishi zama za kale, hawapendi kuona wake zao wamewachapa gepu kwenye maendeleo.
WHY ?
Viongozi wa chadema jueni kuwa hamna nafasi yakuzuia program za kikatiba zisifanyike narudia viongozi wa chadema hamna nafasi ya kuzuia uchaguzi, kuamini hayo ni kukosa akili ni kuwa na low scale of thinking,
Ninamashaka makubwa sana na sifa na uwezo wa kupambanua Mambo wa viongozi wa chadema...
Wakuu huyu mama ni Katili sana haijapata Kutokea !!.
Kumbe Baadhi ya Viongozi wa Kimasai Eneo la Ngorongoro, walikamatwa Kwa Nyakati tofauti tofauti majira ya Usiku, na Kusafirishwa kimya kimya mpaka Gereza la Kisongo Arusha ambapo walikaa Jela hiyo Kwa miezi zaidi ya Sita.
Yaani ni...
gerezani
hatua
kimyakimya
kuhamishwa
mbele
mpaka
ndugu
sababu
samia
sana
serikali
serikali ya samia
serikalini
ulinzi
ulinzi na usalama
usalama
ushindi
viongozi
vyombo
vyombo vya ulinzi
wazalendo
wote
zao
Siasa wafanyie wabongo lala, leo hii jiwe angekuwa kuwa hai tusingemaliza bando zetu kuangalia ma press yao hao, wangekuwa kimya regardless changamoto za hapa na pale.
Ndio wana point ila ni za kinafiki.
Unapoamka na kushika simu kabla ya kufanya ibada. Hii ni dalili mbaya kuwa simu imekua kipaumbele kwako kabla ya muumba wako. Hii ni ishara ya uraibu na hatari kwa afya yako ya akili.
Naomba kuuliza zinazo wahusu hawa Tlaatlaah chiembe Lucas mwashamba ChoiceVariable OktobaTUNATIKI . MamaSamia2025
Kuna siku chiembe aliweka nyuuzi kuwa mdude kaachana na siasa. Baada ya watu kuwa lalamikia mkafuta.
leo hii tlaatlaah analeta habari ambazo na mnaziweka kabisa kama ukweli...
Fatilia wachungaji wengi na manabii hauwezi kuwakuta twitter au X kwakuwa huko kuna intelligent people , sio rahisi wakapata wafuasi.
Na hata wanawake wengi ambao ndo wateja wao hauwezi kuwakuta X au twitter kwa na wao ni akili ndogo.
Leo hii saa 11 jioni itaendeshwa harambee kubwa kuliko.
Hii ndio siku muhimu kwa wafanyabiashara kulinda biashara zao kwa miaka mingine mitano ijayo.
Siku kama hii kwa wafanyabiashara huwa hawapo tayari kuipoteza hata kidogo katika maisha yao.
Hapa namaanisha wafanyabiashara kweli wale madon...
Wakulima wa zao la tumbaku kutoka Chama Cha Msingi Cha Ushirika Cha Wakulima wa Tumbaku Mpanda Kati, Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wamelalamika kutolipwa fedha zao hadi hivi sasa licha ya Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe kutoa maagizo kwamba kabla ya siku kuu ya Nanenane Wakulima wote...
Yaani watu wakae vikao ambavyo wewe huingii wapange kodi,wakusanye,wapange matumizi yake,walipe madeni,wapange matumizi,wajilipe wao,nk bado mnakomaa tu kuwa hela za kodi ni zenu mna akili kweli nyie?
Hela ambayo huna maamuzi nayo ni yako kvp?
WaTz mjitafakari!!
Habari hii iwafikie wote na napenda kutoa angalizo tusije kulaumiana baadae na kutafutiana ubaya
Kama wewe unajijua ni kiongozi wa serikali au ni kiongozi wa kidini au kama wewe ni msanii au mwanamuziki au mtu mwingine yeyote wenye ushawishi katika jamii ambae mpaka sasa haujatumia nafasi yako...
Tuungane hapa kuihitaji nchi yetu tuliyopokwa na wahuni, mashetani na maharamia. Hawa wamerudi kutunyang'anya kidogo kilichokuwa kimebaki.
Tusikubali tuungane na polepole kuwakimbiza wahuni. Na mtandao wao kuanzia 1st Gen hadi 2nd na 3rd Gen. Tusikubali.
Kwa sasa tuwe na common enemy. Ambaye...
WaTanzania bado tunazidi kuonekana wapumbavu kila uchwao sijajua ni elimu yetu ya kimagumashi au nini au kwasababu waafrika au waTanzania tumeishi kwenye misingi ya kuwaona wanasiasa au viongozi ni waungu watu na inashangaza kiukweli kwasababu Mwanasiasa au kiongozi akifariki tu tunakimbilia...
Huwa nakaa najiuliza, hawa jamaa wanaomtaja Magufuli kwa matusi kwenye harakati za No Reform No Election, ni waoga wanaoepuka kumkosoa aliye madarakani? Maana wamekuwa wakimsema Magufuli kila mara, lakini kwa wazalendo wengi wa nchi hii, kadri mnavyoendelea kumtaja vibaya, ndivyo mnavyozidi...
Kila hotuba za wanaotuongoza utawasikia wanajitapa mradi huu chini ya mama.samia umekuza biashara kwa asilimia 120% au utakuza uchumi kwa 180%.
Ili mradi tu uongo uongo na kuwahadaa watanganyika.
Inasikitisha zaidi pale wanapo jifanya kama.hawaoni uhalisia.
Ipo shida kwenye usimamizi wa hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.