Jujube (), sometimes jujuba, known by the scientific name Ziziphus jujuba and also called red date, Chinese date, and Chinese jujube, is a species in the genus Ziziphus in the buckthorn family Rhamnaceae.
Kuna msako wa kimya kimya ambao CCM wakishirikiana na jeshi la polisi wameanza kuzifuatilia na kuchukua pikipiki zao ambazo waligawa wakati wa kampeni almaarufu kama pikipiki za mama,
Kwa taarifa za kawaida pikipiki hizo zilifungwa Tracker Gps ambapo wafuatiliaji imewawia vigumu kuzikamata kwa...
Leo kuna sehemu fulani nilikuwa nimekaa zangu nakunywa soda. Karibu yangu kulikuwa na baba mmoja wa makamo kidogo, alikuwa meza ya pembeni anakunywa pombe na tayari alikuwa amelewa chakalii.
Ghafla nikamsikia anamwambia muhudumu: Usinione hivi, mimi nina mke na watoto watano. Nina gari nimepack...
Kweli anaizungumzia Nchi na kuijali kama familia yake , Afrika tuhubiri kwanza Uzalendo tuko nyuma sana .
https://youtube.com/shorts/7bpZjoxy2Lg?is=zPTHUjErKG4H9MSd
Leo wanasherehekea Isreal na Marekani kuishambulia Iran.
Hawaoni watoto wadogo wanaouliwa
Hawaoni Isreal na marekani uhuru wa wananchi wao una binywa.
Leo ukipost picha ya jengo la Isreal limeshambuliwa, raia huyo anaweza kupotezwa.
Hawaoni jinsi gani nchi hizi zinavyovuka mipaka ya...
Mwigulu Nchemba amesema kuwa Sekta binafsi ni muhimu sana katika ukuaji wa Uchumi ila maafisa wa Serikali ni kama wanazidiwa maarifa hadi na wafugaji
Akitoa mfano huo amesema wafugaji mfugo ukivunjika mguu wanaufunga PoP au ndama akiacha kunyonya wanahangaika naye hadi anyonye au mfugo ukikonda...
Rais masudi pezeshkian wa Iran Leo ametangaza kusitisha mashambulizi kwa nchi jirani za kiarabu kwa masharti kwamba wasiruhusu anga wala ardhi zao kutumika kushambulia Iran. Lakini msemaji wa jeshi la Iran nae akasisitiza kuwa mashambulizi dhidi ya Israel na marekani yataendelea kama kawaida...
Inakuwaje umeoa mwanamke ambae yaani unagharamia ndoa (harusi) ya kifahari ya mamilio ya hela
Kwanza ni lazima kabisa pasina shaka pindi tu unapokuta hana bikira utapiga hesabu kuwa huenda mimi ni mwanaume wa 37 lakini bado unaamua kufumba macho na kujitungua.
Hujiulizi ni kwanini Mungu...
Siku hizi naona heshima ya madaktari kama inakwenda kushuka na kuchukuliwa poa poa tu.
Hawa watu kiukweli inabidi tuwaheshimu na kuheshimu sana taaluma yao na inabidi pawe na mipaka maana siku hizi imekuwa too much.
Siku hizi unakuta mpaka kuna ma dancer nao utambulisho wao wanavaa makoti ya...
Mfanyabiashara Mohammed Dewji, na aliyewahi kuwa Mbunge wa Singida kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuanzia 2005 hadi 2015 akizungumza Oktoba 27, 2015 kwenye kipindi cha Mkasi
Iran has allayed fears of alleged plans to target Kenya amid an escalating war with the United States and Israel.
During a press briefing in Nairobi on Monday, Iranian Ambassador to Kenya Dr Ali Gholampour noted that Kenya does not provide a US military facility with the capability to attack...
TUMEONDOA VIONGOZI 48 WA IRAN KWA SHAMBULIO MOJA Donald Trump
Rais wa Marekani Donald Trump ameiambia Fox News kwamba katika mashambulio ya pamoja ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, viongozi 48 wa kiwango cha juu wa Iran wameuawa “kwa shambulio moja.”
Trump alisema operesheni inaendelea kwa...
Mh Waziri Mkuu,
Hongera kwa Mungu kukupa nafasi uliyonayo na kazi unayoifanya. Pongezi kubwa kwako.
Nianze kutoa malalamiko yangu kuhusu yanayoendelea Kipunguni. Wananchi wa Kipunguni wanakusubiri urudi waje ofisini kupiga magoti. Wanaumizwa na majambazi, wanakufa kwa presha, kisukari na...
Marekani siku zote inalinda Maslahi yake kwa nguvu Kubwa katika kujilinda huku ameigawanya Dunia katika angle za kijographia ili kuhisisha mawasiliano na kuendelea kumiliki uchumi wa Dunia na kuendelea kujitanua pitia ardhi za wengine Kupitia sera za kimataifa.
Katika ugawaji huu wa Maeneo...
Watumishi wa Umma, Idara ya Elimu hasa Sekondari Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi hawalipwi fedha zao za likizo kwa wakati, wakati mwingine inaweza kuchukua hata miaka miwili ndio wanakuja kupata malipo.
Hata wakiomba kiwango fulani cha nauli, wahusika wanaolipa na malipo wanachofanya ni kukadiria...
Anonymous
Thread
baada
elimu
fedha
hata
idara
idara ya elimu
likizo
liwale
miaka
mwingine
umma
wakati
watumishi
watumishi wa umma
wilaya
zao
Kwanza, tunajua kuwa watajwa hapo juu ni 'watu na mitume' wa kufikirika ambao, bila imani na vitisho, hawawezi kuwa walivyo. Je, sababu ni kutokuwapo na teknolojia ya picha jambo ambalo dini halikiri bali kuleta ima picha za uongo au kudai ni haramu kupiga au kuonyesha picha ya mhusika hasa...
Wakuu habari za muda huu. Ama kwa hakika ndugu zetu waislam ni watu nafikiri wachunguzwe haswaaa, maana Kuna baadhi ya mambo huwa siwaelewi kabisa
Hivi masheikh ikitokea umeenda hospital na mkeo, alafu ukaenda kufanya kipimo, mkeo ndo anapima, kwa bahati mbaya huo muda daktari wa zamu...
Huo ndiyo ukweli ndiyo maana funga funga ya wakina Lissu inaendelea, utekaji usio na tija unaendelea, rushwa inaendelea, undugu kwenye uongozi unaendelea , upendeleaji wa vijana wa Kizanzibari unaendea, mikataba bila ufuatiliaji ya kifisadi inaendea, mauaji ya vijana mpaka leo hakuna mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.