zanzibar

  1. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Magufuli awasili Zanzibar kwa kampeni za kishindo, aahidi kuwanadi wagombea wote wa CCM

    Dkt. Magufuli amewasili Zanzibar na kuwashukuru wananchi kwa mapokezi mazuri aliyoyapata. Baada ya kuwasili Dkt. Magufuli aliwatembelea waathirika wa kukatwa mapanga huko Pemba wakati wanatoka msikitini. Dkt. Magufuli amesema atawafanyia kampeni wagombea wote wa CCM huko Zanzibar. Source...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Pemba: Mkutano wa Maalim Seif viwanja vya Mapofu, Wingwi

    Huu hapa ni mkutano uliopigwa leo kwenye viwanja vya Mapofu , Wingwi kisiwani Pemba , Maalim Seif si mtu wa kawaida hii ni Taasisi , haiwezekani kwa mtu wa kawaida kuungwa mkono kwa kiwango hiki .
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Zanzibar aeleza WhatsApp ilivyoendesha Wizara alipougua Covid19

    Riziki Pembe, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar ameeleza namna ambavyo Wizara ilivyokuwa ikiendelea na shughuli zake pindi alipokuwa hospitali kwa matibabu ya maambukizi ya Corona. Waziri huyo amesema alikuwa akiwasiliana kupitia mtandao wa WhatsApp na viongozi wenzake, akiwemo Naibu...
  4. JamiiForums Tanzania Mgombea Urais Wa CCM Zanzibar Hussein Mwinyi Ashindwa Kutokea Kwenye Kampeni Bububu

    Katika hali ya kushangaza na kusuasua kwa kampeni za CCM bara na visiwani , Jana mgombea wa urais wa Zanzibar Hussein Mwinyi hakutokea kwenye mkutano wa hadharani Bububu, watu wanaulizana kulikoni?
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri na muongozo wa kiusalama kwa raia, hususan Pemba

    Asalam aleykum, Nilishawahi kutoa ushauri huu awali na wala sio wazo jipya nchini, nishauri wananchi wajipange na kuunda vikosi vya kujilinda kwenye vitongoji au vijiji vyao. Hili wazo ni sawa na lile la Sungusungu miaka ya zamani. Si jipya na wala halihitaji leseni ya serekali. Nashauri...
  6. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Katibu wa ACT-Wazalendo mbaroni kwa tuhuma za kuwashambulia kwa mapanga wanachama wa CCM

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba linamshikilia Katibu wa Chama Cha ACT Wazalendo Tawi la Kosovo Shehia ya Kangani Hassan Hamad Hassan mwenye umri wa miaka 56, kwa tuhuma ya kuwashambulia kwa kuwakata mapanga wanachama wa Chama Cha Mapinduzi akiwemo Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Wete...
  7. JamiiForums Tanzania Zanzibar mnatoa dalili gani kila mgombea anapata nyomi la watu sasa mshindi halali atakuwa nani?

    Wazanzibar hamueleweki kabisa katika nyakati hizi za kampeni Mana kwenye kila mkutano uwe wa maalim Seif na ACT yake au uwe wa Mwinyi na CCM yake nyomi la watu linakuwa kubwa. Hapo mnatoa dalili gani kuhusu mshindi halali wa uchaguzi? Mana Kuna mgombea mmoja yeye kila akiona nyomi kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Unafiki na ubinafsi wa Watunga sheria wetu Zanzibar, Wawakilishi kwenye Baraza la Wawakilishi Zanzibar

    Wafanyakazi wa sekta binafsi upande wa Zanzibar, mioyo yetu inatuuma sana, kwa sababu ya Mfuko wa hifadhi ya zanzibar ZSSF, Mfuko huu namna ambavyo Wawakilishi wa wananchi na watunga sheria wetu walipitisha sheria kandamizi na za kiuonevu, mfuko hauna fao la kujitoa kwa mwanachama wa sekta...
  9. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Ufunguzi wa kampeni Pemba, Septemba 20

    Mwenyekiti wa CUF pia ni Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Prof. Ibrahim Haruna Lipumba , kesho septemba 20 ataongoza uzinduzi wa kampeni za CUF, visiwani Zanzibar. CUF: KUNA MAISHA BAADA YA UCHAGUZI Katika mkutano wa Kampeni uliofanyika Chakechake Pemba, Mwenyekiti wa CUF...
  10. S

    JamiiForums Tanzania CCM inaanikwa Zanzibar -Wakuu wa Jeshi, polisi na vyombo vingine vya usalama kuweni nayo makini Itawazamisha

    Kwa sasa sio siri hakuna mpango wowote wa CCM kwa upande wa Zanzibar usio julikana kuhusiana na mipango ya kuchezea daftari la wapiga kura. Mitandanoni kumejaa ushahidi uliowazi na wa kuaminika kabisa kuwa waajiriwa wa vyombo husika hapo juu wanapangwa kutumiwa ili kuiletea ushindi CCM,mambo...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wafanyakazi Serikalini Zanzibar Walazimishwa Kuichagua CCM

    Salaam, Hii ni mara ya tatu naandika huu uzi lakini unafutwa sijui kwa nini! Ujumbe ninaotaka kuufikisha kwenu ni kwamba wafanyakazi wa serikali Zanzibar na hasa Pemba wameelezwa na mabosi wao wa kazini kwamba ni lazima wamchague Magu pamoja na Mwinyi kwenye uchaguzi huu. Kwa mujibu wa...
  12. JamiiForums Tanzania Zanzibar: TAMWA yasikitishwa na kitendo cha udhalilishaji cha kuwachoma sindano watoto bila ya sababu

    Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA, ZNZ) kinasikitishwa na kitendo cha udhalilishaji ambacho kimezuka hivi karibuni cha kuwachoma sindano watoto bila ya sababu. Wakati nchi inaendeleza juhudi za kupambana kupinga vitendo vya udhalilishaji wa kubakwa, kulawiti...
  13. JamiiForums Tanzania GE2020 Bi Queen Cuthbert Sendiga Mgombea urais wa Tanzania kupitia ADC, azindua Kampeni Zanzibar, Wavuvi na Wakulima wa Karafuu kuneemeka

    Mgombea wa RAIS Jamhuri ya Muungano WA Tanzania Bi Queen Cuthbert Sendiga aliwaambia wananchi wa PEMBA endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Tanzania atahakikisha wananchi wa PEMBA watanufaika na zao la karafuu kwa kulipandisha thamani ili liweze kuingiza fedha za kigeni na kuwafanya wananchi hao...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kampeni, 2020 Zanzibar. Tunamtaka Dkt. Mwinyi aje hapa uwanjani

    Naam hiki ni kipindi mujarabu sana. Kampeni zinaendelea kwa kasi kote Bara na Zanzibar. Leo Tunamwita Dkt. Mwinyi ama timu yake aje hapa ama waje uwanjani. Tunahitaji tujibiwe baadhi ya masuali yetu muhimu kuhusu Mwelekeo wa sera za CCM na msimamo wa Dkt Mwinyi. Dkt Kule Zanzibar unaitwa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Yasiyosemwa Ufunguzi wa Kampeni za CCM Vs ACT-Wazalendo - Zanzibar

    Hapo siku ya Jumamosi ya 12 Septemba, 2020, CCM ilifungua kampeni zake Zanzibar na siku ya pili yake yaani Jumapili ya tarehe 13 Septemba, 2020 ACT-Wazalendo nayo ilifunguwa kampeni Zanzibar. Kuna baadhi ya mambo hayakusemwa au kupatiwa ufafanuzi. Timu yetu ya kampeni ilipiga kambi huko...
  16. K

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mataga nielewesheni nini maana ya Tanzania Mpya, Zanzibar Mpya?

    Wakuu amani iwe kwenu, Bila shaka wengi wetu wameona kauli mbiu hizi kwenye mabango ya wagombea mbali mbali hasa wa chama cha mapinduzi (CCM). Mgombea wa Urais Zanzibar kwenye bango lake kuna maneno "Zanzibar mpya", Mgombea wa Ubunge kigamboni kuna neno "Kigamboni Mpya" kwingine kuna Tanzania...
  17. JamiiForums Tanzania Zitto: Tanzania Bara inaiminya Zanzibar

  18. S

    JamiiForums Tanzania Uhalali wa Hussein Mwinyi kugombea Urais Zanzibar ni upi? Wajumbe tuelewesheni

    Kuna hoja kubwa ambayo imeivunja CCM miguu na mikono kiasi ya kuwa hawawezi kusimama wala kutembea. Dkt. Hussein Mwinyi hana sifa za kugombea Urais Zanzibar na kama haitoshi walio ndani ya innercore wanasema hakushinda kura za wajumbe wa CCM Zanzibar kiasi ya wasimamizi kuondoka Zanzibar bila...
  19. JamiiForums Tanzania Lissu kutamka hataki Muungano kwamgharimu Zanzibar uzinduzi wa kampeni ya urais, Waanzibar hawajamtaja hata jina tu

    Lisu akiwa Zanzibar alitamka wazi kuwa haitaki muungano. Sasa leo siku ya uzinduzi wa kampeni ya Mgombea uraisi wa Zanzibar Maalim Seif hawajamtaja kabisa Tundu Lissu. Sababu wao wanatafuta Rais wa Zanzibar sio wa muungano Nikiwa Zanzibar, Wazanzibari wanasema walimshangaa Lissu aliposema...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa kampeni za CCM Zanzibar: Mwinyi kuhakikisha Zanzibar inanufaika na bahari, kuleta Upendo na amani

    Chama Cha Mapinduzi Zanzibar leo tarehe 12 Septemba 2020 kinafanya mkutano wa uzinduzi wa Kampeni zake katika Uwanja wa Demokrasia, Kibandamaiti. Mgombea wa Kiti cha Urais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi Dokta Hussein Ally Mwinyi ataeleza dhamira yake ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…